|
Mwalimu aliwapa wanafunzi kazi ya nyumbani. (A) Wanafunzi walipitisha maelezo. (B) Wanafunzi walilalamika. (B) |
|
Nilitilia shaka sauti ya muuzaji. (A) Niliikataa ofa yake. (B) Alinishawishi ninunue bidhaa. (A) |
|
Marafiki wameamua kugawana baga. (A) Walilikata baga nusu. (B) Waliangiza chipsi pamoja na baga. (A) |
|
Jamii ilijua kwamba yule mwanaume alifariki. (A) Jamaa yake ilimzika makaburini. (B) Tanzia yake ilionekana kwenye gazeti. (B) |
|
Mwanamke aliufunika mdomo wake kwa kutumia mkono. (A) Alitoa pumzi. (B) Alipiga chafya. (B) |
|
Vurugu za kisiasa zimejitokeza katika taifa. (A) Wananchi wengi walihama mji mkuu. (B) Wananchi wengi walipata makao katika maeneo mengine. (B) |
|
Mwizi wa vito amekamatwa. (A) Vito vilivyoibiwa vilirejeshwa kwa wamiliki. (B) Garama ya vito vilivyoibiwa ilikuwa inahesabiwa. (A) |
|
Mwanafunzi alikuwa na haraka kufika shule kwa wakati. (A) Aliacha kazi yake nyumbani. (B) Alileta chakula chake cha mchana shule. (A) |
|
Msichana alikataa kula mboga zake. (A) Babake alimwambia anywe maziwa yake. (B) Babake alimnyang'anya kitindamlo chake. (B) |
|
Niliweka mikono yangu chini ya mfereji wa maji. (A) Sabuni ilinitoka mikononi. (B) Maji yalinichapa kwenye uso. (A) |
|
Mwanamme alivalia suti yake nzuri. (A) Aliratibu mkutano na mteja muhimu. (B) Mke wake alimnunulia tai mpya. (A) |
|
Niliwasha mshumaa. (A) Nta ilidongoka kutoka kwenye mshumaa. (B) Nta juu ya mshumaa iliganda. (A) |
|
Mtoto mgonjwa alimkoholea rafiki yake. (A) Rafiki yake aliumwa. (B) Rafiki yake alipiga chafya. (A) |
|
Mwanafunzi alikosea kutamka neno. (A) Mwalimu alimsahihisha. (B) Mwalimu alimfukuza. (A) |
|
Nilikohoa. (A) Alivuta moshi ndani. (B) Nilipunguza sauti yangu. (A) |
|
Niliamua kubaki nyumbani usiku ule. (A) Utabiri wa hali ya hewa ulitabiri kimbunga. (B) Rafiki zangu walinitaka tutoke. (A) |
|
|