|
Dalali aliwashawishi bunge kuunga mkono mswada. (A) Raisi alipigia kura mswada. (B) Bunge walipitisha mswada. (B) |
|
Mwanamke aliufunika mdomo wake kwa kutumia mkono. (A) Alitoa pumzi. (B) Alipiga chafya. (B) |
|
Ngozi yangu imetokewa na upele. (A) Nilipangusa sumu ya mmea mtambaachi kwenye uwanja wangu. (B) Niliondoa sumu ya mmea mtambaachi kwenye uwanja wangu. (A) |
|
Mipango ilitangazwa ya kubadilisha eneo la kupumzikia kwa maduka makubwa. (A) Wanamazingira walianza maombi rasmi. (B) Wanamazingira walitengeneza makala. (A) |
|
Nilitaka kuokoa nishati. (A) Nilisafisha sakafu ya chumba kisichotumika. (B) Nilizima taa za chumba kisichotumika. (B) |
|
Nyama ya baga iligeuka kuwa rangi ya udongo. (A) Mpishi aliiweka kweny friji. (B) Mpishi aliichoma. (B) |
|
Niliwasha mshumaa. (A) Nta ilidongoka kutoka kwenye mshumaa. (B) Nta juu ya mshumaa iliganda. (A) |
|
Mwalimu aliwapa wanafunzi kazi ya nyumbani. (A) Wanafunzi walipitisha maelezo. (B) Wanafunzi walilalamika. (B) |
|
Mwanafunzi alikosea kutamka neno. (A) Mwalimu alimsahihisha. (B) Mwalimu alimfukuza. (A) |
|
Mwanamme ameshindwa kwenye shindano. (A) Shindano lilikuwa limehujumiwa. (B) Aliwatisha washindani wake. (A) |
|
Mwanamke amekuwa maarufu. (A) Wapiga picha wanamfuata yeye. (B) Familia yake inamkwepa yeye. (A) |
|
Nilisafisha nyumba yangu. (A) Nilikuwa nimeelemewa na kazi. (B) Nilikuwa nikitarajia washirika. (B) |
|
Mwanamme alishinda bahati nasibu. (A) Amekuwa tajiri. (B) Amemiliki pesa. (A) |
|
Pete katika kidole changu iliganda. (A) Kidole changu kilivimba. (B) Nimebandua kucha yangu. (A) |
|
Mwanamme amekuwa mzee. (A) Nywele zake zimebadilika kwa za kijivujijivu. (B) Ameuza vitu anavyovimuiliki. (A) |
|
Dereva aliwasha mataa ya mbele ya gari. (A) Alisikia mgurumo wa radi. (B) Jua lilitua. (B) |
|
|