|
Dereva aliwasha mataa ya mbele ya gari. (A) Alisikia mgurumo wa radi. (B) Jua lilitua. (B) |
|
Wapenzi walisafiri kusini kwa ajili ya majira ya baridi. (A) Walikuwa wamestaafu. (B) Walikuwa wametengana. (A) |
|
Mtoto mgonjwa alimkoholea rafiki yake. (A) Rafiki yake aliumwa. (B) Rafiki yake alipiga chafya. (A) |
|
Marafiki wameamua kugawana baga. (A) Walilikata baga nusu. (B) Waliangiza chipsi pamoja na baga. (A) |
|
Mwanamke alitia kidole chake kwenye maji baridi. (A) Aliunguza kidole chake kwenye tosta. (B) Alivaa pete ya almasi kwenye kidole chake. (A) |
|
Msichana aliona mdudu kwenye uji wake. (A) Alimimina maziwa kwenye kibakuli. (B) Alipoteza hamu ya kula. (B) |
|
Nilitaka kuokoa nishati. (A) Nilisafisha sakafu ya chumba kisichotumika. (B) Nilizima taa za chumba kisichotumika. (B) |
|
Mwanamke aliwatimua watoto nyumbani kwake. (A) Watoto walipiga mpira kwenye uwanja wake. (B) Watoto walikanyagakanyaga bustani yake. (B) |
|
Watekaji walimwachia mateka. (A) Walikubali kupokea pesa za kumgomboa. (B) Walitoroka jela. (A) |
|
Mwanamke aliufunika mdomo wake kwa kutumia mkono. (A) Alitoa pumzi. (B) Alipiga chafya. (B) |
|
Nilibonyeza mikono yangu kwenye saruji isiyokauka. (A) Alama ya mkono wangu ilikauka kwenye saruji. (B) Nyufa ziliibuka ndani ya saruji. (A) |
|
Mwanamme alipingana na mamlaka ya kanisa. (A) Alichangia pesa kwenye kanisa. (B) Alifukuzwa kanisani. (B) |
|
Mwanamme alizimia. (A) Alipata lepe la usingizi. (B) Alikimbia mbio za masafa marefu. (B) |
|
Mwanamme alijisikia kulazimika kuhudhuria tukio. (A) Alimkatalia rafiki yake kwenda. (B) Alimuahidi rafiki yake kuwa atakwenda. (B) |
|
Nilirejesha utulivu baada ya hasira mingi. (A) Moyo wangu ulidunda. (B) Nilichukua pumzi za kina. (B) |
|
Mwanamme alishinda bahati nasibu. (A) Amekuwa tajiri. (B) Amemiliki pesa. (A) |
|
|