|
Mwanamme alivalia suti yake nzuri. (A) Aliratibu mkutano na mteja muhimu. (B) Mke wake alimnunulia tai mpya. (A) |
|
Farasi alipaa. (A) Mbung'o alimng'ata farasi. (B) Muendeshaji alimpiga farasi. (A) |
|
Mwanamke amesoma gazeti. (A) Aligundua matokeo ya uchaguzi. (B) Alipiga kura katika uchaguzi. (A) |
|
Mpishi aligonga yai juu ya pembe ya bakuli. (A) Yai lilipasuka. (B) Yai lilioza. (A) |
|
Kitasa kilifunguka. (A) Nilizungusha funguo ndani ya kitasa. (B) Nilitengeneza nakala ya funguo. (A) |
|
Nywele za mwanamke ziliangukia usoni kwake. (A) Alizivuta nywele zake kwa kibanio. (B) Aliweka povu la shampoo kwenye nywele zake. (A) |
|
Jozi ya wanafunzi walifanyiwa uchunguzi na mwalimu. (A) Wanafunzi wote wamepata daraja zuri zaidi. (B) Majibu yao kwenye kazi yalifanana. (B) |
|
Mwanamke anatembea kwa mikongojo. (A) Alinyoa miguu yake. (B) Amevunjika mguu wake. (B) |
|
Mwanamke amekuwa maarufu. (A) Wapiga picha wanamfuata yeye. (B) Familia yake inamkwepa yeye. (A) |
|
Jamii ilijua kwamba yule mwanaume alifariki. (A) Jamaa yake ilimzika makaburini. (B) Tanzia yake ilionekana kwenye gazeti. (B) |
|
Niliweka mikono yangu chini ya mfereji wa maji. (A) Sabuni ilinitoka mikononi. (B) Maji yalinichapa kwenye uso. (A) |
|
Kabati langu lilikuwa chafu. (A) Nililipanga. (B) Nililipamba. (A) |
|
Mwanafunzi alisahau kufanya kazi yake. (A) Alijitetea kumwambia mwalimu. (B) Mwalimu alimpandisha yeye darasa jengine la juu. (A) |
|
Mwanamke alistaafu kazi yake. (A) Alitamani kupata cheo cha juu cha kiutendaji katika shirika. (B) Aliamini kuwa wakubwa zake hawakufanya kazi kwa uadilifu. (B) |
|
Mpira wa besi ulizigonga pini za kuchezea besi. (A) Mwanaume alibingirisha mpira wa besi kwenye njia ya kuchezea besi. (B) Mwanaume alidondosha mpira wa besi mguuni kwake. (A) |
|
Mipango ilitangazwa ya kubadilisha eneo la kupumzikia kwa maduka makubwa. (A) Wanamazingira walianza maombi rasmi. (B) Wanamazingira walitengeneza makala. (A) |
|
|