|
Dalali aliwashawishi bunge kuunga mkono mswada. (A) Raisi alipigia kura mswada. (B) Bunge walipitisha mswada. (B) |
|
Kabati langu lilikuwa chafu. (A) Nililipanga. (B) Nililipamba. (A) |
|
Kompyuta yangu iliharibika. (A) Niliweka spika mpya. (B) Nilipoteza taarifa zangu zote. (B) |
|
Mwanamke anatembea kwa mikongojo. (A) Alinyoa miguu yake. (B) Amevunjika mguu wake. (B) |
|
Mvulana alikwepa chakula cha jioni. (A) Mama yake alipika mlo anaopendelea zaidi. (B) Alikula sana chakula cha mchana. (B) |
|
Mwanamke aliwasiliana na wakala wa ununuzi wa mali. (A) Mwanamke alipanga kununua fleti. (B) Mwanamke alitaka kusafisha nyumba yake. (A) |
|
Uonaji wangu wa sinema ulizibwa. (A) Wapenzi wawili walikuwa wananong'onezana nyuma yangu. (B) Mtu mrefu alikaa mbele yangu. (B) |
|
Jozi ya wanafunzi walifanyiwa uchunguzi na mwalimu. (A) Wanafunzi wote wamepata daraja zuri zaidi. (B) Majibu yao kwenye kazi yalifanana. (B) |
|
Wanandoa walikuwa na furaha kuonana. (A) Walibusiana. (B) Walipumzika. (A) |
|
Hakimu aligonga nyundo. (A) Chumba cha mahakama kilihanikiza zogo. (B) Hakimu alitoa hukumu yake. (A) |
|
Marafiki wameamua kugawana baga. (A) Walilikata baga nusu. (B) Waliangiza chipsi pamoja na baga. (A) |
|
Nilisafisha nyumba yangu. (A) Nilikuwa nimeelemewa na kazi. (B) Nilikuwa nikitarajia washirika. (B) |
|
Mwanaume alikunywa sana katika pati. (A) Aliumwa na kichwa siku iliyofuatia. (B) Alipata mafua siku iliyofuatia. (A) |
|
Mwalimu aliwapa wanafunzi kazi ya nyumbani. (A) Wanafunzi walipitisha maelezo. (B) Wanafunzi walilalamika. (B) |
|
Jamii ilijua kwamba yule mwanaume alifariki. (A) Jamaa yake ilimzika makaburini. (B) Tanzia yake ilionekana kwenye gazeti. (B) |
|
Pete katika kidole changu iliganda. (A) Kidole changu kilivimba. (B) Nimebandua kucha yangu. (A) |
|
|