BUFFET / tydiqa_qg /sw /tydiqa_qg_8_13_dev.tsv
akariasai's picture
Upload 204 files
479c437
context: Ujumbe wa majaji wa Ufaransa Jumamosi waliwasili mjini Kigali kwa lengo la kuchunguza chanzo cha mauaji ya kimbari ya Rwanda na kuanguka kwa ndege iliyokuwa imembeba Juvenail Habyarimana rais wa wakati huo wa Rwanda. answers: Juvenail Habyarimana Je,nani alikuwa rais wa Rwanda wakati wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda?
context: Mnamo miaka 1816-1826 kulikuwa na janga la kwanza la kipindupindu mkoani Bengal, nchini India. Waingereza 10,000 na Wahindi walikufa.[5] answers: India Ugonjwa wa Cholera ulianzia nchi gani?
context: Dk. Angela Dorothea Merkel (amezaliwa tar. 17 Julai 1954, mjini Hamburg) ni mwanafizikia na mwanasiasa wa Kijerumani, na ni Chansela wa Ujerumani tangu 22 Novemba 2005. answers: 1954 Dk. Angela Dorothea Merkel alizaliwa mwaka upi?
context: Jamhuri ya Gabon, kutoka kushinda uhuru kutoka Ufaransa tarehe 17 Agosti 1960, imeongozwa na Rais watatu, Léon M'ba, El Hadj Omar Bongo ambaye amekuwa kiongozi kutoka mwaka wa 1967 hadi kifo chake (2009: ndiye aliyekuwa kiongozi barani Afrika aliyeshikilia uongozi kwa muda mrefu zaidi), halafu mwanae Ali. answers: Léon M'ba Rais wa kwanza wa Gabon aliitwa nani?
context: Kenya ina kaunti 47, kila moja ikiongozwa na Mkuu wa Kaunti anayechaguliwa na watu ambao wanaishi kwenye hiyo kaunti. answers: 47 Nchi ya Kenya ina kaunti ngapi?
context: Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx.[1][2][3] answers: marekani Muziki wa aina ya hip hop ulianzia nchi gani?
context: Idadi ya watu kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 ilikuwa 44,928,923 (nchi ya 30 duniani) kutoka 34,443,603 waliohesabiwa katika sensa ya mwaka 2002. answers: 44,928,923 Je, Tanzania ina idadi ya watu wangapi?
context: Rockport ilianzishwa katika mwaka wa 1971 na muungano wa baba na mwana (Saul na Bruce Katz) katika eneo la Marlborough, Massachusetts. Saul na Bruce waliamua kwamba kuwa kile kilichokosekana katika sekta ya viwanda vya viatu ni viatu vilivyohusisha kuwa na uzito mdogo,faraja na mitindo mzuri. Hizi ndizo sifa ambazo zingehusishwa na viatu vya Rockport katika mwongo uliofuata. answers: 1971 Kampuni ya Rockport ilianzishwa mwaka gani?