Dalali aliwashawishi bunge kuunga mkono mswada. (A) Raisi alipigia kura mswada. (B) Bunge walipitisha mswada. (B) Mwanamke aliufunika mdomo wake kwa kutumia mkono. (A) Alitoa pumzi. (B) Alipiga chafya. (B) Ngozi yangu imetokewa na upele. (A) Nilipangusa sumu ya mmea mtambaachi kwenye uwanja wangu. (B) Niliondoa sumu ya mmea mtambaachi kwenye uwanja wangu. (A) Mipango ilitangazwa ya kubadilisha eneo la kupumzikia kwa maduka makubwa. (A) Wanamazingira walianza maombi rasmi. (B) Wanamazingira walitengeneza makala. (A) Nilitaka kuokoa nishati. (A) Nilisafisha sakafu ya chumba kisichotumika. (B) Nilizima taa za chumba kisichotumika. (B) Nyama ya baga iligeuka kuwa rangi ya udongo. (A) Mpishi aliiweka kweny friji. (B) Mpishi aliichoma. (B) Niliwasha mshumaa. (A) Nta ilidongoka kutoka kwenye mshumaa. (B) Nta juu ya mshumaa iliganda. (A) Mwalimu aliwapa wanafunzi kazi ya nyumbani. (A) Wanafunzi walipitisha maelezo. (B) Wanafunzi walilalamika. (B) Mwanafunzi alikosea kutamka neno. (A) Mwalimu alimsahihisha. (B) Mwalimu alimfukuza. (A) Mwanamme ameshindwa kwenye shindano. (A) Shindano lilikuwa limehujumiwa. (B) Aliwatisha washindani wake. (A) Mwanamke amekuwa maarufu. (A) Wapiga picha wanamfuata yeye. (B) Familia yake inamkwepa yeye. (A) Nilisafisha nyumba yangu. (A) Nilikuwa nimeelemewa na kazi. (B) Nilikuwa nikitarajia washirika. (B) Mwanamme alishinda bahati nasibu. (A) Amekuwa tajiri. (B) Amemiliki pesa. (A) Pete katika kidole changu iliganda. (A) Kidole changu kilivimba. (B) Nimebandua kucha yangu. (A) Mwanamme amekuwa mzee. (A) Nywele zake zimebadilika kwa za kijivujijivu. (B) Ameuza vitu anavyovimuiliki. (A) Dereva aliwasha mataa ya mbele ya gari. (A) Alisikia mgurumo wa radi. (B) Jua lilitua. (B)