id
int64
0
1.44M
text
stringlengths
12
6.72k
737,285
Na kama huna fedha za kutosha kulipia mitihani hiyo ni vyema uombe vyuo vya Ulaya ambavyo hawana mitihani hiyo ili kupunguza gharama.
575,061
Meditation ni kama Yoga lakini unapomeditate maana yake unajiondoa kwenye mazingira ya kawaida na kubaki peke yako kwa masaa kadhaa katika hali ya utulivu, kama ni kazi unaacha, unaacha pia kukaa na vitu kama simu, computer au kuwa tu karibu na yeyote.
868,027
“Waliokuwa mikoani, wabaki na siku mkutano ukiwepo watafika kwenye mkutano.
847,280
sasa subiri wauguzi wafanye kweli ndo wizara itatambua kuwa sekta ya afya ni muhimu kuliko umuhimu wa rais wetu kwenda kufanya mazungumzo na david kameroon!
226,633
Share to Twitter Share to Facebook Share to Pinterest.
107,357
Mshahara wa dhambi bado ni mauti.
1,398,092
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemwambia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu kuwa wakazi wa Mkoa huo ni wachafu na wanatia aibu.
778,006
Zabuni Mradi wa Umeme wa Stiegler’s yafunguliwa Rasmi – Habari 360
984,423
Alisema ujenzi wa barabara katika jimbo hilo umeanza na utakamilika baada ya mgombea urais wa chama hicho, Dk.
1,359,438
Aidha, taarifa ya chama cha CNDD/FDD imeeleza kwamba, vikao hivyo pia vilikuwa na lengo la kuimarisha chama hicho na taasisi zake.
833,016
44] Kwa Mola wako Mlezi ndio mwisho wake.
1,422,636
Tunataka Serikali itupatie maelezo ya kina ambayo tuna tumaini yatakuwa tofauti na ya mwaka jana, yatakuwa si majibu ya kisiasa.
241,015
Ili kutia saini kwenye wito huu wa utetezi, tembelea tovuti ya Linda Uhuru wa Intaneti Ulimwenguni.
1,284,974
Mahakama nchini Spain imeishtaki rasmi klabu bingwa ya nchi hiyo FC Barcelona kwa kufanya udanganyifu wa fedha zaidi ya $12.
1,027,186
Hakikisha kwamba ukague asili ya gari hilo kabla hujalinunua (hakikisha kwamba siyo gari ambalo limeibiwa).
537,427
Aidha, amesisitiza kuwa serikali imewapandishia kiwango cha Posho ya katikati ya mwezi (Ration Allowance) kutoka shilingi 180,000 za awali hadi 300,000 ambazo wanalipwa kwa sasa nchi nzima.
1,006,715
Lakini kufikia mwaka 2002, wanaume wengi walikuwa wameoa wanawake ambao wanawazidi kielimu, kimapato au kukaribiana.
89,293
Miongoni mwa nchi hizo ni Marekani ambapo mapema wiki hii iliwatimua wanadiplomasia 60 wa urusi kuondoka Marekani.
62,130
Mheshimiwa Spika, kwa hiyo, nafikiri ni vizuri Serikali isiwe inaleta marekebisho kama haya kutafuta tu ku-pin Watanzania wasiongee na kutoa takwimu zao; ambazo kimsingi wao kama Serikali wanapaswa kuzirekebisha tu hakuna ugomvi wowote pale anapokosea.
411,635
Mzee wa kitamaduni husimamia safari hii, ambapo Tembo huacha maisha ya porini na kujiunga na maisha ya binadamu.
1,265,727
Unaweza bado kuishi maisha yako ,"anasema.
427,516
Hospitali kubwa ya moyo kujengwa Mlimani City Via.
566,871
Pamoja na watu wa Dar es Salaam kupiga kelele kuwa sifai, naamini sina hatia yoyote, na ndiyo maana nilijiuzulu.
689,126
Askari Polisi wa Kike (kushoto) ambaye jina lake hakikuweza kufahamika mara moja akimwesha juisi, mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne (jina linahifadhiwa) aliyekuwa amefungiwa ndani ya chumba kwa kipindi cha muda wa miaka minne na kukaa ndani ya boksi kwenye nyumba iliyopo Mtaa wa Azimio, Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro, (w apili kushoto) ni mama mlezi Mariam Said ( kati kati), ni baba mzazi wa mtoto huyo, Rashid Mvungi na (kulia) ni baba mlezi wa mtoto, Mtonga Omary, hapa walikuwa wakitoa maelezo mbele ya Ofisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Morogoro, Oswin Ngungamtitu (hayupo pichani) (picha: blogu ya Lukwangule).
1,169,352
Kwa kauli hii serikali ya Israel inaiona Tanzania sio nchi ya muhimu wala ya maana hata kufikia hatua ya kuilinganisha na eneo tu ndani ya Libya linaloitwa Tripolitania.
638,063
Ninakumbuka uliniambia kwamba tatizo pekee ulilolifahamu kwa Jakaya, ni kutofuata muda.
656,859
Upande wa pili ilikua ni maonyesho y vyakula ya chef waliopo huoni wenye umri wa kuanzia miaka 13 mpaka 16.
1,009,993
Lakini anasema pia siyo sahihi kufuata ruwaza ya kizamani kwamba, biashara hatimaye inaleta mageuzi, ingawa wakati huo huo haki za binadamu zinapuuzwa.
1,143,133
John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Mujungu Museru mara baada ya kuwatembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi mbalimbali katika hospitali hiyo jijini Dar es Salaam.
374,751
Inaweza wakati wote kuwa kusisimua kusoma maudhui kutoka waandishi wengine na kuchunguza kidogo jambo moja kutoka ghala zao.
1,288,813
Wikipedia ni mtandao wa saba kwa umaarufu katika internet duniani lakini 15% ya wahariri wa Wikipedia ni wanawake na chini ya 15% ya wasifu wa watu wake muhimu ni wanawake.
390,331
Kupitia miaka ya kuwasiliana, nimetambua thamani Yako.
1,302,593
Wakijadili hoja hiyo, wabunge wa CCM walimtaja Katibu Mkuu Kiongozi, Luhanjo kuwa ni chanzo cha ufisadi katika wizara ya hiyo.
163,427
Kuna malazimisho ya nje kama vile, wanaosongwa; maisha ya waliotekwa nyara kwa nguvu na aina nyingi zisizo za haki.
908,871
Wakazi wa Tabora wavutia na kampeni za upandaji wa miti
864,023
3 Napenda kusisitiza kuwa Rais na sisi tunaomsaidia hatuoni raha kuchukua hatua dhidi ya viongozi na watumishi wengine.
932,933
Katika mchakato wote wa zabuni ndani ya TANESCO, moja ya masuala kadhaa yaliyoifanya Richmond Development Company LLC isitiwe maanani, ni ukosefu wa ushahidi wa kisheria wa ubia (consortium agreement) kati yake na Pratt & Whitney.
446,874
Je, unajua kitu kuhusu Corbin Bleu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
185,009
Mkurugenzi wa Utawala na Manunuzi wa Benki ya CRDB, Beatus Segeja,(Kulia) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wakubwa wa CRDB Bank Tawi la Lumumba, Peter Maro (wa pili kulia) na Moris Shangali (Kushoto).
1,288,369
Kipingu alisema kuwa, kamati yake ilifikia uamuzi huo kwa vile ilibaini kuwa kazi ya kurekebisha Katiba hiyo inahitaji utafiti wa kina wa kuimarisha mahitaji ya kitaalamu ambayo yanakosekana kwenye Katiba ya sasa.
1,040,096
5 kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mapato ya mechi zikiwamo za ligi kuu.
594,454
Kama Mungu, Yeye ahitaji kitu chochote.
1,165,429
Hapa ni katika banda la kampuni ya Sandvik,kulia ni aliyekuwa mfanyakazi wa Acacia akiuliza jambo
330,100
Mamilioni ya watoto katika nchi zinazoendelea wanaoishi na tatizo la midomo sungura (Mdomo wazi) bila kutibiwa wanaishi kwa kutengwa, lakini muhimu zaidi, hupata ugumu katika kula , kupumua na kuzungumza.
678,922
Akiwa na miaka 20 alifanikiwa kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha Basle na kucheza michezo karibia 100 na kusaidia club yake kushinda ubingwa wa ligi mara tatu mfululizo.
981,620
Aidha, Idara ni Sekretariati ya Bodi ya Taifa ya Uratibu wa NGOs ambayo uendeshaji wake unategemea sana bajeti ya Serikali.
1,141,557
Na Mtendaji wa kijiji cha Biturana Henry Thomas alisihi shirika la UNHCR kuwa waendeleze mashindano ya ujirani mwema baina ya raia wa pande zote mbili waishio katika kambi hizo,kuwa yasiishie kambini bali yaongeze wigo wa mashindano hayo.
81,469
Terezia Luoga-Huviza ni Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais akisimamia Mazingira.
251,967
“Lengo letu ni kuhakikisha maagizo hayo yanatekelezwa na uchaguzi kufanyika mapema iwezekanvyo kabla ya tarehe iliyotolewa.
299,743
Paco Alcacer akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 59 akiunganisha kona ya Denis Suarez katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sporting Lisbon usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya.
681,460
Hii ina maana mtu mwenye neno la Kristo kwa wingi ndani yake basi maana yake ana upeo mkubwa wa kuelewa mipango na njia za Mungu za kuwatoa watu wake kwenye matatizo yanayowakabili.
187,393
Chanzo: Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Shinyanga
602,154
Wajerumani wakapata kipigo cha mbwa koko.
200,871
Tukianza na gazeti la Frankfurter Rundschau, linaandika kuhusu ulinzi wa data za wafanyakazi, katika mahali pa kazi.
46,793
Ugonjwa wa Ebola ni ugonjwa hatari unaotokana na ulaji wa nyama za porini, mwanadamu huambukizwa baada ya kushika damu au majimaji ya mnyama alieambukizwa na baadae ugonjwa huo unasambaa kirahisi kutoka mtu mmoja hadi mwengine.
507,701
Kundi hilo limesema liko tayari kuachana na mapigano kwa sharti kwamba serikali nayo itafuata mfano huo na kuacha matumizi ya nguvu dhidi wapiganaji wake.
511,052
Mheshimiwa Spika, Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Moshi, Bernadeta Kinabo, naye alishastaafu kazi, akapewa mkataba kuendelea na kazi na mkataba huo uliisha muda wake tangu mwaka 2011, lakini bado yupo ofisini anaendelea na kazi.
166,184
Salum Ally (wa kwanza kushoto) akipokea kitita chake cha Tsh.
214,518
Lengo la uamuzi huo,wanasema waasi wanaoongozwa na Laurent Nkunda ni kufungua njia ya kupatikana amani na kurahisisha juhudi za upatanishi za mjumbe maalum wa Umoja wa mataifa Olusegun Obasanjo.
78,314
Baba hana deni la mtu, mwacheni akae kwa amani – Raila Junior
1,158,864
Mpinga kristo hatoki marekani, bali anatoka katika miji ya Makka na Madina ambako aliishi bwana mmoja maarufu sana aliyejulikana kwa jina la Muhammad.
1,363,781
Wananchi wamekuwa wakimbizi kwenye nchi yao hali inatisha.
735,775
Tutaongeza nguvu katika kupambana na uhalifu unaoendeshwa na mitandao ya uhalifu ndani na nje ya nchi.
28,193
Hali kama hii inaweza kujitokeza Dar leo kufuatia maandamano ya wapinzani kupinga serikali ya Kibaki, wakati polisi wamezuia maandamano hao.
1,126,690
Muuandaaji ya wiki ya wanawake duniani kwa mkoa wa Arusha Phidesia Mwakitalima wa kwanza kulia akishuhudua jinsi mkuu wa wilaya ya Arusha akiwa anachukuliwa vipimo vya afya yake
608,873
patent mtahini kisha inafanya utafiti wake mwenyewe na pamoja na pembejeo kutoka Peer-to-Patent mithili hukumu.
884,002
“ Tuwaenzi wazee na kuwasaidia pia hata wale walioko mitaani tuwashauri warudi majumbani ili Serikali iweze kuwaorozesha kwa kuwa si vizuri kukaa barabarani, Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais Magufuli itahakikisha inawajali wazee,” alisema.
964,547
Iwapo TAKUKURU ina nia ya dhati ya kumaliza rushwa ya Kimataifa, ni muhimu kuungana na Watanzania duniani ambao wametaka Taasisi ya SFO ya UK kufungua upya jalada la Standard Bank.
572,302
Jumuiya hiyo inasema kwamba wanaamini kuna wapenzi wengi wa jinsia moja nchini Ghana ingawa wengi wao huwa wanajificha kwa kuhofia kunyanyaswa na kutengwa na jamii.
706,772
Mmoja wa wasanii hao Hanna Maron mwenye umri wa miaka 87 alisoma tamko la kuunga mkono nia ya Wapalestina ya kuwa na nchi yao huru.
909,867
- Utafiti huo ulionyesha kuwa kwa watu wengi, chumvi haichangii shida za moyo
785,056
Huu utakuwa msimu wa pili kwa Msuva kuichezea Difaa El Jadida ambayo alijiunga nayo msimu uliopita wa 2017/18 na kuifungia mabao 17, yakiwemo matano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
46,301
Yafuatayo ni maswali ambayo TEF inapaswa kuyajibu lau kurejesha heshima yake na kukubali kwa jamii nzima na tasnia ya habari:
1,000,505
Uchumi ukiyumba, Trump, ambaye ni mfanyabiashara tajiri anaweza kuonekana kama chaguo sahihi kuwa rais ajaye wa nchi hiyo.
586,263
Ukiona mwenzako anatumia upendo wako kama silaha ya kukutesa huyo hakufai.
1,300,388
Ameongeza kuwa UCSAF itatoa kompyuta 545 kwa shule 109 ambapo kila moja itapata tano.
574,736
Maelfu ya watu watafuta makaazi baada ya Tetemeko nchini Iran na Iraq - Zanzibar24
271,375
Afisa Huduma kwa Wateja wa MSD Kanda ya Mwanza, Cornelia Mwillawi (kushoto), akiwakabidhi mifuko ya vifaa vya mama vya kujifungulia.
793,008
Alikubali na waalikwa kuja na kutembelea.
234,999
Mkuu wa Mkoa mstaafu wa Dar es Salaam
210,057
Safari hii Mkurugenzi wa Ofisi ya Spika, Said Yakub, ambaye kimsingi si Msemaji wa Ofisi ya Bunge, amekiri kuwa kuna watoto wa vigogo, ingawa anadai taratibu zimefuatwa kuwaajiri.
145,086
Waziri wa Michezo wa Ufaransa amalizia …
1,407,263
kuingia kwenye ndoa na mawazo ya kwamba kila siku itakua jumapili.
1,182,147
Lengo letu wakati wote wa mjadala huo uwe ni kule kutafuta njia bora zaidi kunawirisha Muungano wa Tanzania basi!
816,117
Mohamed Aboud Mohamedmara baada ya kuwasili Konde tayari kwa ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba.
1,360,400
Mbunge anayetetea shangingi badala ya huduma muhimu za umma, ni sumu; aogopwe.
20,355
Noordin anachukua wadhifa huo uliokuwa ukishikiliwa na Keriako Tobiko, ambaye sasa ni waziri wa mazingira.
835,503
Washitakiwa walitimiza masharti kwa kutoa hati zenye thamani zaidi ya kiasi hicho cha fedha lakini upande wa serikali uliomba kuzithibitisha hati hizo Wizara ya Ardhi ili kujiridhisha.
13,250
Ndugu zake marehemu Patrick Mwillongo wakiwa kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wao iliyofanyika nyumbani kwao Kiburugwa Mbagala jijini Dar es Salaam jana.
807,198
Ni kati ya watangazaji bora zaidi wenye wafuasi wengi zaidi nchini Kenya na pengine hapa barani Afrika.
1,134,906
Ushindi huo unaifanya Yanga ifikishe pointi 52 baada ya kucheza mechi 23, ikiendelea kukamata nafasi ya pili, nyuma ya vinara Simba SC wenye pointi mbili zaidi ingawa nao wamecheza mara 23.
235,466
Katika uhusiano [7] Kristu anatupa zawadi kubwa ya faraja.
81,443
(ESPN) Chanzo cha picha, Getty Images Real imesitisha harakati zao za kumsaka mshambuliaji wa Benfica mwenye umri wa miaka 19 raia wa Ureno Joao Felix ili kuimarisha juhudi za kuweza ikumsajili mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard.
33,101
Nara za Mauti kwa Uistikbari Maana Yake ni Nini?
303,286
Mwenyekiti wa CECAFA ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amewaomba wadau kujitokeza kudhamini michuano hiyo ambayo itaoneshwa na kituo cha televisheni cha SuperSport.
1,333,297
Slaa aliyasema hayo katika Wilaya ya Kilosa baada ya kuwatembelea Waathirika wa Mafuriko ya Kilosa katika Makambi yao.
1,363,462
, Limited, ni kampuni ya teknolojia maalumu katika kutoa GPS Tracking System kwa ajili ya gari, lori, basi la shule, mashine njano, mali, watoto, wazee na zaidi.
30,822
Kusidi lake lilikuwa kimsingi kutunza kipaumbele ya makaburu na kuhakikisha Waafrika Weusi wasianze kushindana nao kwenye soko la kazi na nafasi za kijamii.
827,019
Mahojiano kati ya Msekwa, ambaye sasa ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi-Tanzania Bara yalikuwa hivi:
68,553
Simba SC walitangulia kupata bao dakika ya nane kupitia kwa winga arise machachari, Ramadhani Singano ‘Messi’ … Read entire article »