Search is not available for this dataset
text
stringlengths
0
186k
"senetor, mtanie,muambie unanilipa lini manake mwishoe mwanangu atakuja oa binti yako bila mahari, huku unajichekelesha. atapata msg!"
jibu kutoka kwa vyumba vya kitaaluma na 'magari binafsi' huko bursa
Kwa neno preferi ( prefere , prefero nk) unaweza kuonyesha kitu cha chini kinachohitajika kwa aina fulani ya chembe.
"wanafunzi udsm wagoma tena | jamiiforums | the home of great thinkers
5/kuna nafasi nyingi sana hapa za kufanya kuna kuifanya simu yako ipige alarm, au impige picha mtu anayetumia kwa kamera ya mbele ama ya nyuma,kuna kusoma meseji zake au simu zake anazowasiliana nazo, pia kuna kumtumia sms bila kutumia simu ikamfikia yeye kwa namba unayoitaka wewe ionekane kule, pia kuna kufanya simu yake impigie mtu fulani bila hata yeye kujua na mengineyo mengi sana mfano kujua location ya simu ilipo na inakuletea taarifa kila ikikaribia kuisha simu kuwa wapi ilipo kwa sasa wakati ikiwa na chaji kidogo...
mheshimiwa mwenyekiti, labda nitoe mfano kidogo tu kule kwenye jimbo langu la same mashariki kuna kiwanda cha tangawizi. kiwanda hiki sitatoa historia yake lakini nipende tu kusema lapf wameungana na wakulima, wamechukua asilimia 60 ya ownership na wakulima asilimia 40, well and good. lapf wamefikia hatua sasa hivi wanataka ku-install mashine kubwa, wameshapitia michakato yote ili kiwanda kianze kazi, sheshe linakuja barabara kwanza ya kutoka mkomazi kwenda same imekuwa historia miaka nenda rudi. (makofi)
"1, 2. batu baba ata babatanga kuziba i?"
"mikopo kwa studio ya atleti, sauli amethibitisha bila shaka kwamba anaitwa ""katikati ya mbuga"" ambaye hajui kamwe kupiga mbali."
sokonibongo blog: maiti ajali ya kibaha watambuliwa
tunamuomba allaah aliyetukuka akupatie subra, utulivu, umakini, usighurike kwa chochote wala lolote na akupe lililo na kheri nawe hapa duniani na kesho akhera pamoja na kukuweka katika imani thabiti.
huyu jamaa kapitishwa na ccm bila kuwa na makundi.
asante kalili. alafu wewe dogo (kp) kumuita waziri wetu mkuu mbaya sio vema kwani hayuko pale kuonyesha uzuri bali kulitumikia taifa.
flaviana matata ateuliwa kuwa balozi wa hiyari wa utalii tanzania. h@ki ngowi
Eneo la Rwanda ni nyanda za juu na milima; sehemu kubwa ni mita 1500 juu ya UB.
"anonymous june 22, 2012 at 12:18 am"
Anaposti kila uchwao story za wanawake wanasemekana kuteswa katika ndoa zao na kuamua kuachika kabisa.
"matokeo darasa la saba october 24, 2018"
homepage / prediksi macau / angka dewa togel macau hari ini kamis 24 mei 2018
03/23/17--14:06: simu tv: habari kutoka televisheni"
"therese: binti aliyedaiwa kumla nyama bibi yake! march 19, 2019"
tags: belarus, hukumu ya kifo, eu, featured, full-picha
"akiongea na waandishi wa habari mapema wiki hii, mwenyekiti wa chama cha wamiliki wa vyombo vya habari tanzania (moat), reginald mengi, amesema haoni sababu ya kuwepo mazungumzo baina ya viongozi wa kiislamu na kikristo kuzungumzia suala la kuchinja. mengi amesema, kuliko kupoteza muda kuzungumzia jambo hilo, ni vema muda huo ukatumika kufanya mambo ya maana na ya maendeleo. reginald mengi ameyasema hayo baada ya kuonyesha kuwa haoni kuwa kuna sababu ya kuwepo mgogoro baina ya waislamu na wakristo kutokana na suala la kuchinja. akisisitiza kuwa hakuna tatizo la msingi akasema kuwa kwa hakika itakuwa ni jambo la aibu kama waislamu na wakristo watajeruhiana na kutoana roho, kisa nini, kugombea nani achinje. ""mimi ni mkristo, hoja yangu haiingilii undani wa imani za watu, lakini kwa utaratibu tuliorithishwa na wazee wetu kwa kuwa hadi leo haujatuathiri, tunaishi kwa amani na umoja, sioni sababu ya kuufuta, waislamu waendelee kuchinja."" alisema mengi. kwa upande mwingine imeripotiwa kuwa mufti wa bakwata anaunda tume ya kukutana na viongozi wa kikristo ili kuzungumza na kuondoa tofauti zinazoendelea, moja ikiwa ni hilo la kuchinja. mufti simba akasema kuwa anawaomba maaskofu wawapokee masheikh wake na kuwapa ushirikiano. ni ukweli kuwa kama suala la kuchinja lingekuwa na mushkeli kwa upande w a wa k r i s t o k i i m a n i , lisingesubiri mpaka wakati huu ndio lilipuke. na msingi wenyewe ni kuwa kiimani, kimafundisho ya kikristo na kwa mafundisho ya biblia, wakristo hawaharibu imani zao wala ukristo wao kwa kula nyama iliyochinjwa na waislamu. ndio maana reginald mengi anasema kuwa ""kwa utaratibu"
Rep. André Carson of Indiana's 7th district soon will be the first Muslim lawmaker to serve on the House intelligence committee, according to Politico.
ni aibu na matokeo yake ndio hayo yaliyoonekana uwanjani angalia sasa timu ya bara yanga ndio pekee iliyosalia kwenye mashindano ya kimataifa
kashfa, baada ya kutwaa ardhi yenye ukubwa
rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mhe.dk. ali mohamed shein, akizungumza na ujumbe wa madaktari bingwa kutoka nchini norway chuo kikuu cha ""houkeland university hospital"" wakiwa nje ya ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao.
Thamani ya Ntibazonkiza aliyefunga bao pekee la Burundi wakati ikicheza na Taifa Stars kwenye mechi ya kirafi ki iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, wikiendi iliyopita, inazidi ile ambayo ilitumiwa na Simba kusajili timu nzima msimu wa 2017/18, ambapo wenyewe waligota Sh bilioni 1.3 ukiwajumisha nyota kama Aishi Manula, John Bocco, Erasto Nyoni na wengineo.
Gani kufanya makosa machache, unaweza potreniroatsya katika flash michezo. picha ya msichana yoyote inaweza kuboresha bora kufanya-up expertly alifanya, vizuri, mbaya - kinyume chake.
Watford wana imani kuwa Kiungo wao Abdoulaye Doucoure, 26, atasalia klabuni hapo walau mpaka mwisho wa msimu huu, japo kumeshatangazwa dau la pauni milioni 50 na Paris St-Germain ambao wanataka kumsajili. (Evening Standard) Marcelo na Ronaldo
pikipiki zilizo nyingi nchini ni za kichina ( affordable kwa kila mtu) - hivo tumia simple formula pikipiki za kichina= spea za kichina.hapa unakuwa uwewapa wateja kitu wanachokipata
ina lillahi wa ina illaihi rajjiun. rip mwana kwetu
"katibu wa itikadi na uenezi, humphrey polepole anazungumza na waandishi wa habari, unaweza kutazama kwa kubonyeza play hapa chini"
1377 views | 8 likes | 7a6axfbmmvagr8m | 2018-09-17 14:32:53
"baba + mkuu wa wilaya wakanusha wasema yu hai.
293 s0304-0513 kagera bukoba secondary school f mwanaidi mundhari suleimani
"> chuo cha uhasibu arusha kuanzisha programu nne za uzamili - msumba news blog
moja kati ya mitambo husika katika sakata hilo bado ni mali ya Richmond Development Company (RDEVCO L.L.C).
"""akiswali nyuma ya mtu anayedhani kuwa ni muislamu, kisha akajua kwamba ni kafiri au anacheza tu, au hajabaleghe, basi swalaah yake ni kamili, kwa kuwa allaah hakumkalifisha kuyajua yaliyomo ndani ya nyoyo za watu, bali tumekalifishwa yale tuyaonayo kidhahiri. hivyo, tunaloamrishwa swalaah inapoqimiwa ni kuswalishwa na mtu tunayemwona kidhahiri, na mwenye kufanya hivyo, basi anakuwa ameswali kama ilivyoamrishwa.""."
"masele: mheshimwa mwenyekiti, ahsante sana kwa kunipa fursa ya kuchangia hoja hii ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki.
mshiriki wa redds miss tanzania 2012, babylove kalala akijarimu kumuuma nyoka wakati mrembo huyo pamoja na wenzake wanaowania taji hilo walipotembelea eneo la snake pak mjini arusha.
VITA VYA KUMILIKI * sehemu ya tano * | Gospel Kitaa
Mmoja wa wahusika, ambayo huwezi kuona kwenye Lyoko tu ni Jeremy, lakini si kwa sababu yeye ni mwoga, lakini tu kwa sababu katika dunia virtual, yeye ni kiongozi bora, na kama fikra kompyuta ni muhimu kwa ajili ya kudhibiti.
"napata mashaka na uwezo wa kufikiri wa baadhi ya watu. hivi kweli ww huyajui maadili mazuri, kweli!!!!???? ny ngoja nikukumbushe baadh tu. 1. wasichana wasiva nguo fupi, suruali zinazoonyesha maumbile yao. 2. kukomesha mashndano yote ya urembo. 3. wanaume wasivae nguo za kike km comed na akina majuto. upoooo!!!"
possibly unasaidiwa.
kavumbagu amwita stewart hall mzungu mweusi
bwana mohamed mpinga"
gospel singers mlima wa moto video
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na menejimenti ya TTCL Corporation baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation na kuzindua huduma za shirika hilo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
"← previous story serikali yatoa mafunzo kwa vijana 11,492 katika fani mbalimbali
baraza lote la mawaziri la israel limemkaribisha rais wa marekani george w bush katika ziara yake nchini israel baada ya kipindi cha muongo mmoja. rais bush amefanyiwa gwaride la heshima katika ishara ya kumuunga mkono kiongozi huyo katika zira yake ya mashariki ya kati, hali ambayo ni nadra sana kutokea katika ziara zake za kimataifa.
mambo haya kumi(10) yanaweza kuokoa mahusiano au ndoa yako
mtasema sisi waongo??
Du kaka Michu kiboko yaani unakaa poolside jua limewaka huku umevaa kaunda suti kama za usalama wa taifa :-)
"hospitali ya rufaa alkafeel ambayo ipo chini ya atabatu abbasiyya tukufu imegharamia uwekaji wa viungo bandia kupitia kituo cha abulfadhil abbasi (a.s), miongoni mwa misaada ya kibinadamu wanayo toa ni uwekaji wa viungo bandia kwa majeruhi wa wapiganaji wa hashdi sha'abi, walio poteza viungo katika uwanja wa utukufu, kama sehemu ya kuonyesha kuwajali kwa namna walivyo jitolea kwa ajili ya kukomboa taifa na maeneo matukufu."
mambo mungu anayochukia - 11
Je, unaamini kwamba jinsi wanandoa wanavyolala huonesha afya ya ndoa yao?
"mmoja wa wasiohadaika na dhamira za ccm ni mwajuma binti kishana (silo jina lake la kweli).
Nicaraguan Cordoba (NIO) Kwa Philippines peso (PHP) historia kiwango cha fedha
sehemu ya waumini wakiendelea na ibada ya kumbukumbi ya kifo cha mzee nestory kasabila
Kabla ya kufika kwangu, nilisoma kuwa, jeshi lilipelekwa Msimbati baada ya waandamaji kuharibu jengo lililopo kwenye hifadhi ya bahari (marine reserve).
"unawezekana kuwa katika mapema yako hadi katikati ya kazi, mzee kati ya 18 na 35 (mnamo 14th mei 2017) na tayari una mifano ya wakati umeonyesha uongozi."
baadhi ya wananchi waliongea na gazeti hili kwa nyakati tofauti wamesema kuwa huenda soli hizo wanunuzi wake hutumia kutengenezea viatu aina ya yeboyebo wanavyovizalisha
mto laga kom ni korongo linalopatikana katika kaunti ya isiolo, katikati ya kenya.
rekebisha makosa yako
"ondoa takataka ikiwemo wadudu, mawe katika mbegu kwa kupepeta kwa kutumia ungo au mashine zinazoendeshwa kwa mkono, injini au umeme."
Kwa hiyo mkuu unataka kusema kwamba Tanzania ilikuwa mali ya Watanzania kati ya mwaka 1967 hadi mwaka 1992. Yaani wakati wa utekelezaji wa Azimio la Arusha ambapo njia kuu za uchjmi zilikuwa zinamilikiwa na Watanzania wenyewe.
"kama wanawake mnawaita malaya ,kwani wanakuwa wanatembea na akina nani .mbona majina mnawapa wanawake tu !!!mimi sipendi na sipendi kabisa mnazidi kuwadhalilisha jinsia hii kwana wanasagana !si wakuwa na wanaume .sasa natangaza mkome na mkome kuwasema sema wanamama vibaya"
"imechapishwa na wizara ya elimu, sayansi na teknolojia kwa 19:09 hakuna maoni:"
Mageuzi ya bei ya fedha za Rial ya Iran ikilinganishwa na bei ya fedha za Qatar riali
the westminster shorter catechism. iliwekwa mnamo 2008-03-21.
Hii ‘serengeti’ ni shati ambalo ushonaji wake umetohoa uvaaji wa waafrika wengi au makabila mengi ya Tanzania (hii ilikuja kuboreshwa zaidi kutokana na utafiti wetu wa uvaaji wa makabila 9 ya Tanzania mwaka 2001 – 2002 na likaja kushika naffasi ya kwanza vazi la kiume katika mashindano ya 2004 mkoani Kilimanjaro).
this campaign was officially launched on 11thapril 2013 and will run until 30th june 2013.the draw for each month will be held on the 1stweek of the proceeding month, based on qualifying entries for the previous month.
wapweke
Kujifunza kukaa umakini kunaweza kumaanisha tofauti kati ya kukutana na muda ulio muhimu na kuwapoteza. Kuna njia nyingi za kukaa kulenga.
naibu waziri wa afya zanzibar harusi said suleiman ametoa wito huo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya usikivu duniani kilichofanyika kisonge mjini zanzibar.
Leo na masayasi katika mahali ya dini, ni ngumu kuitumia kupatiana kanuni – si eti kanunu zote ni mbaya.
vitabu vizuri vinakuwezesha uweze kufanikiwa
uswazi - fedha ugavi m1
na wametofautiana sana katika heshima na mafanikio yao ya utendaji kama mabalozi. pia wapo mabalozi ambao ni career diplomats ambao utendaji wao
ciat,taliri-tanga na sua .
"katika suala la kulisha kuku, inategemea umri wa ndege. ikiwa kuku ni mdogo na bado hawatakimbilia, basi unahitaji kuwalisha kama kuku ndogo - na nafaka na wiki."
"likes: sweetapple, kmayunga, alubati and 1 other person"
"ijumaa iliyopita oktoba 24, mwaka huu ulimwengu uliadhimisha miaka 69 tangu kuanzishwa jumuiya ya umoja wa mataifa (un) huko new york nchini marekani. ilikuwa ni baada ya vita kuu vya pili ya dunia kumalizika (1939-1945). umoja huu ulioanza na nchi wanachama 50, leo una nchi wanachama 193; hii ni hatua moja kubwa ambayo haina budi kupokewa kwa shangwe, wakati nchi hizo zinakaa pamoja katika mazungumzo na mijadala ya kujenga umoja na uelewano katika dunia yetu. nia na shabaha kuu ya umoja wa mataifa ni kujenga na kustawisha haki za msingi za binadamu. hii ina maana kuwa malengo ya umoja huo ni kuifanya dunia kutawaliwa na mambo mawili — amani na usalama. leo tunapoadhimisha miaka 69 ya uhai wa umoja wa mataifa, kuna maswali na maelezo mengi ya kina yanayohitaji majibu na ufafanuzi sahihi kuhusu hiyo shabaha kuu ya “haki za msingi za binadamu”. maswali na maelezo ya kina hayatoki mbali wala hayahitaji mwenye macho na masikio kuhoji au kueleza tu, bali hata asiye na macho na masikio wanaona na kusikia mambo na shughuli zinazofanwa na jumuiya hiyo ya umoja wa mataifa. kabla sijazungumzia kile ninachokusudia, napenda kuungana na binadamu wenzangu duniani, kuupa hongera umoja wa mataifa kufikisha umri wa miaka 69. hapana shaka umoja huo umeona na kupambana na misukosuko mingi yenye utata, vitisho, vita na mauaji ya aina aina. si hivyo tu, hata mambo ya heri, upendo, furaha, utulivu na amani za hapa na pale zimeonwa na kupita mikononi mwa umoja huo kwa nia kuu ya kutaka kujenga na kuimarisha amani na usalama duniani. hongera un. nianze kwa kusema na kutoa shukrani kwa umoja huo kuikubali nchi yetu kuwa mwanachama tangu mwaka 1961 hadi leo na kuweza kuithamini, kuijali katika nyanja mbalilmbali za maendeleo ya binadamu. ninashuhudia baadhi ya wananchi wenzetu wanapewa kazi na madaraka ya juu katika umoja huo. nchi yetu kupewa misaada ya hali na mali na heshima mbele ya mataifa mengine duniani na kuchochea harakati za maendeleo ya nchi. kutambua na kupokea shughuli zetu za ustawi wa jamii katika utoaji elimu, matibabu, ajira, utamaduni bila kusahau masuala ya ufundi, sayansi na teknolojia. uboreshaji wa makazi mijini na kilimo bora huko vijijini. shughuli hizo kwangu ni tamu kama asali na ni nzuri kama waridi. hapa natoa kongole kwa wajumbe na wafanyakazi wote wa umoja wa mataifa. kama wahenga wasemavyo, kila jambo lina ncha mbili, basi na umoja huo hali kadhalika. ncha hii ya pili kwangu ni chungu kama shubiri na ni mbaya kama dharau. nimesema hivyo kwa sababu ile shabaha kuu ya haki za msingi za binadamu na malengo makuu mawili; amani na salama ni mgogoro duniani hadi leo. vita na mapigano kati ya nchi na nchi; na kundi moja na jingine ndani ya nchi vinaendelea huko iran, iraq, libya, somalia, nigeria, israel na kadhalika. vita hii misingi yake ni kukosekana haki; haki katika maisha, dini na utaifa. ndani ya umoja huu kuna baadhi ya mataifa ndiyo yenye kauli ya uamuzi kama vile marekani, ufaransa, uingereza, ujerumani, (akina nato) wakiamua lao lazima liwe hata kama haki, amani na usalama unavunjwa. leo wapalestina wanaporwa nchi yao na marekani kupitia mgongo wa waisraeli, ambao ni vibaraka wao. ukiangalia ramani ya nchi ya wapalestina robo tatu imenyakulliwa na kukaliwa na waisraeli. un iko wapi? nchini iran kuna vita ya madhehebu ya dini moja ya kiislamu, marekani ndiyo kichecheo kikubwa na umoja wa mataifa haina kauli mbele ya marekani. sawa hiyo? vipi un inakuwa na kigugumizi! haki iko wapi? baadhi ya viongozi wa afrika wanaotuhumiwa katika mauaji ya kimbari haraka wanafikishwa mahakama ya kimataifa, lakini baadhi ya viongozi wa marekani wanaotuhumiwa kuua viongozi wa uarabuni na afrika hawaguswi. umoja wa mataifa wanaona, wala hawatoi amri ya kukamatwa viongozi hao. hii dhamira ya kuanzisha umoja wa mataifa iko wapi? kweli amani na usalama vitapatikana duniani wakati baadhi ya mataifa ni madikteta ndani ya umoja huo? hawaguswi wala kukemewa. ni busara umoja wa mataifa kuwa na fikra za ukombozi na kimapinduzi kuokoa mataifa yanayoendelea. hebu mthubutu kuziambia nchi zilizoendelea, hasa marekani na wenzake kuacha ubabe na uuaji wa binadamu wasio na hatia. dunia salama inawezekana, timizeni wajibu wenu."
shirika la kuwahudumia wakimbizi la umoja wa mataifa unhcr linasema kuwa hali nchini ivory coast kwa maelfu ya raia wa nchi hiyo inatia wasiwasi hata baada ya kuimarishwa kwa usalama kote nchini.
“Bongo bato moko bamemaki moto moko akufa makolo banda abotama. Bazalaki kotia ye mikolo minso na ekuke ya lopango ya tempelo,ekuke oyo babengaka: “Ekuke ya kitoko”, mpo esengaka makabo ya mawa epai ya bato bazalaki kokota.
sintah !!! paja paja guu g.!!!
"(zonetherapi - acupunture - hypnosis - pendulum - homeopathic - copper arm rings - means of protection against radiation from the underground - mesmerism - wanaoponya bila kutumia jina la yesu - uchawi - uganguzi mweupe na mweuzi - n. k ( samahani, maneno mengi hayaelezeki kwa kiswahili. )"
imodoka yahawe umurenge wa rwezamenyo
haha.katika kipindi ambacho wasouth na dunia inaomboleza kifo cha mzalendo n amwanamapinduzi.balozi wa south africa kaamua tumia muda wake kuliambia taifa mbele ya mengi kuwa lazima kutumia rasilimali vyema kwa maendeleo ya africa.
Kwa taratibu za Jukwaa hili la Kibunge, nafasi hii hushikwa kwa kuzunguka kwa zamu miongoni mwa nchi wanachama.
Hivi majuzi nimepima ukimwi na kujigundua kuwa nimeathirika, akili yangu imekuwa kama mtu aliyechanganyikiwa, nina mawazo sana na pia najuta kwa yote niliyoyafanya, nashindwa nitamuelezaje mke wangu.
hawezi kuwa comedian kwani he is not funny!!!
haya ndio magari 5 yasiotumia mafuta mengi tanzania"
kama sio ulimbukeni nini bujibuji?!
‘wabunge wa lipumba’ kikaangoni kesho
feminelle special care deodorising cleansing intimate gel ni kimiminika kisicho na sabuni cha kuoshea sehem nyeti za mwanamke. imetengenezwa na lactic acid asilia inayomsaidia mwanamke ku balance ph yake na hivyo basi mwanamke anaepuka kupata miwasho, harufu mbaya na humuepusha pia kushambuliwa kirahisi na bacteria au fungus. pia husaidia kumuweka mwanamke awe na unyevu wake asilia. matumizi ni rahisi na salama na haina madhara. (dermatologically and gynaecologically tested ) inapatikana kwa ujazo wa 300mls na kwa bei nafuu sana. ukinunua inakaa mda mrefu kwani tone moja hutosha kwa matumizi pale uogapo. dm/whatsapp/sms 0762-211739.karibuni sana #feminelle #feminelleproducts #feminellespecialcare #feminelleoriflame #feminellecleansingintimategel #intimatecleansinggel #naturallacticacid #deocomplex #panthenol #oriflameintimategel #oriflametz #oriflametanzania #oriflamemoro #oriflamemorogoro #morotz #morogorotanzania #networkmarketing #safeproducts #intimatecare #womenproducts #originaloriflameproducts #oriflameproducts
simba imefungwa kwenye michezo miwili iliyopita kwa mabao 5-0 kila mechi, ilianza kufungwa na as vita kule congo drc na baadaye ikapokea kipigo kama hicho misri mbele ya al ahly
kama huwezi kuwapata jibu la swali lako kutokana na taarifa zinazotolewa chini tafadhali jisikie huru wasiliana nasi moja kwa moja. alipoulizwa hivi karibuni maswali general
katika ligi ya msimu ilianza kama kwa kutoonyesha upinzani na kuibuka dakika za mwisho hivyo kuitishia simba katika kuwania nafasi ya pili
"kupitia mabadiliko hayo, anasema idadi ya wajumbe katika vikao vya uamuzi vya chama hicho imepunguzwa, huku kamati kuu iliyokuwa na wajumbe 34 sasa itakuwa 24, nec watakuwa wajumbe 162 kutoka 388 na wajumbe wa mkutano mkuu watakuwa 1,000 badala ya 2,380 ya awali."