audio_ID
stringlengths
27
93
path
audioduration (s)
0.33
212
sentence
stringlengths
3
3.1k
utterance_pitch_mean
float64
73.4
368
utterance_pitch_std
float64
4.29
276
snr
float64
-2.42
67.4
c50
float64
5.99
59.9
speech_duration
float64
0.32
187
stoi
float64
0.38
1
si-sdr
float64
-17.98
27.2
pesq
float64
1.09
4.04
pitch
stringclasses
7 values
speaking_rate
stringclasses
7 values
sdr_noise
stringclasses
7 values
reverberation
stringclasses
7 values
speech_monotony
stringclasses
7 values
moment_3_vegetative_20240417_58599095-b2e6-47d0-a396-391d047f1ee5_1713783585719_processed.wav
Nini usichopenda kuusu aina B.aina B nisichopendaa maharage haya yanakuwaga hayana bei zaidii.
159.719269
87.370049
40.142033
57.346752
2.73375
0.929138
16.616779
2.043997
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_4_reproductive_c8dc1074-6bb4-442d-9926-73dc4ed721fd_1715758140444_processed.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda?Aina A nimeipenda imezaa vizuri tena imekua nzuri kwa hali hiiyo.Je unakitu kingine ambacho umekipenda tofauti na hivyo?Nilicho kipendea aina A imevumilia sana kwa hali ya hewa.Una kingine cha kuongezea?Sina.
188.534485
125.874809
33.249416
57.287495
12.808125
0.92651
5.693151
1.601158
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
moderate intonation
moment_4_reproductive_3416baef-1385-43bc-96d4-123cabbf40cd_1716020253320_processed.wav
ah angalia aina C afu niambie ni kipi ambacho hujakipenda kuhusu hiii aina C.kwenyee C ambacho sijakipe sijakipenda nii kwamba inachelewa kuzaa, pia inaonekana kunaa kama inakimbiliwa kidogo na ugonjwa.
128.423218
31.589293
39.145142
58.916065
11.77875
0.953627
3.858207
1.438322
quite low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
very monotone
moment_4_reproductive_2ac205b4-75ea-44dc-af56-636b3691a914_1718365875507_processed.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio.aina C na yenyewe inashambuliwa sana na wadudu.kingineinaenda juu sana .sawa.
214.076187
48.388039
39.239063
57.892696
8.758125
0.931933
8.505833
1.643973
moderate pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
1690278607906_processed.wav
ni kitu gani hukukpenda wakati unakuza aina ya B ukiielezea kwenye sifa za kilimo kwakweli hakuna kitu sikukipenda kwenye aina hii ya B hamna, hakuna
158.894943
47.560165
41.945194
51.852329
10.985625
0.926904
14.27171
1.738204
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_7062dd35-5cf5-4fa6-a530-f5f7e6cafad4_1715598073940_processed.wav
Error.
217.12738
17.633446
50.110439
27.610735
0.405
0.973499
20.055893
3.776771
moderate pitch
very slowly
quite clear
moderate reverberation
very monotone
moment_3_vegetative_20240417_683a8874-2112-474e-bc5e-418693954121_1716044167931_processed.wav
Nini unapenda kuhusu aina C?Hamna.
177.117752
43.622784
10.746687
56.094414
2.6325
0.990559
24.463337
3.760999
slightly low pitch
very slowly
quite noisy
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_11bb9b1c-3480-4d9f-bfc9-ba2c76c5051b_1713424539124_processed.wav
kuna kitu chochote ambacho hukipendi kwenye aina B?hapana hakuna kitu ikoo ambacho sikipendi.
205.576202
98.567238
39.545322
58.482723
4.404375
0.880934
12.492247
1.797286
moderate pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
1690965375981_processed.wav
Kwa ujumla ni aina gani ya Tricot uliipenda zaidi kati ya A, B na C? Ni A na B Uliyoipenda zaidi? Ni A
302.369324
187.927902
14.321261
44.344341
10.209375
0.918793
2.063154
1.447758
quite high pitch
very slowly
quite noisy
quite confined sounding
slightly expressive
1690458583714_processed.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu aiinaya B kwa biashara au matumizi ya c hakula hiyo B, sijaizoea
191.426086
124.439049
45.772739
51.132954
6.48
0.693671
-6.625535
1.176385
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
moderate intonation
1690623098907_processed.wav
ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula? biashara na matumizi ya chakula kwa sababu inatoka kwa wakati
134.505508
100.301987
40.289883
59.069778
7.408125
0.890756
11.751425
1.740061
quite low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_7bc7a712-23b3-4b1c-80eb-532b122c723d_1713591645770_processed.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Sijaipenda kwa sababu haikuota.
140.097168
80.323799
46.253853
59.441235
7.29
0.958922
21.851107
2.712425
quite low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_d980b043-1931-40ed-9e8f-5f3f3233b7e8_1713675846538_processed.wav
tunaendelea na maswali nini usicho kipenda kuhusu aina A. mimi nimependa yame ungua lakini sijapenda. hujapenda nini.yalivyoungua. yalivyo ungua.ndioo.yamee eehee unaonaje. yamengua na mvua. mvua.ndio.sawa sawa kingineee ambacho hupendi katika aina hiyo.amna.amna.ndio.
177.900269
79.253036
35.711498
59.125587
19.74375
0.965974
10.593266
2.173102
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
quite monotone
moment_4_reproductive_4c200026-d826-4fe9-88d4-9fb186757d1b_1716456600623_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina B?ninachokipenda kuhusu aina B yanaanyauka kwa wakati lakini sasa uzao wake sio mzuri.
171.772766
69.906372
44.301678
58.579784
6.91875
0.947981
21.731411
2.565767
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_6_postharvest_bd63d598-e311-4cca-87d6-f7cc4e75a6a4_1718968733531_processed.wav
Nini usichopenda kuhusu aina C?Aina C ni maharage ambayo ukipika hayaivi pia kwa haraka yanatumia muda mwingi.
146.321625
42.71949
37.621544
59.149033
8.353125
0.973946
17.775347
2.500309
quite low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
1690622537039_processed.wav
je kuna kitu chochote ambacho ulikipenda kuhusu kukuza aina ya B? eleza kwenye sifa za kilimo hakuna
201.281189
47.404438
53.608822
57.319679
4.674375
0.958355
19.888664
2.868351
moderate pitch
very slowly
quite clear
very confined sounding
quite monotone
moment_4_reproductive_36a113c0-cdfe-4983-9cd6-c6a4585a991e_1716808502294_processed.wav
Nini usichopenda kuhusu aina B?.Hakuna….
185.424667
95.359169
43.262951
41.508949
2.39625
0.961452
4.914058
2.065462
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
slightly confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_62a1df88-6d60-4916-b52a-ac261ce1629a_1714052134681_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina A.aina A naipendaa inawezaku , inawahi inachelewa tu kutoa maua lakini ni kwaajili tulipanda halafu ikashikwa ikabanwa sana na kajua kidogo na ilivyoota ikashambuliwa na ndege pamoja na wadudu lakini hii mbegu mi naona ni nzuri na naipenda.
265.35379
111.101585
32.503124
50.115219
20.385
0.902171
10.941583
1.894901
slightly high pitch
very slowly
moderate ambient sound
quite confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_431b491f-1734-4b7d-b93a-c483f943e657_1719238540088_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina A?aa mikwakweli aina A sijaipenda ila nimeipenda aina B na C.
188.092697
122.160568
44.921104
59.380642
7.104375
0.863106
9.580204
1.780418
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
moderate intonation
moment_3_vegetative_20240417_86564fdc-af66-4e24-af04-8eb1dbcd75fd_1713972730871_processed.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo. namba C hii siipendi kwasababu ina ma naona majani yanakauka.
229.572281
119.381783
41.586601
57.708866
10.850625
0.937079
11.737958
1.536215
moderate pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_4_reproductive_e9d92465-5d87-475e-a10b-db13825f6fba_1716976860396_processed.wav
angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hii.… sijaona kibaya kwenye aina B.hakuna kitu ambacho hakijakupendeza .ee.aya asante.
123.400963
108.649292
25.906351
57.78561
11.053125
0.921169
6.856816
1.543447
quite low pitch
very slowly
slightly noisy
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_88129f37-903b-4d49-b8dd-16f4caa58110_1714463484415_processed.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?.......Aina A naona kama yamezaa vizuri kuliko nanii kuliko mbegu zingine..
193.469757
45.711994
32.615299
56.395306
1.99125
0.972009
16.936548
3.3726
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
quite monotone
moment_4_reproductive_afd58fd7-51ad-4e95-9041-8b420daa9863_1716126278575_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina A.aina A napenda maarage yame zaa watoto wengi halafu yame stawi vizuri.kipi kingine umependa kuhusu aina A.hakuna.hakuna?eeh.
172.944366
61.945126
44.238308
54.933723
11.660625
0.964758
17.008657
2.865451
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_4_reproductive_adc3479b-0251-4db0-a79e-11afa4cdd2b3_1714990445646_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina B.aina B inaa inatoa maua vizuri na uzao wake pia sio mbaya.
121.860886
91.333954
46.410835
57.139107
3.358125
0.941428
14.27559
1.685261
quite low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
1691145407146_processed.wav
ni nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya B? cha kwanza rangi yake nimependa , pilli nawahi kukomaa haraka ndio, cha tatu? cha tatu hata uzaaji wake sawa ahsante
242.835968
185.750275
18.403605
46.582649
10.648125
0.773298
8.205017
1.298416
slightly high pitch
very slowly
slightly noisy
quite confined sounding
slightly expressive
moment_4_reproductive_e4a75e5d-fe35-4553-b67f-c10ddaa6d892_1716964890850_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina A?aina A nimependa uazaaji wake pia sio mbaya saana alafu katika biashara wengi wanayapendelea hasa mashule maana hayana gesi tumboniee sawa kuna kingine?kingineee labda mradi kama utatuhurumia basi uje utuongezee maana hivi ni vidogo mno.sawammh.
172.011688
41.658691
38.989426
52.508949
19.929375
0.892096
1.191333
1.189283
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
very monotone
moment_6_postharvest_c95f24bb-f720-4ec1-abb6-e5cef6ffb54e_1719475578822_processed.wav
ukiangalia aina A umependa nini?A nimeyapenda ni mazuri.mh.mmh.
330.179688
207.413437
7.032368
39.87331
2.80125
0.884053
2.313872
1.265377
very high pitch
very slowly
quite noisy
slightly confined sounding
quite expressive
moment_4_reproductive_3416baef-1385-43bc-96d4-123cabbf40cd_1716020216747_processed.wav
angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hii haina C ninachokipenda kwenye group C kwambaa ina uzazi mzuri afuu majani yake kidogo yanahifadhi chakula chakee kwahioo inaa kidogo inaenda na wakatimmh ….inaa vumilia ukamendio pia inaonekana inavumilia ukame.sawa sawa.
130.563995
60.312927
43.478992
58.673992
14.698125
0.901651
5.558845
1.357602
quite low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
1690361890035_processed.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina C, eleza kwenye sifa za kilimo Kwa ujumla hakuna kitu ambayo kimenisababisha nisiskipende kwasababu tayari nimeshaona zao ni zuri, kwaio sijapata sehemu ambayo itanisababisha nisiipende, nimeipenda mimi sawa
251.372299
206.968063
13.196709
57.106487
15.8625
0.909333
-5.195213
1.127568
slightly high pitch
very slowly
quite noisy
very confined sounding
quite expressive
moment_4_reproductive_a2b047f3-7c1c-43cc-a14b-b3afff91d5a4_1715675649594_processed.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda?Aina C kuna baadhi ya maharage ambayo yanafanya vizuri sana ingawa mengi yameathirika lakini nimeopenda kwa sababu kuna baadhi ya maharage yamezaa vizuri kabisa.Kuna kitu kingine cha kuongezea kwenye aina hii ya maharage?Cha kuongezea kwa kweli sina.
171.246353
102.887413
39.425018
56.01828
18.106874
0.947074
8.2778
1.791547
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_4_reproductive_6df59816-321a-4ed1-bd0a-a8853d1cf1aa_1715921387422_processed.wav
labda ni kitu gani unapenda kuhusiana na aina hii ya maharage haya?ina uzazieehya kwake ni nzurieehna pia kwa beiaah okafu haina mazungumzo mengi sasahivi.sawasawa.
220.880722
156.200699
12.847572
54.718285
2.4975
0.846419
4.375084
1.298774
moderate pitch
very slowly
quite noisy
very confined sounding
moderate intonation
moment_4_reproductive_e0d1095d-2200-401c-bdbd-f2b03c8f4a8f_1716467088084_processed.wav
Nini usichopenda kuhusu aina A?Aaah haionekani kama vile wanaa wanapenda kushambulia.Kuna kingine ambacho unakiona ambacho hupendi kuhusu aina A?Hamna.
176.554642
96.411957
44.439659
54.829578
7.306875
0.951127
19.127666
2.741205
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_7b72d8fe-15d5-4d83-872e-82e2e93fff6a_1713608020055_processed.wav
Nini unape nini usichopenda kuhusu aina A?.hakuna nnachochukia kwenye aina eyii.
160.533401
92.558792
23.37694
57.060692
7.036875
0.956237
10.330653
1.641147
slightly low pitch
very slowly
slightly noisy
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_981f65d0-fa91-437f-858e-c439d4058cf4_1719216209120_processed.wav
Nini usichopenda kuhusu aina C?.Aina C kitu nsichopenda nikiangalia zaidi sijui wadudu wanapendelea, ndio kimamba vileeÉ
162.979218
64.911179
15.040977
59.037361
10.850625
0.949304
3.585303
1.427542
slightly low pitch
very slowly
quite noisy
very confined sounding
quite monotone
moment_4_reproductive_ca90120b-daf2-4b51-84e8-4ed9860be01b_1716791427336_processed.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.sipendi kutegemeana kwamba inatobolewa na wadudummh.halafu kutoshambuliwa tena na wadudu kwahiyo hicho ndio sikipendi zaidi.mmh inashambuliwa ama haishambuliwi.inashambuliwa.mmh.
188.160034
83.430695
44.597794
59.292545
13.60125
0.942846
4.410322
1.606812
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_4_reproductive_e4df4754-e46b-45cf-b768-f6306def5cd2_1716194323016_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina C?aina C naipenda kwa sababu hii mmea imekua vizuri ushambuliaji wa wadudu naona sio mwingi maharage yaliamka vizuri sana.
209.539825
92.755798
41.093185
56.002308
10.395
0.91416
-1.496834
1.204345
moderate pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_4_reproductive_89c5118a-310b-4b66-ac23-4bf6ac58007e_1715934649487_processed.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona unakipenda kuhusu hiyo.mmmh, KaribuAsante, mimi naona mbona kama vile haijazaa vizuri, imezaa moja mojaUnavosema imezaa moja moja unamanisha nini.?Si haijaota vizuri.Hamna kinakuvutia kwenye aina A chochote kinachokuvutia?Hamna kwa kweli kwa sababu sijaona uzaaji wake kama ni mzuri.
229.899307
79.919785
30.114111
56.157513
24.013124
0.910305
2.545141
1.328915
moderate pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_b70983b5-d554-4690-aefe-f67de8058b08_1716285232197_processed.wav
Error
124.726822
4.295812
59.334816
19.888378
0.928125
0.934157
8.300235
2.402442
quite low pitch
very slowly
very clear
slightly roomy sounding
very monotone
moment_4_reproductive_00517240-9e93-4fd2-94b2-54b60c07a9f6_1716471297325_processed.wav
Nini unapenda kuhusu aina C? nini unachokipenda kwenye aina C.Aina C naipenda imetoa imezaa sana.Kuna kingine unachokipenda kwenye aina C?Kingine ... hakuna.Hakuna.Mmmh.Yani tangia tumeanza jaribio mpaka sasa hivi nini kimekuvutia kwenye aina C.Ndio maana imezaa sana.Sawa.Mmmh kitu naipenda.Sawa.
152.04039
60.492203
42.394268
59.587383
16.605
0.929214
15.767791
2.597912
quite low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_4_reproductive_dc6855f2-2df8-4fff-b081-3294cd0eadfe_1716442773244_processed.wav
Ni usichopenda kuhusu aina B?Nisichokipenda hapa ni pia ni hii rangi ya njano ambayo inasababishwa na kuzidiwa majani kuzidiwa na mvua ikasababisha kubadilika kuwa rangi ya njano kabla ya wakati.
183.327652
53.408005
36.328011
56.515724
12.740625
0.957798
7.102647
1.394492
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_ae4a6c9f-0160-4971-88ea-cfd5bd90c3c2_1715952291783_processed.wav
Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Kwenye aina B sipendi chochote hapa.
162.269028
115.168312
21.10714
57.969959
8.9775
0.944858
11.475274
1.950234
slightly low pitch
very slowly
slightly noisy
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_6cb8fbdd-d5f7-48a8-9431-41ed79d7e0c7_1714402153617_processed.wav
nini usichopenda kuhusu aina c? aina C nilichokichukia ni kwasababu inavyobeba maua ake naona chini yake majani mekundumekundu nikasema hiyo lazima niitafutie dawa mpaka nijihakikishie hiyo CBD nimeitoa.
200.522629
44.433132
39.352871
58.023987
10.816875
0.938414
9.15506
2.390382
moderate pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_af6ad00e-63fc-413d-83e6-dbed334a7148_1714133515386_processed.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio aina A.Kitu ambacho sikipendi kwenye A ukuaji wake, ukuaji wake sioo kwa wastani sana.changamoto nyingine ambayo pengine umeiona kwenye hio aina A?changamoto nyinginee, ah haina changamoto zaidi.
127.521179
69.451538
17.461588
57.773937
15.795
0.843006
1.045059
1.323721
quite low pitch
very slowly
slightly noisy
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_9c229d56-3d6e-4d1c-8bf5-35d3f12cae35_1718391480046_processed.wav
ERROR..
203.560593
11.760018
58.050583
20.009155
0.43875
0.934529
17.880377
2.88372
moderate pitch
very slowly
very clear
slightly roomy sounding
very monotone
moment_3_vegetative_cf6e61fe-0c9c-423f-8e6c-7f4e8094493e_1716285472044_processed.wav
Error
184.019821
155.074783
58.620441
15.13816
0.826875
0.868353
9.876266
2.612412
slightly low pitch
very slowly
very clear
quite roomy sounding
moderate intonation
1690874432892_processed.wav
hiyo B ndo ulisema umeipenda sana, kitu gani katika kukuza hujakipenda kwenye B, yani ukiachana na mazuri yake kitu gani kibaya kwenye B apo kidogo sawa
187.523987
37.364429
48.053677
59.2061
5.63625
0.92297
18.2901
2.776751
slightly low pitch
very slowly
quite clear
very confined sounding
very monotone
moment_3_vegetative_20240417_6f7465b8-96d6-4f8e-bb58-fa1153ffbf97_1713960276121_processed.wav
tazama au angalia aina aina A na uniambie chochote ambacho kitakuwa chochote ambacho haki kuvutii kuhusiana na aina hiyo?ambacho kitu ambayo hainivutii, naona imeungua inahadhirika na mvua au na baridi, mmm ndo kitu ambacho akinivutii sana.sasa we umesema kwamba inaungua au inahadhirika na mvua, unaweza kunionesha labda wapi unaona kwamba imeungua au inahadhiriwa na mvua.ndiyo.kwaku kwakunielezea unaweza ukanielezea kulingana na mistari labda ukanielekeza ni mstari wa kazaa mmea wa kazaa hili hiwe rahisi kwa atakaye kuwa anaisikiliza hii audio iliaweze kujua ni sehemu hii hipo sehemu fulani. yenyewe imeathirika zaidi ni mtari kuanzia wa A mstari wa kwanza na wa pili, ndo umeathirika zaidi.je kuna jambo lingine lolote ambalo hupendi kuhusiana na hii haiona?hapana , kwa vile ni majaribio ndo tunaangalia matokeo yake.sawa sawa asante.
151.815002
54.422619
45.691994
56.719494
60.631874
0.912599
4.570293
1.42822
quite low pitch
slightly slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_4_reproductive_bac54207-48a5-4ec8-be3e-7520126ade74_1715859711455_processed.wav
ee ni kitu gani ambacho labda unapenda kwenye aina hii ya maharage?ni aina hii ya maharage yame ….. Pia kimei iko vizurindioee kiuzaziukipanda kwa wakati muafakaeehiko vizurindiokwa kwa matumizi ya mbogaaeehyako vizuri hata kwa watu wenye matatizo ya taifod na vidonda vya tumbo wanatumia kwahiyoeehhiyo hali kwangu pia ina inaridhisha kwa mbegu hiiaa okkkumezungumzia swala la bei,matumizi kwenye mboga na kingine labda ambacho kinakuvutia kwenye aina hii ya maharage?eeee kinachonivutia ni huu utaftwaji wa wa mbegu hiyo na napovuna wengi matajiri wanitafutaaah ok swala la matajiri kupatikana ukiwa na maana wanunuziwanunuziaa oklabda kuna kingine ambacho kinakuvutia labda kwenye aina hii labda kulingana na uzoefu wako? Ukiachilia mbali wanunuzi ulaji na vitu vingine labda kuna kingine cha kuongezaaah kingine ntakuwa sina saabu hivi vyote nilivyotaja ni vitu muhimu ambavyo vifo ndani ya mbegu hii …..
187.526184
119.602516
19.184212
55.968658
52.5825
0.848883
0.981727
1.17313
slightly low pitch
quite slowly
slightly noisy
very confined sounding
slightly monotone
1690628928062_processed.wav
je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina A? hapana
133.963089
22.332602
45.381439
59.585854
5.180625
0.958623
15.438586
2.443005
quite low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
very monotone
moment_3_vegetative_20240417_3824226a-1f87-4ece-94c2-6a071447d271_1714033894372_processed.wav
tss ni nini unapenda kuhusu aina A?aaa katika aina A hakuna nilicho kipenda pale kwasababu inashambuliwa na ni inapata magonjwa magonjwa mm ee si unaona kama inavyoonekana pale magonjwa yamekithiri pale miche imebaki michache kwahiyo sipendi hileume ume umeongelea swala la miche kubaki michache inashambuliwa na magonjwa unaweza kunionesha labda mche hupi au miche hipi imeshambuliwa? yah naweza kukuonyesha yah naona ne miche kama hile ambayo hiko na rangi kama ya njano ukingoa utakuja kukuta kwa chini ina ime ime ime ime ime ime inamayai mayai hama imeharibika kwa chini kwahiyo yale ni magonjwa ndiyo , hiyo miche ambayo unaisemea hipo kwenye mstari hupi kwenye plot Ahiko katika mstari wa kwanza na mstari wa pili hata mstari wa tatu sawaaje kuna jambo lingine lolote ambalo unaweza ukaliongelea hapo aaam hapana hakuna jambo jingine lolote katika mstari hii
135.794662
71.365295
50.961121
59.255096
61.441875
0.947886
13.453807
2.43434
quite low pitch
slightly slowly
quite clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_3fcd0bca-fde9-468a-8a6d-d5a0671b2ca0_1714314934660_processed.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?Nimeipenda tu imeota vizuri aina shida yoyote.Umependezewa na nini sasa hapo kwenye aina B ambacho unakiona umekipenda sasa kutokana na uotaji wake hadi kufikia hapo umependa nini?Uotaji wake na kuchanua kwake maua yametoka vizuri hayana shida yoyote.Aasante.
157.712357
82.69754
35.606915
59.536987
19.946251
0.927296
9.654133
1.523385
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_48f73bbd-d19b-4cec-8947-6d7daa1be36d_1714130909771_processed.wav
angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina aina B ukiangalia hapa umependa nini?hapa nimependaeehkwa saabueehuotaji wa maharagemmhkutoa mauammhkustawimmh naona yamekaa vizuri.sawa.
205.913162
82.288635
28.892977
56.187313
15.406875
0.900756
13.806355
1.706111
moderate pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_fa79b46d-9c5a-4988-be52-e8404e34b891_1714724274396_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina C.naipenda kutokana na uzao wake, uko vizuri .jambo lingine lilokupelekea uipende.jambo nilopendea niloipenda ni uzao wake unazaa vizuri haidondoshi hata nanii hata maua ee.asante kwenye la magonjwa na wadudu.halina.asantee.
201.006897
127.666443
31.689896
54.03186
10.36125
0.912739
-0.291565
1.342533
moderate pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
moderate intonation
moment_4_reproductive_885c1112-99b7-4c2c-9cb6-f65fe67f68f4_1715700817470_processed.wav
mmh ukiangalia aina C iyo iyo kitu gani ambacho usichokipenda sasa kutoka kwenye aina C?.aina C sema mimi navutiwa tu naipenda.mmh.kwasababu iko vizuri.mmh.inawahi kutoa maua.mmh.inainatoa na watoto.mmh.inakauka haraka.mmh.ee.kwahiyo ukiangalia kitu ambacho usichokipenda kwenye aina C?.hamna mi vyote navipenda.…
253.381485
92.625694
50.287682
56.756119
20.553749
0.934636
11.377637
1.988123
slightly high pitch
very slowly
quite clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_3824226a-1f87-4ece-94c2-6a071447d271_1714034318828_processed.wav
nini usicho kipenda kwenye aina C?aaa katika aina C aaam mi bana nisicho kipenda nikwamba mm inaonekana aina C inachelewa kutoa maua bwana, aaem eee inachelewa kuuu ku kumpa mkulima ma aa eee matokeo, lakini aina B inaonesha matokeo yapo siku za karibuni kwahiyo ma aina C ni choyo ina ee di i inachelewa kuleta matokeo bwana hicho tuaa umesema matokeo, unaweza kunielezea matokeo kwako inamanisha nini?yah nikua namanisha kwamba eee mmea unavyooo unavyotoa ma maua sasa tayari mkulima amekwisha karibia kupata matunda kutoka katika hile mimea, yaani mazao ndiyo ndiyoeee sasa ai aina C mpaka sasa inavyoonesha bado ina inachelewa aina C inachelewa hii ingine kidogo inaonekana zee A na B mm hizi hizi naona kama ngoma droo hapa lakini hii ingine inechelewa chelewa hii sawa sawaje kuna jambo lingine lolote?hapana sina jambo jingine lolotesawa asante sanaasante bana
151.209915
88.910873
52.142204
58.55098
65.205002
0.952136
15.010834
2.754934
quite low pitch
slightly slowly
quite clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_4_reproductive_07cb48a6-ee0f-453c-8afe-f8fc77ccb6df_1716876089003_processed.wav
nini ambacho hujakipenda kuhusu aina A? ambacho hujakipenda, kua huru tu yan we jibu tu ambachoo unaona.hapa nisichokipenda nnaona kamaa maharage yangu tuseme.enhee.tuseme yalivyoaribika.aah ambacho ndo umekichukia yani.eeh.yameharibika.eeh.yameharibikaje yani unaweza ukaelezea ata kama mtu ambae haoni aseme yameharibika yani kuna nini yameharibikaje? (…..)yani yameharibika niseme kunaa kii mdudu fulani.eeh.eeh kwahio kina nanilia mzizi ule.sawa yat.kinatoboa mzizii alafu marage yanakauka.aah okay.eh.sawaa.
210.184296
170.573212
20.917273
51.678688
12.65625
0.750752
-9.48212
1.242603
moderate pitch
very slowly
slightly noisy
very confined sounding
slightly expressive
1690277646498_processed.wav
kwa ujumla ni aina gani ya tricot uliipenda zaidi katika hizi mbegu ulizopokea mimi naona hizi zote aina mbili hii zote hizi ni nzuri isipokua sasa hayo yalioko shambani ambayo bado sijayavuna bado sijajua maana yale bado sijayavuna nione kwamba uzao wake uko ukoje, mpaka nitakapovuna nijue kwamba nimepata kilo ngapi, imepata moja, imepata nusu nitajua nitakadiria saa hiyo lakini kwa sasa siwezi kukadiria iliyopo shambani nakadiria hii iliyopo hapa, kwa maana hiyo hizi mbegu zote mbilli zote zinaifaa mimi zote zinanifaa mimi sawa, na mimi nahitaji chagua lako wewe, kwa hizi unavoziona chagua moja tu! sasa hapo ni mitihani kwa sababu zote nimezipenda, zote nimependa sijui sasa niseme ni ipi maana sasa zote hizi imeshazipenda na ndo maana nimesema kwamba sitakula nataka nitengeneze mbegu ya kunitosha baadae lakini sasa hitaji langu ni moja tu we nichagulie moja tu ambayo unaona unaipenda hata kwa kuiona kwa kuishika ah mimi ningependelea kama haya hii ya B eeee
186.041168
122.547127
31.638573
53.191944
58.438126
0.908676
2.931705
1.385224
slightly low pitch
slightly slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
moderate intonation
moment_3_vegetative_20240417_4902a28d-0ab2-45d9-babf-68d0b21f0335_1714567749025_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina A?.nakuhusu aina A naipenda kwasababu inatoa na kutoa nanii mzao moja kwa moja.ni hicho ulichopenda hakuna jambo lingine ulichopenda.pia imeota vizuri halafu haijaliwa na wadudu.…mmh…asante
206.03421
120.688828
50.092037
56.826618
10.749375
0.910866
-0.437389
1.54371
moderate pitch
very slowly
quite clear
very confined sounding
moderate intonation
1690612289299_processed.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa matumizi ya biashara au chakula hakuna
123.547348
22.663607
42.947788
59.711613
3.560625
0.915014
12.735114
1.85046
quite low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
very monotone
moment_3_vegetative_fdb43fda-4ed2-43ee-bf38-1b04ee438a8b_1713336903195_processed.wav
nini ambacho hujakipenda kwenye aina A?Ah mi kwanza yote napenda maana yote ni sawa tu naona hii.mmh.apa kila kitu nakipenda.lakini ukiambiwa kitu ambacho ujakipenda atakama ni kidogo.nichague kimojawapo sasa.yah kwa kwa ileile aina A pale.kwa kwa ile aina A?mmh.mi napenda vyote sijui sasa.unapenda vyote.mmh.
216.499084
67.247398
27.454065
59.182419
16.014376
0.884558
5.714636
1.293233
moderate pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
quite monotone
1690615419645_processed.wav
je kuna kitu chochote kinaweza kufanya aina ya A kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? ndio, nafikiri kua watafiti sasa wanalo jukumu ama wamepewa jukumu kubwa ana serikali au sisi wakulima waingie kazini sasa tunajua wwamefanya tafiti mbalimbali lakini ili kupata matokeo chanya wafanye tafiti myimgi sana na sio eneo moja maeneo tofautitofauti manake unaeza kufanya tafiti huku kwetu kilimanajro au huku wilaya ya hai, ukakuta labda huku kuna changamoto lakini ukafanya sehemu nyingine pengine ikakubali, kwahiyo wafanye tafiti nyingi iwezekanavyo na maeneo tofauti tofauti ili iweze kuleta matokeo chanya iweze kufikia walau C au B kigo naa inachelewa kukomaa haraka haina inaliwa na wadudu
160.591339
79.00386
48.932934
58.941479
40.550625
0.938341
5.627805
1.433211
slightly low pitch
quite slowly
quite clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_b444dfcd-e1db-4f57-986d-2ee011fc5b8c_1719240796156_processed.wav
Ngalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyoÉB hakuna ambacho sikipendi kwakweli naipenda nimeipenda hiiÉ
158.775192
57.609428
27.756557
58.369015
8.791875
0.943966
13.298958
2.074562
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_753e0d34-c0a4-4e14-b08e-62392420eeee_1712810497861_processed.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho upendi kuhusu hiyo?hakuna nisishokipenda kwenye hii ii aina B kwasa aina C kwasababu yanahenda kwa wakati wake na yako vizuri hayana tatizo lolotesawa nashukurusande sana
214.000565
91.536964
57.167618
59.601994
15.62625
0.943321
12.17479
2.163868
moderate pitch
very slowly
quite clear
very confined sounding
slightly monotone
1690622466926_processed.wav
Kti ya haya majaribio matatu ipi uliipenda kwa uchache B
173.38382
53.552807
43.873852
58.831932
3.763125
0.866702
-3.988851
1.148779
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_dd18aa85-b51e-4ac0-b0a3-d68d2b75e1ea_1715600536383_processed.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Aina C ni kwambaaa haina uzao mkubwa japo kwamba inapendeza sanaa lakini uzao wake ni mdogo sana.Saa….
189.359497
80.632744
50.583469
53.151867
10.26
0.889059
0.45282
1.202588
slightly low pitch
very slowly
quite clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_846b5d40-cc34-4db4-a61c-cb3573ffa64a_1715949710662_processed.wav
Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Hamna.
155.951202
72.808823
10.057188
58.174896
6.44625
0.912667
7.179926
1.463427
quite low pitch
very slowly
quite noisy
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_e23281d8-f239-48d1-99c9-bb8108ad4b37_1714106170626_processed.wav
angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho ukipendi kuhusu hio aina.sijayapenda viz maana hayajaota vizurini uotaji tu peke ake au kuna kingine?ni uotaji tu pekeake.mmh.
149.907669
37.680809
27.57781
55.57832
9.433125
0.859075
-1.463197
1.229101
quite low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
very monotone
moment_3_vegetative_20240417_fd389813-30b5-4398-a079-7bbeff5fe2be_1714546541058_processed.wav
Yeah angalia na aina B eleza chochote ambacho unakipenda?Haujaota vizuri.Mmmh ambacho umekipenda?Hapa sijakipenda kitu.Haujapenda kitu?Eee.
216.109116
185.665512
27.909706
56.562424
2.565
0.71986
-7.929465
1.243456
moderate pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
slightly expressive
moment_3_vegetative_e9c7c7bb-fb2f-456e-ad65-e60813ba84b9_1712848809515_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina B?ninachokipenda kwenye aina B inaota vizuri.
228.45224
69.07959
48.78228
58.905529
4.28625
0.954065
16.616329
3.274654
moderate pitch
very slowly
quite clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_51a68c08-2471-461a-84e3-596428ab9c2b_1714136129033_processed.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.Ndiyo,imeota vizuli lakini sehemu nyingine hajiz hazijashika vizuli.Mmmh.mmh.
236.628693
75.321922
20.564648
51.621216
8.083125
0.911294
10.736325
1.668872
moderate pitch
very slowly
slightly noisy
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_6cb8fbdd-d5f7-48a8-9431-41ed79d7e0c7_1714402000041_processed.wav
nini usichopenda kuhusu aina B? aina B sijaona kosa lolote nitakalolichukia iko vizuri maana najua kwamba nilirudishia udongo nikaja nikapita hapo na dawa ya kuchoma majani ili isilete magugu kwahivyo sijaona tatizo lake lolote.
193.126862
45.977108
37.087433
55.648945
10.665
0.947117
15.573967
3.533294
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_4_reproductive_43c1d704-1f73-4cd5-9d6f-fc917d09908d_1716887941802_processed.wav
mmh angalia aina C na eleza chochote ambacho unaona umekipenda.eeh ninacho nilichokipendaa hii mbegu ni nzuri ila sasa kulikua na dosari tu wakati ilivopandwa sijui nyingine ilioozaa.mmh.lakini ambayo ilioko pale kuota imeota vizuri.mmh.na na ata ivo yani yako vizuri maharage yenyewe.unataka kusema kwambaa wakati wa kupanda kuna nyingine haikuota?haikuota sababu haijawahii, labda imeota imekufa.eeh.aa haijaota kabisa.sawa.eeh.sawaa.
149.578964
88.891739
10.402597
57.464752
20.25
0.83298
-0.84708
1.212471
quite low pitch
very slowly
quite noisy
very confined sounding
slightly monotone
moment_4_reproductive_9a67f8fc-45c3-49d7-b169-9adf7be5abcb_1718366825196_processed.wav
Sawa nini unapenda kuhusu aina B?.Mmmh.Aina B unachokipendaÉ.Sijui sasa mimi sijui nisemejeÉ. mimi aina B naipendaaaÉMmhÉKwasaabu haina kamba.Mmh.Pamoja naa kuzaa kwake sio kamana kama A.Mmh.Lakini asa sii sijui nii nione kwamba bado ni mazuri huenda yanaeza yakavumilia.Mmh.Kama hata yale yangekuwa yanazaa mapema.Mmh.Hii ikavumilia hata kama mvua ikaja.Hhm.Ikaja ikazaa vizuri kuliko hata ile hii inaweza ikawa inavumilia kusubiri.Mmh.Kuliko yule.Sawasawa.Au sindioe?.Mmh.Maana unajua haya kwasababu yanakaa kidogo.
184.396988
87.192215
35.196938
57.257313
65.71125
0.886369
12.048604
1.744814
slightly low pitch
slightly slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_750c9c8b-7ae4-4972-a284-a1a63487b286_1712643675103_processed.wav
angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo?aina A ninacho kipenda ni kwamba majani yake ni mazuri sio mabaya sana ila uwotaji wake ilikua ni shida.ahaa nashukuru kuhusu aina A kwa ambacho unakipenda.
201.362106
110.144981
32.886356
59.542789
16.875
0.938596
13.775699
1.851449
moderate pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_162d9e48-56d9-4507-8bd1-74513fb29b94_1715761542548_processed.wav
angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hukukipenda kuhusu hio.aina B sikuipenda kwasababu kamba zinapanda sana shambani na inafungaa ndo maana zile kamba zinafanya inasokota yanasokotana kwa muda kwa muda yanasokotana shambani sana.unaweza kunieleza sababu nyingine?.sababu nyinginee ninaona kama inashambuliwa kidogo na wadudu.sawa.aah na je una kingine ambayo unaichukia aina B?.hapana.hakuna sababu nyinginee au kitu chengine chochote unachokichukia?.eeh aina B soko lakee kidogoo sioo haina soko kubwa yani yako chini kibei.mmh.sawa, na kuna sababu nyingine yoyote au kitu chengine chochote?.hapana.sawa.
187.245163
120.888176
38.918797
58.385365
36.821251
0.935693
9.829003
1.627266
slightly low pitch
quite slowly
slightly clear
very confined sounding
moderate intonation
moment_3_vegetative_6f0eaacd-a68a-48be-ab3d-70513072a458_1715090869145_processed.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.…. Kwa kweli mairagee ya aina ya aina B ni mazuri naaa piaa yanahadhi naa kweli ukuaji wake pia ni mzuri.Unamaanisha nini ukisema ivo.Namaanisha kwamba haya maarage yako vizuri.em nieleze kwa kinaa nieleze zaidi.ukweli ni kwamba hakuna marage ambayo yenye ukuaji kama huu naa kiwango chake kidogo inaonekana ni ya juuu naaa kwa kweli naeza kusema ni marage mazuri pia.je kunaa kitu kingine chochote unachokipenda kuusu aina hii.… hakuna.Asante.
222.586227
136.894882
35.572941
55.628017
24.384375
0.921179
2.332369
1.814398
moderate pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
moderate intonation
moment_4_reproductive_a13149f4-665d-44d9-b143-b8c6e4691841_1716440649362_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina C?aina C nayoo pia ni miongoni mwa jamii ya hizi mbegu tatu ambao zote nazipenda kwa sababu kama hii hapa inwezekana hii inazaa vizuri zaidi.sawa.kwakuwa inonyesha hata dalili yake mpaka muda tuliokuwa nao hapa.
171.768738
66.127983
37.849396
59.602036
17.701876
0.951726
7.176139
1.637248
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_e35d6c99-c978-4117-85d8-dc2a665eb4fa_1714633369496_processed.wav
Nini unapenda kuhusu aina A.A naona kidogo inaaa.... A naona inauvumilivu kidogo cha mvua...
245.87944
130.485413
12.488177
52.743843
5.416875
0.959772
14.759421
2.745172
slightly high pitch
very slowly
quite noisy
very confined sounding
moderate intonation
moment_3_vegetative_435536f1-3c7c-431f-856b-33f73ecaae02_1713423905190_processed.wav
…ehe labda ni kipi ambacho labda hukipendi kulingana na haya maharage jinsi unavyoyatazama.hata kwa kweli mimi nilivyoangalia ubora nliouwona wa awali siwezi nikawa nimeona changamoto yoyote ya haya maharage haipo changamoto yeyote.sawa.haipo changamoto yoyote.sawa.ila kuna kuna vitu ambavyo.…vinaonekana kwamba ni changamoto.…endapo.…utakuwa umeharakisha, kuyahawahisha kuyaotesha.… okndio kunakuwepo na.na changamoto.na changamoto.uki ukiwa na maana kwamba umeyawahisha kuyaotesha kivipi.kabla ya tarehe za za upandaji.kuotesha.aa.ee kuna dalali zinazoonekana.
231.487717
181.018219
13.609818
57.457447
37.259998
0.728835
-4.87937
1.155061
moderate pitch
quite slowly
quite noisy
very confined sounding
slightly expressive
moment_3_vegetative_e51c04f5-9c4d-4ea5-ac5f-01f8d0f8dcc7_1713354643007_processed.wav
Nini usichopenda kuhusu aina C?Aina C ambacho sikipendi hamna kitu ambacho sikipendi ni sawa tu ila sasa unyaukaji wa maharage kutokana na mvua nyingi yamepata ukungu.
166.826782
40.418507
44.102657
59.413864
10.580625
0.977121
21.062408
2.736771
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
very monotone
moment_4_reproductive_9d8908eb-c44a-4b91-a60a-493b5693046f_1716804411884_processed.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuusu hiyo.Hakuna nisicho kipenda.
240.363602
82.031433
44.654938
59.222675
4.944375
0.950995
21.369808
3.098322
moderate pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_4_reproductive_da341ce7-fa8e-4020-ac69-76d19f135cf5_1716782576069_processed.wav
nini unapenda kuhusu aina B?aina B sijaupenda kwasababu haujazaa vizuri kuota kwake haujaota vizuri ni hicho tu
113.996971
49.188606
44.661961
59.18763
7.52625
0.94604
21.645687
2.543385
very low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_7f0bda74-5b7a-423f-87df-7ddf025b20fc_1715780501730_processed.wav
Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hukukipenda kuusu hiyo.kwakweli aina B navo angalia.Mmm.Kitu ambacho sikupenda.Mmm.Sioni kama kuna kitu ambacho sijakipenda ladaa.Mmm.Kwa uoteshaji wa kwau kuota kwake yalioteshwa vizuri lakini naona kidogo kamaa.Mmm.Kunaa changamoto kidogo kwaaa kuna maeneo mengine ambayo unaona yame yana mapungufu.Mmm.Kuna nafasi.Mmm.kwaiyoo ndo unaona mbacho utofauti kidogoMmm.Naaa aina A.Sawa.Mmm.je! Kuna kitu chengine chochote ambacho ukukipenda kwenye aina B.Aina B siya kuna kitu chochote kingine ambacho sikupenda.Sawa.Naona vingine vyote vyote vinaenda sawa apo naona.kohooo.Tofauti tu ni kwamba.Mmm.Hayakuweza kuoka kama vile aina A nnavo angalia apa.Aaaa.Mmm.
207.234421
119.175171
23.783705
58.237038
22.426874
0.90687
10.601134
1.45718
moderate pitch
very slowly
slightly noisy
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_e51c04f5-9c4d-4ea5-ac5f-01f8d0f8dcc7_1713354379009_processed.wav
Nini unapenda kuhusu aina B?Aina B naipenda kwa sababu maharage haya ni mazuri yameota vizuri alafu pia yana majani mazuri.Unaweza ukaelezea kwa undani zaidi?Haya majani majani yameota vizuri yame yametoa lakini sasa maja maua hayakuna ninii yamechelewa kutoka kuliko ya wanzake mengine haya nayo nayapenda vile vile ni mazuri kwa sababu yameota vizuri majani yake ni mazuri
193.249649
71.416191
34.414658
57.098976
23.1525
0.963448
15.071053
2.413774
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_b595ccfc-b727-4d58-b1f8-09bebcff7746_1713431188708_processed.wav
nini usichopenda kuhusu aina C?.Ninavyoyaoona maharage yangu.ndio.mvua zikiendelea kunyesha.ndio.yanaweza yakaharibika maharage yangu.ko hicho ndo ambacho hukipendi.hicho ndioo sikipendi.kwa hio mvua unavyoona mvua zikiendelea kunyesha inamaana maharage yanaweza.yakaharibika.sawa.
172.499359
106.910194
34.344147
54.743649
17.870625
0.917702
6.839874
1.345165
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_55d7666a-dacd-4acc-8d5d-9252bbe05f68_1716285360314_processed.wav
Error
135.02626
34.002789
60.08276
17.462923
0.826875
0.906677
15.411542
3.323929
quite low pitch
very slowly
very clear
slightly roomy sounding
very monotone
moment_4_reproductive_bac54207-48a5-4ec8-be3e-7520126ade74_1715859781819_processed.wav
labda hasa ukipendi kwenye aina hii ya maharage.kitu ambacho sikipendi inamanaa sikipendi inaposema sikipendi kwenye aina hii ya maharage.eehni wakati muafaka wa kuweza kuipanda hiyo mbegu.aah ok.kwa saabu utakapoikosea mbegu hii muda wa kuiipanda.mmhitakuwa utaiyona kwamba mbegu hoihaifai.haifai katika mazingira haya.mmhkahiyo kitu ambacho sikipendi natakagi nipande wakati muafaka ili mwisho wa siku ionekane ubora wa uzazi katika ardhi hii.aah ok kwahiyo inamaana changamoto kubwa ni kwamba yaaa yanatakiwa isipandwe isiwahi kupandwa.isiwahi kupandwa.aa okkwa kuwahi kupanda inaweza ikaniletea ikai ikananii ikakosa ubora.eeh ok labda tukiachilia mbali kuwahi kupanda labda kuna chang kitu kingine ambacho rabda upendezwi kwenye aina hii ya maharage?eeeh kitu kingine ambacho kinachosababisha kwenye aina hii ya maharage ni ugonjwa ukungu unashika sana inashika kwa haraka kwenye aina hii ya mbegu.kwa maana inashambuliwa na wa … …inashambuliwa na wadudu ukungu.labda kuna kingine cha ziada labda ambacho kuhusiana na hiki ambacho kinakuafanya usipende aina hii ya maharage.aa kingine cha ziada itakuwa hamna kwa saabu sifa zote zipo bali shida ndo kama hizo nilizoelezaaa ok.
176.677765
104.12278
28.148815
55.681274
55.130627
0.769546
-0.175261
1.179021
slightly low pitch
slightly slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_19fb3e0c-04e9-4ea0-94b3-a1fe157d4ef2_1713603447970_processed.wav
Angalia aina Cii naa eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.hapa nnavyoona aina ziii hakuna kitu ambacho sikipendi ambacho nakichukia hakuna.
186.424866
75.774063
46.429352
58.912521
12.706875
0.964228
12.172831
2.085395
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_6205a4da-6fb7-45cf-ba12-68e7fe3f1648_1713764960444_processed.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.aina C inashambuliwa sana na wadudu na pia uotaji wake si mzuri sana.
162.533966
45.299007
31.725508
58.94162
9.34875
0.918949
5.557959
1.325567
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_20240417_b444dfcd-e1db-4f57-986d-2ee011fc5b8c_1719240731136_processed.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Aina A ninaipenda kwasababuuu wa imeota vizuri kwa asilimia tisini labda na tisa yotee imeota vizuriÉ.
184.451141
99.533875
47.833881
55.444054
13.46625
0.949965
13.470833
2.440576
slightly low pitch
very slowly
quite clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_4_reproductive_224808ea-3ceb-423d-89d5-e28865eaf832_1716185471318_processed.wav
ndugu mkulima tuna endelea na maswali yetu angalia aina B na eleza chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.maharage mazuri.ongeza sauti kidogo.maarage mazuri.mazuri?ndio.kipi kinginee kime kupendezesha katika aina B.amna.hamna.ndio.
164.071732
65.571632
32.236626
56.527187
15.01875
0.96014
12.7552
2.219786
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
quite monotone
1690622672119_processed.wav
Kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa bishara au matumizi ya chakula? kwa sabau ni mara yangu ya kwanza sijui biahara nanii yaa Biashara yake
189.810059
146.544952
28.440577
54.274647
8.015625
0.816736
2.638465
1.403832
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
moderate intonation
1690612697583_processed.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula Inashambuliwa na wadudu na inashindwa kuvumilia hali ya hewa
144.629959
88.663071
28.694431
55.513088
7.981875
0.88638
1.175389
1.46664
quite low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20240417_b595ccfc-b727-4d58-b1f8-09bebcff7746_1713431123153_processed.wav
nini usichopenda kuhusu aina B?.aina B hakuna nisichokipenda naona maharage yangu yanaendelea kukua vizuri.naendelea kukua vizuri.yanaendelea kukua vizuri.sawa sawa kwahio hakuna ambacho hukipendi.ndio.
158.828705
82.482597
27.373499
57.593262
11.64375
0.885764
13.445056
1.716629
slightly low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
slightly monotone
1690444411190_processed.wav
je ni kitu gani ambacho hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula hakuna
159.505798
50.921749
4.448431
44.367638
3.796875
0.848723
-8.517242
1.149209
slightly low pitch
very slowly
very noisy
quite confined sounding
quite monotone
1690637179386_processed.wav
Kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A elezea kwenye sifa za kilimo Hakuna
101.041573
22.905081
24.690199
52.178139
4.15125
0.874697
0.362804
1.511609
very low pitch
very slowly
slightly noisy
very confined sounding
very monotone
1690637146966_processed.wav
Kiujumla ni aina gani ya Tricot ambayo hujaipenda zaidi kuliko zote? B sijawahi kui kuitumia kuitumia lakini ndo maana sikuipenda Asante
137.546066
72.143425
29.576258
54.642967
7.52625
0.827253
6.7862
1.269567
quite low pitch
very slowly
moderate ambient sound
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_ef860715-99d6-40be-bdbf-d546e94311b9_1718010661207_processed.wav
nielezee ambacho haukipendi kwenye eneo C?C?ndiyoaasheeeambacho haukipendi au ipo tofauti elezea?niiikuambie?mmhC?mmhkidogo inafifiafifia.mmheehhaijanawiri?haijanawiri kama A.okndiyosawa na kingine ambacho hakipo sawa kwenye eneo C mpaka sasa?hapana ni kutaka ushauri kwenu nifanyaje iliii yayasififie?isififieoohhuo ndo ushauri.
175.372467
80.233162
40.312279
57.331379
25.700624
0.850829
-0.906074
1.272173
slightly low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
moment_3_vegetative_6f0eaacd-a68a-48be-ab3d-70513072a458_1715091570281_processed.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.Ukweli ni kwamba marage haya ni mazuri naaa yanatoa mauwa mapema.Unaeza kunii kunieleza zaidi kuusu hiyo una maanisha nini ukisema ni mazuri.Kwa kweli ni mazuri naaa yanaweza yakaja yakatoa mauwa maaa vizuri na mawe yake kweli yametangulia ukiangalia marage mengine kidogo mauwa haya yametangulia kidogo yamekuwa ni mengi naaa yamekaa vizuri mauwa yake kwa kiwango kikubwa.je! Kuna kitu kingine chochote unachokipenda kuusu hii.Marage haya kwa kweli ni mazuri na nimeyapenda lakini ni kwamba mauwa yake yana tangulia kweli kutoa maua na mauwa kweli ni mengi unavo yaona hivi ni kwamba ni mazuri kwa ujumla.Asante.
201.590683
108.95668
37.217232
56.042339
32.990623
0.86932
-2.677597
1.285405
moderate pitch
quite slowly
slightly clear
very confined sounding
slightly monotone
moment_3_vegetative_20041fbe-71aa-4959-857b-0cc8c52f4c4d_1718009754627_processed.wav
Nini uschokipenda katika aina A.Aina A sijapendaa kwasababu inaaa inakambaÉ
150.535767
53.119415
41.041904
59.084866
6.834375
0.958662
17.362343
2.234883
quite low pitch
very slowly
slightly clear
very confined sounding
quite monotone
README.md exists but content is empty. Use the Edit dataset card button to edit it.
Downloads last month
1
Edit dataset card