text
stringlengths 29
186k
|
---|
Itakuwa fadhila na iwe.Kwa muda alisimama mbele yake roho yake ilidunda lkwa haraka,mswada ukasisimka mashafu yake. |
Kwa upande wangu, alisema Bwana Julian, na nia ya kufanya kuondoka kwa Bi Askofu bure kutokana na uingiliaji wowote wa buccaneers. Nitabaki ndani ya Arabella mpaka tufikie Port Royal. |
Kando na hiyo, Kukaa kwao kungenisaidia aje? na jinsi Pitt hakumjibu: unaona? alisema, na kuwacha. |
Unafahamu, Petero, yakuwa Bwana Julian pekee yake amesimama katika ya Askofu and chuki yake kwako. |
Lakini wengi hawakuweza kutatua njia moja au nyingine hadi walipotosheka na maswali kadhaa, na hasa juu ya moja lililotolewa na Ogle. |
Akisimama kando ya Kapteni Blood, aliangalia kwa ukali, akifuata mwelekeo wa mkono wa Kapteni, akalia kwa kushangaa kwake. |
Nimeambiwa kuwa jana jioni mashua imetoka bandari ikiwa imebeba rafiki yako Wolverstone na watu mia moja ya mia na hamsini waliokuwa wakihudumia chini yenu. |
Ila tu haikuwa jambo la kufichika kwa sababu hasira na sumu yake ilikuwa wazi kwa wote kuona |
Natumai uongozi wako unaanza mwishowe kwa kuona makosa ya kupea kamisheni ya mfalme kwa mwanaume kama huyo kwa vile ni kinyume na ushauri wetu. |
Uadui katika bandari kuu ya kisiwa cha Royal, Iliyo na wasaa wakutosha kufunga nanga meli zote za jeshi za wanamaji Duniani kote, Rodi la Arabela la nanga. |
Ingawa hata baadhi yao wanapaswa kujua vizuri zaidi, kulikuwa bado na wachache Barbados pamoja nasi, na wanajua kama mimi na wewe na kanali Askofu. |
Pitt, akiwa mwepesi wa furaha katika shati na suruali fupi, akajitokeza kwenye reli wakati huo na kumtazama, wasiwasi unaofaa ukachapishwa kwa sura yake, uso wa kweli. |
Hiyo itakuwa ishara ya kusema uongo, alisema Blood, katika sauti hiyo isiyo na sauti; na akapumzika. |
Na ni bora gani ya hizi? - Je! Wewe wamwogopa mjinga Barbados mpanda? ? Nini chakusumbua wewe, Petro? Sijawahi kukujua kuwa mwoga. Bunduki ilifyatuka nyuma yao. |
Baada ya maili kadhaa upande huu, ikiwafuata, meli tatu za rangi nyeupe zilikuja kwa kasi. |
Ni fursa yetu pekee, nimesema, na ni lazima tuchukue. Njia bora zaidi iliyokuwa katika mawazo ya Kapteni Blood ilikuwa njia ambayo tayari alikuwa amependekeza kwa Wolverstone. |
Baadhi ya watu wanaweza amini hadithi hiyo. Alirusha gumba la dharau kwa wanaume wa kiuno ambao daraja zao zilikuwa zinaongezwa kwa kasi kufuatia kukuja kwa wengine kutoka kwa utabiri. |
Mtoe na uwatolee ishara watume mashua. Kimya cha mshangao kilijaa kwa meli na tuhuma ya kujisalimisha kwa ghafla. |
Mimi nakubali kama njia pekee ya kutuokoa wote kutokana na uharibifu fulani ambako kitendo changu mwenyewe kinaweza kutuletea. |
Mimi.Siwezi kufikiria kwa nini uongee na mimi hivi, alisema pasipo na uhakikisho wake wa mwanzo. |
Usifanye, kwa Mungu! na unaita hili nini tena? lakini kama mtukufu naibu wa gavana wa Jamaika, Nitachukua likizo nirekebishe makosa yako kwa njia yangu mwenyewe. |
Kwa hiyo umefika, Msaidizi-Gavana alimsifu, na kufuata salamu kwa mfululizo wa kuingizwa kwa uingizaji usio wazi lakini unaoonekana usiofaa. |
Mtazamo wa Captain Blood ulisomba safu za wale shuja, wenye macho katili, alfu ukarudia tena kwa Ogle. |
Kama unatarajia kuvuta nyuzi za roho, wewe ni mjinga mkubwa, Ogle, zaidi ya nilivyokuwa nafikiri ulivyo na kitu chochote isipokuwa bunduki. |
Aye, alisema Ogle, huo ni ukweli. Ila kulikuwa na wengine ambao bado walikuwa wameweka wazi pingamizi lao dhidi ya kozi hio. |
Ninalofikiria juu yako linaweza kuwa jambo ndogo sana kwako, bwana. Hiki kilikuwa kiharusi cha kunyang'anya silaha. |
Ikiwa kuna kitu kinachoweza kukutokea, Petro, alisema, kama damu ilipokuwa ikienda upande, Kanali Askofu alikuwa na kuangalia vizuri kwake mwenyewe. |
Kuhusu yeye katika kiuno, ambapo usiku wote uliopita ulikuwa na amani sana, kulikuwa wazimu wenye zogo ya watu sitini. |
Kabla ya tumeendesha nusu ya maili moja tutaweza kuwa ndani. Wolverstone aliapa kwa uwazi, kisha akaangaliwa ghafla. |
Mashua ambayo ilikaribia bila kutambuliwa kutoka pwani ilikuja ikigema na ikigongana dhidi ya ganda kubwa nyekundu la Arabella, na sauti ya mpasuko ilituma kelele ya sauti kubwa. |
Weka ishara kwa, Kapteni, na uwape ishara ya kutuma mashua, na kujihakikishia kuwa Miss yuko hapa. |
Alitafuta faraja katika mstari katika ukurasa ambao haukuwa umeandikwa mbele yake: levius fit patientia quicquid corrigere est nefas, alitafuta bali kwa kidogo tu, hakupata. |
Na nini kinachopaswa kutokea kwangu, Jeremy? Hakika, sasa, nitarudi kwa chakula cha jioni, na hivyo nitakuja. Damu ilipanda kwenye mashua inayosubiri. |
Ogle, alisema, kwa sauti yenye baridi na fupi, kituo chako kiki katika deki ya binduki. |
Alimsimamia nahodha wa Damu na kumpigia saluti, kama ilivyokuwa ada yake. Lakini tabasamu ambalo lilisimamisha tumbo lililokaza la askari lilikuwa la huzuni. |
Hata hivyo yeye hakuwa anatoka nje nje, kwa sababu nyuma yake ilikuwa kuelekea kwake, na alikuwa akienda katika mwelekeo huo |
Unaweza kuona nyangumi aina ya beluga wakati wa majira ya joto, dubu aina ya polar katika vuli, na, ikiwa unakaribia majira ya machipuko au vuli ya equinox, mwanga wa kaskazini wa aurora borealis. |
Kuunganishwa kwa Nova Scotia na Narrow Chignecto Isthmus, New Brunswick ikawa mkoa uliotengwa mwaka wa 1784 katika madai ya wakimbizi 14000. |
Baada ya kuangalia makusanyo hayo, panda kilima hadi kwa nyumba ya kamishna , ambapo utapata mtazamo mzuri wa yanayozingira pwani na yale mengine ya tata ya Dockyard. |
Bahari kubwa zaidi ya pwani ya kaskazini magharibi hufanya bandari nzuri, lakini maji na pwani zote zinaweza kuwa chafu. |
San Francisco Ballet itakuwa na msimu wake mkuu katika nyumba ya Opera katika majira ya machipuko, bali pia katika maonyesho wakti wa Disemba. |
Nyuma ya eneo la Marekani ya Kusini, utapata kampuni ya ubani, ambapo unaweza jitengenezea harufu nzuri. |
Majengo hayo makubwa ni mabenki, na barabara ambayo yamesimama imeitwa jina la Milla de Oro, au Golden Mile. |
Watoto watafurahia Cite de la Mer (37 Rue de l'Asile Thomas), pamoja na maonyesho juu ya historia ya ujenzi wa mashua, sekta ya uvuvi, na jinsi majani na mito huunda pwani. |
Asili ya kutosha ya kuhusika kwa Uingereza kwa vita vya dunia vya pili ilianzia na mpango wa mafunzo wa Commonwealth Air wakitumia anga salama za Canada kutayarisha marubani kwa vita. |
Makaburi ya Ming zamani yalikuwa vutio kuu la ziara kwenye Ukuta Mkuu ('Great Wall ') huko Badaling, lakini watalii wa kigeni hawajavutiwa mara kwa mara na vutio hilo, wakiona kuwa ni baridi na limerejeshwa vibaya. |
Nyakati bora katika Mediterania ni Juni, Julai, Agosti, na Mei, alisema mchungaji wa Venetian wa karne ya 16, Andrea Doria, akibainisha kwamba zaidi ya msimu wa majira ya bahari, meli haiwezi kufanya vizuri zaidi kuliko makao hapa. |
Miongoni mwa barabara 27 zilizo bora zaidi ni njia ya Maziwa ya Glasgow hadi Ziwa la John Deer na njia karibu na Beulach Ban Falls na Mlima wa Kifaransa. |
Kublai Khan alijenga mji mkuu wake katika mwaka wa 1279 katika pwani ya Ziwa Beihai ya Beijing, ambapo hazina zake za kifalme zimebaki leo. |
Roadless katika pwani ya Na Pali, kaskazini mwa ukingo wa bahari ni mojawapo ya sehemu za matembezi marefu ukingoni zenye changamoto na za kupendeza (angalia ukurusa wa 71). |
Kuingiana kwa urahisi na wanajamii wa Uingereza , ni mashule ya makanisa yasiyo yakikatoliki ambayo yaliruhusu watoto wa Mashariki Waisraeli kutoka Uropa waliokuwa wamehitimu kuenda sehemu ya utajiri ya Westmount ama kuhama tena, kuenda Toronto. |
Vyumba vyake vya mazishi, mita 27 (futi 88) chini ya ardhi, vimetengenezwa kwa mawe ya chokaa na kifuniko 1,200 sq m (futi 13,000 sq). |
Eneo hilo halipendekezi na tatizo la lugha linaweza kukusumbua, lakini angalau utaweza kuona picha ya jamii ya watumiaji wa Kichina. |
Mahali pengine, katika bustani ya Prince,katika jumba la kisasa linaloitwa Sailor's House (Casa de Marinos) Utapata kujua kilichofanyikia quaint Tagus squadro, la kundi la kifalme. |
Kama miaka elfu moja na mia nne iliyo pita kabla ukmbi wa mfalme kuelekwa,Milreu ilikuwa nyumba kubwa nchini ya mtu aliye mungwana. |
Kati ya mwaka wa 1936 na 1940 nchi ya Ugiriki ilikuwa chini ya udikteta wa kijeshi wa Loannis Metaxas, anakumbukwa kwa usemi wa kishindo echi (hapana) alioutoa kujibu kauli ya mwisho ya kujisalimisha ya Mussolini mwaka wa 1940. |
Unyenyekevu wa mistari ya Romanesque ya Sant Pau ni mabadiliko yanayokubalika kutokana na uharibifu wa Modernism ya Barcelona na usumbufu wa usanifu wa Gothic. |
Kwa mashariki ya mlango ni Olympieion, mahali pa hekalu kubwa yenye ishawahi jengwa katika udongo wa ugiriki. |
Poble Espanyol (Kijiji cha Uhisipania), katika ubavu wa kazikazini ya Montjuac, ni kifutio ambacho fani ya kipekee ya familia mzima inawezakuwa iligunduliwa. |
Wafanyakazi wanashughulikia mpango wa kuongeza idadi ya flamingo katika Visiwa vya Virgin vya Marekani, na utapata kundi ndogo hapa kwa mafanikio likizaliana kila mwaka. |
Singel ilikuwa kizuizi cha nje cha mji wa Medieval, lakinimji ulipokua, Herengracht (Gentleman's Canal), Keizersgracht (Emperor's Canal), na Prinsengracht (Princes' Canal) zilikuza mtandao. |
Leo jengo la zamani linajumuisha Uzoefu wa Edinburgh, onyesho la 3-D, la dakika 20, kuonyesha chati ya historia ya mji na kuleta maisha Edinburgh ya leo (Aprili-Oktoba tu). |
Milima yenye mviringo ya Serra de Tramuntana imeshuka kwa bahari kwa kasi sana hapa kuna maeneo machache ya upatikanaji na bandari moja tu na bandari ya ukubwa wowote kando ya pwani. |
Dora Stratou Folk Dance Theater inaleta ufanisi wa nyimbo za wagriki , dansi, na muziki katika kijiji cha kitamaduni katika bwalo , kilima cha Philopappos, kutoka Mei hadi Septemba kila siku isipokuwa Jumatatu. |
Utaona video ya stori ya Anna na Amsterdam chini ya makazi pamoja na picha na shaba za wakati huo. |
Kando yake, kanisa la Norman Gothic La Martorana lililorejeshwa sehemu kwa ustadi wa Baroque na ukumbi na iliyo na mnara wa kengele ulio na ghorofa nne za dirisha zilizowekwa chuma katikati. |
Ziwa yenyewe liko katika kivuli cha milima kadhaa ya juu, ikiwa ni pamoja na Scafell Pike, ya juu zaidi Uingereza mnamo 977 m (3,205 ft). |
Mkusanyiko huu wa sanaa ya Ulaya na Puerto Rican, labda ni mzuri zaidi katika Caribbean, utakuwa wa kustarehesha sana kwa mji mkuu wowote wa Ulaya. |
Treasure Beach ni eneo pekee la mapumziko la kuzungumzia, na hoteli kiasi zinazozingatia bahari tatu za mchanga. |
Kisha huja Bona, kituo cha basketry ambacho pia hujishughulisha kama nyumba ya ngoma ya Kesaki. |
Kama unasikia una uwezo wa kuifanya, sukuma kandokando ya ukungu wa njia, nyuma ya bwawa la Emerald, hadi kwenye vuli la Nevada, ndipo utaanza kupoteza makundi ya watu. |
Majira ya joto huleta hali ya hewa joto na joto la bahari na kuifanya hali kuwa sawa kwa michezo ya maji |
Miongoni mwa mabwawa ni moja ambalo linakaliwa na Wageni kurusha sarafu kwa tumaini la kukata kichwa cha kobe mmoja, njia ya uhakika ya kufikia bahati nzuri. |
Miongoni mwa klabu nyingi za Jazz ni klabu maarufu ya Jazz Bakery huko Culver City, Barabara ya Catalina na Grill katika Hollywood, na Potato Baked katika North Hollywood. |
Mbomoko wa fleti za Faaades, mabweni, na duka za chini ya ardhi za kupatana bei za msururu wa Karl-Marx-Allee kuongoza kusini mashariki kutoka Alex. |
Katikati ya mapumziko, katika maji yaliyohifadhiwa ya wangwa la ndani, kuna Bwawa na mpango/programu ya Pomboo. |
Mji wa bandari wa Nifplio unatengeneza msingi kamili kwa ajili ya kutembelea eneo hilo, au labda mahali pa kupata chakula cha mchana wakati wa ziara yako. |
Umeda inaweka alama kwa mwisho wa Kazikazini ya wilaya ya biashara na burudisho inayojulikana kwa ukubwa kama Kita (Inayomaanisha kwa udogo kama kasikazini), na ndio mwangaza wa jini na juu Osaka ya kisasa. |
Baadhi ya wakazi ni wazao wa wafanyikazi wenye ujasiri waliosaidi kujenga Reli ya Canada Pasifiki. |
Shuka katika duka kabla ya Batthany ter kutamani nje ya Kanisa la 1986 Neo-Gothic Calvinist inayoonekana sana kwa Panorama za mji. |
Cete de Charlevoix ni sehemu ya urefu wa Laurentian, kufikia Mto Saguenay ambapo coureurs de bois hugeuka kutafuta furs. |
Ilikuwa hapa mwaka 1775 ambapo unga wa risasi ulipotea kutoka kwenye makavazi ya Fort STt.Catherine na ikapatikana kwenye meli ya wageuzi wa Marekani. |
Mwanachama wa tatu kwenye maafikiano ya Baniani ni Brahma,mwenye kazi yake pekee ni kutengeneza nchi. |
Wengine wenye thamana kutembelea ni nyumba ya Balzac (47 Rue Rayanouard) na studiRue de Furstenberg). |
Pedro alichukua kiti cha enzi, ingawa vita vya silaha viliendelea kwa miezi na uchungu wa muda mrefu baada ya hapo. |
Mamia ya wanajeshi shujaa wachache chini ya Leonidas wa Sparta yalichelewesha jeshi kubwa la Uajemi katika njia ya Thermopylae kwa muda wa kutosha kuwaondoa Waathene kuwapeleka kisiwa cha Salamis |
Katika Prinsengracht,Otto Frank na familia yake walijificha katika darini za biashara zao kwa miaka miwili kabla hawajagunduliwa. |
Kama uko na ujuzi wa sherehe ya chai, utapenda mkusanyiko wa bakuli za kauri za chai,birika za chai, vibuyu na vijiko vya mianzi vya karne ya 14. |
Hayo maonyesho ni maonyesho mapya ya Simba, Chui ya barafu na maonyesho ya Duma, na Msitu wa choto wa Afrika unaokamilika na gorila na ngiri. |
Majumba makubwa na viwanja juu ya vyumba vya kuzikwa vya Yongle vimerejeshwa, na hulaza baadhi ya hazina za Ming zilizofunikwa, ikiwa ni pamoja na silaha za kifalme. |
Katikati ya mraba ni Joachim Schmettau's granite Weltkugelbrunnen (au Fountain ya Dunia), ambayo wananchi wana gaily christened dumpling maji. |
Upande mwingine wa Cite de la Musique kuna Musee de la Musique na ukumbi mkubwa wa tamasha wa Zenith. |
Kwa kweli, ilikuwa ni kilembwa kikuu cha maandamano na fujo wakati wa utata wa kutembea katika miaka ya 1970. |
Inajulikana kwa mashindano yake ya Agosti ya kukimbia, mji wa Squamish hufanya msingi muhimu wa ziara za usafiri katika Hifadhi ya Mkoa wa Garibaldi. |
Kwa kusikia uhalisi wa Ureno wa zamani, ingilia kwenye ukumbi mzuri unaopendeza wa Leal Senado (jengo la Loyal Senate), mfano mzuri wa usanifu wa kikoloni. |
Kutawala kinywa cha Sant Antoni Bay ni taswira hayana ya kisiwa cha Coniera, au Conejera (maana mzingile wa sungura au shimo). |
Katika krusedi la Sita (1228- 1229), Mfalme Mtakatifu wa Roma Frederick II aliweza kusitawisha Yerusalemu kwa ajili ya wakristo kwa mazungumzo. |
Louisa May Alcott na Nathaniel Hawthrone waliishi Pinckney Street, huku Barabara ya Beacon ambayo Oliver Wendell Holmes alitaja barabara angavu iliyoshikilia mwanahistoria aliyejisifu William Prescott. |
Njia kidogo kutoka Boot utapata kituo cha Ravenglass na Reli ya Eskdale, au La'al Ratty, kama inavyojulikana. |
Kuunda sehemu ya ukuta wa jiji, lango lililenga na Prussia zaidi ya kisayansi sio kama shida la kushinda kama kuanzisha tollgate kwa kukusanya majukumu. |