text
stringlengths
29
186k
Usaidizi wako leo utatuwezesha kuimarisha urithi zaidi wa Amerika kwa kupanua programu muhimu za elimu, uongozi na ufikiaji.
Toa uhasama kwa watendaji wengi wa jamii wenye vipaji ili wanoe na makinishe ujuzi wao.
Shirika la Uzaliwa wa Clinton linatoa fursa za uanachama kamili kwa wale wanaolipa dola za marekani 10 tu.
Jumapili iliyopita, Juni 18, mvua ilinyesha na kwa kiasi kikubwa kupunguza mahudhurio ya sherere ya huu mwaka ya Keepers of the Lore/Joseph Campbell Festival of Myth, Folklore and Story.
Kilichoanza kama kikundi cha waigizaji wa kuzuru mnamo 1973 wakiigiza kwa wanafunzi wa miji kama Gary , Elkhart na Terre Haute, programu ya masomo ya IRT sasa hivi.
Tunaposherehekea maadhimisho ya miaka 90 tangu kuanzishwa kwa taaluma ya udaktari katika chuo kikuu cha Indiana , tunagundua ni kiasi gani tunadaiwa na wanoota na ndoto zao.
Kama mjumbe wa ndani wa mzunguko unaweza kutarajia viti vyema zaidi kwenye msimamo wa ukaguzi kwa ajili ya sherehe kubwa ya dunia ya demokrasia - Uzinduzi wa Rais wa Marekani wa 52.
Nathamini fikira zako na natumai ya kwamba utashiriki katika kampeni ya mwaka huu wa kila mwaka.
Wanda anafahamu kama vile kila mama anakuwa kuhusu uwezo mpya unaoweza kuunda, chenye anaita kitu cha ajabu kujua.
Watoto wanaohudhuria maonyesho yetu hujiandaa mapema kwa uzoefu wao wa maonyesho kupitia mtaala wa darasa zao
Masongo ya laurel, yakiashiria ushindi, na matawi ya mzeituni yakiashiria amani, pia kuyapamba miisho ya mikeka pamoja na majani ya acanthus.
Mnamo mwezi wa Novemba, tulituma barua kukupa hadithi kuhusu Wavulana & Klubu cha Wasichana, nafasi nzuri, nzuri kwa watoto na vijana katika jamii yetu.
Hali yake ya bahati nzuri ilimsaidia kuwa mkuu aliyependeka zaidi kuhudumia katika shule yetu ya sheria.
Ndani ni kadi ya kujibu na bahasha na matumaini ambayo utafikiria kuanaza 1994 na zawadi kwa IU.
Michango yako kwa Ufadhili wa Kila Mwaka katika ngazi ya Jamii ya Maennerchor imetoa msaada mkubwa kwa shule.
Unaweza pia kutumia fursa ya uanachama wetu wa miaka 2 maalum ya $ 30, akiba ya karibu 60% ya kiwango cha kawaida cha mwaka 2.
Msaada wako wa Kampeni ya Uendeshaji ya Mwaka wa Makumbusho husaidia kuvutia kazi kubwa kwa maonyesho maalum na ya sasa ya jamii.
Kwa kuhusika kwako, tutasaidia watoto - kama mtoto mdogo aliyeonyeshwa katika ukurasa huu- kuwa mwananchi mwema.
Rangi kumi na tatu za uzi wa zulia kubwa unaashiria makoloni kumi na tatu ya taifa hili.
Kikundi hiki cha wafadhili kitasaidia Kansela moja kwa moja kukidhi mahitaji ya haraka ya Kitivo, wanafunzi, na wafanyakazi.
Kwa umaalum, utaingia kwenye kundi la viongozi wa msingi, viongozi wa biashara, wasomi, wataalamu wa maendeleo na kujitolea katika sekta isiyo ya faida.
Ingawaje Rock 'n' alikuwa akielekea katika upande wa chini wa kijia cha kasi kama peremende la Apple Vette, daima Plaid aliamini wimbo wao.
Tayari unajua umuhimu wa kueleza hadithi, ushairi, nyimbo na kuigiza katika kufunza huruma, ukarimu na kufkiria.
Kwa wanyama ambao hawapatikani na wamiliki wao, Humane Society hutumia huduma mbalimbali za kusaidia wanyama hao na kuwapa fursa ya maisha ya furaha.
Chini ya miaka sita - Ziara ya Bure na Kiwango cha Jeshi cha $ 3.
Katika manufaa yao ya kuangaza, waliunga mkono shirika hili changa, wakijua kwamba litafaidi mji kwa ujumla
Tunatarajia utafurahia kuzungumza nao, lakini unaweza okoa fedha za utawala wa IRT kwa kutuma zawadi yako katika bahasha ya kurudi leo.
Miaka arobaini iliyopita mwanafunzi mmoja, Betty Groh Tower, aliingia katika Programu ya Utawala wa Kumbukumbu ya Matibabu kuwa mhitimu wetu wa kwanza.
Uunganisho wa ajabu unaoundwa kila siku unafanywa kwa njia ya usaidizi wa shughuli za Society na mashirika kama yako!
William Lowe Bryan, rais wa IU ambaye ndoto yake ya chuo kikuu cha msingi imesababisha uanzishwaji wa Shule ya Matibabu ya IU mwaka 1903.
Miradi ya marafiki kama vile Viongozi Vijana wa Maktaba na Upendo ni Wiki ya Kusoma Pamoja inalenga vijana na kufundisha tabia za maktaba katika umri mdogo.
kitambaa cha rangi iliyokini ya buluu iliyozingirwa na rangi yote ya muhuri wa rais kwa rangi hamsini za nyota.
Ninaandika kukushukuru kwa zawadi ulizopatia maktaba ya chuo cha IUPUI na ninaomba ufungue upya hio uzaidizi.
Ni muhimu kwetu sisi kuwaelimisha Wamarekani kuhusu umuhimu wa Uhisani ndiposa sisi kuendeleza kizazi kipya cha viongozi wa habari na wenye nia.
Kukusaidia kwa mchango wako, tafadhali jisikie huru kupiga simu kwa Kathy Dannels, Mkurugenzi wa Maendeleo, kwenye 924-6770 ext.
litakuwa jambo jema ikiwa unaweza kuchukua muda wa kutembelea Shule yako, na uone mwenyewe maendeleo ambayo tumefanya zaidi ya miaka na kushiriki katika kujivunia kwa urithi wetu!
Mbele ya wanafunzi 6500 kutoka k-12, katika mkutano wa kitaifa wa wataalamu , ulioandaliwa na Pan-Am Media Event n Marekani.
Kutokana na mfumo wa ukarimu wa Ushuru wa Indiana, mchango kwa chuo kikuu wa kiwango chochote hadi $200 utakugharimu tu nusu ya idadi hiyo--ukiondoa punguzo ambalo unadai kutokan nakulipa ushuru.
Barua hii ni ya kukujulisha kwamba, wakati tumeona mafanikio mengine msimu huu, bado tunahitaji msaada wako ili kuendelea na rekodi yetu ya usimamizi mkubwa wa fedha na uzalishaji mahiri wa maonyesho ya ukumbi.
Mwaka jana, watoto zaidi ya 48,000 wa Jimbo la New York walifanyiwa unyanyasaji na kutokujali-wakajeruhiwa, kufadhaishwa, kuteswa kihisia, kunyimwa malezi ya kutosha na usimamizi.
Moja yapo ya madhara kubwa na ugonjwa wa moyo ni madhara yasiyo rekebishwa inyoletwa kwenye misuli.
Ninakuomba tafadhali ujitolee leo kwa IRT na kuwasaidia kuendelea na kazi ya ajabu ambayo wamekuwa wakiendelesha kwa miaka 26.
Fedha zinahitajika hapa kwa ajili ya matumizi kama fedha za mbegu tunapojitahidi kuanzisha miradi ambazo zinapaswa kuifanya shule ijitegemee.
Uchukuzi mkuu wa miswada 75 na vitabu nadra za ukututa za kitambo ni ushahindi wa MIA wa kujenga kusanyo kubwa ya sanaa duniani.
Mapato ya kiraia huja kutoka kwa nyumba kamili, warsha na miradi za mafunzo, kukodisha kituo, misingi, wafadhili wa kampuni na michango ya kibinafsi kutoka kwa wafuasi kama wewe.
Kila Julai tunaadhimisha urithi wa hali yetu kwenye tamasha la Historia ya Jamii ya Hoosier.
Tunafidia asilimia 58 ya hizo pesa katika uuzaji wa tikiti, tukiacha asilimia 32 ipatikane kutoka kwa michango na zawadi kutoka kwa marafiki kama wewe.
Kama una maswali zaido, tafadhali usisite kumpigia mratibu wetu wa huduma za uanachama, Chris Young, kwa nambari (800) 877-6773
Mwaka jana, ni asilimia 20 tu ya wahitimu wetu walichangia shule, kutoka asilimia 14 mwaka wa 1990.
Uzuri wa kushtua ekari 3.3, iliyo alama ya alama ya mimea inaunganisha mawazo mazuri ya bustani , habari ya mimea na mazingira yenye ubunifu ya kuchochea.
Kama mwanachama wa Citywide Friends of the Free Library utapokea jarida la robo mwaka la kukujulisha matukio ya maktaba na masuala ya kisheria.
Iliyofungwa fungwa tena ni fomu ya maombi ya wanachama na bahasha ya jibu la biashara.
Ikiwa Jeshi la Wokovu la Red Shield linaweza kuzungumza, linaweza kukuambia jinsi tulivyowasaidia hivi karibuni mtu aliye na kisukari kupata insulini aliyohitaji.
Hayo pia ni kweli juu ya mbayana kutoka jimbo la Indiana kama James Whitcomb Riley, Eugene V. Debs na Madam C.J.
Haya ndiyo matokeo ya hadi sasa: Elfu tano mia sita na kumi na tano kwa mbegu wetu wasiotufadhili, asilimia themanini na moja nukta nne, mchango mkubwa ulikua dola elfu mbili mia nane na arobaini na ile ndogo ilikuwa dollar tano.
Hii uwekezaji na ukarabati na kuujza kwa nyumba sistini kwa wanunuzi wa kisasa,na kwa urekebishi wa nyumba mia moja na zaidi.
Na hicho ndicho chombo cha kushangaza katika programu ya masomo ya IRT -- Inawapa nafasi watoto kujionea hadithi za maisha ya kila siku na kuishi.
Nilifanya mwanzo wangu wa Indianapolis kama mkurugenzi wa jukwaa mwezi uliopita na Inherit the Wind, kikao cha jukwaa ya Amerika, uliohudhuria na wanafunzi zaidi ya 5,500 wa shule ya msingi na wa shule za sekondari.
Takribani asilimia 25 ya kikundi cha sasa cha wanafunzi wa Kanisa hupokea kiasi fulani cha msaada wa kifedha.
Barua hii ni kukujulisha kwamba bado tunahitaji msaada wako ili kuendelea na rekodi yetu ya udhibiti wa nguvu wa fedha, uzalishaji wa maonyesho mazuri na mipango bora ya elimu.
Utafiti uliochapishwa katika sayansi unatoa ushahidi wa maendeleo kwa kuhifadhi mafanikio ya kwanza ya kupandikizwa kwa seli za moyo zinazofanya kazi katika mfano wa mnyama.
Kuna mipango ya sanaa kwa watoto wadogo na pia wanarika wa shule ya upili yenye ni muhimu na ziko na pesa nadra sana ya matumizi kwa sanaa.
Tofauti na majengo mengine yasiyo ya faida katika jiji, waigizaji wetu hupata rizki yao kutoka kwa ustadi wao.
Kama ziada, sasa tunaweza kupea wafadhili $100 ama zaidi katika nchi ya Indiana Neighborhood Assistance Program (NAP) mkopo asimia 50 ya ushuru
FOREVER PLAID - jina ambalo linamaanisha uendelezaji wa maadili ya jadi, ya familia, nyumba na maelewano.
Kama shirika la mtaa kwa Baraza la Taifa la Wageni wa Kimataifa, Mpango wa Maendeleo ya Afrika Kusini na Mafunzo ya Matibabu ya Kichina , mwaka wa 1999 Kituo hiki kilitumikia wageni zaidi ya 100 katikati ya Indiana.
Ikiwa ungependa habari za ziada kuhusu kampeni ya IU Shule ya Madawa au utafiti wa Dk Field, tafadhali piga wito 274-3270.
Kamati ya Maendeleo ya IMA itatenda ahadi zote itakazopokea hadi Desemba 31, 1998 dola-kwa dola.
Kwa kuwa kutoridhishwa na kukaa kwetu huko Houston ni ndogo, natumaini utarejesha Kukubaliwa kwa Uteuzi wako leo.
Inanipa furaha kubwa kukupa mwaliko huu wa kujiunga na Mzunguko wa Ndani wa Republican Senatorial katika sherehe ya roho yetu katika Mkataba wa Taifa wa Republican huko Houston, Texas, Agosti 16-20.
Unaalikwa kuwa sehemu ya mradi huu mpya muhimu ili kuimarisha ushirikiano huu unaoongezeka wa vyuo vikuu vikuu vya hali kubwa huko Indianapolis.
Kwa mara nyingine, wacha nikupe hongera kwa kuteuliwa kwako kwa jumla katika uanachama wa ndani na kukuhimiza kukubali heshima hii punde iwezekanavyo.
Hata kwa ukarimu unaoendelea wa wafadhili, Makumbusho ina mipango na shughuli ambazo huenda bila kujitenga kila mwaka.
Ni muhimu na tumaini kwamba utafanya mchango mkubwa katika fedha za Pursuit of Excellence mwaka huu.
Kazi iliyofanywa na Loren I. Field, PhD., na wenzake katika Shule ilikuwa hadithi ya kwanza katika toleo la Sayansi - jarida la kwanza linalotambua na kualamisha uchunguzi.
Mwenyekiti Mashuhuri wa Chama cha Meno cha Indiana anawakilisha chama cha kwanza cha meno nchini kukamilisha ahadi hiyo kwa shule ya meno.
Uchaguzi wa hivi karibuni wa Lou Harris unaonyesha kuwa zaidi ya 66% ya viongozi wa kike kwa biashara za leo wana asili ya uskauti kwa msichana.
Wewe, pamoja na wanachama wengine wanaojali, mtakuwa mkisaidia juhudi la kuhifadhi na kukuza urithi wenye fahari wa nchi yetu.
Uanachama wako utakupa uwakilishi kwa kazi ya wanachama wetu tu pamoja na sifa kamili kwa vikao vyote vya Kikao rasmi.
Chakula cha mchana cha mwaka huu kinapangwa kufanyika Oktoba 23, 1991, wakati wa Mkutano wa Mwaka wa AMRA huko Nashville, Tennessee.
Wageni watakuwa na nafasi ya kuangalia maonyesho yanayobadilika katika Hifadhi ya Hilbert, vipepeo ni bure, mchawi wa Oz, shamba la kucheza, na kupaa angani kwa fantasia.
Hizi zinajumlisha nafasi ambazo hazikuonekana mbeleni kuendeleza masomo ya wanafunzi na kitivo kwa kualika wageni maalum na wasomi kwenye chuo hicho wanapotembelea eneo hilo.
Jamii yako ya kibinadamu haitoi tu huduma za kijamii tu za jamii kwa wanyama na watu wao, lakini pia hutumika kama fedha kwa Jiji la Nashua.
Ugumu wa muundo wa anatomia wa tembo ulifanya kile ambacho kinachukuliwa kuwa utaratibu wa kawaida kati ya wanyama wa ndani kuwa tatizo zaidi.
Hatuwezi kuwa tulipata kila kitu ambacho tungelitaka ama tungelitamani kutoka kuona watu wengine navyo, lakini yeye alihakikisha kuwa tulikuwa na vitu muhimu tulivyohitaji.
Wanachama hupokea punguzo kwenye bidhaa za Jamii na machapisho inapatikana kupitia orodha za mara kwa mara na kwenye Historia ya Soko kwa duka la zawadi lenye liko kwenye makao makuu ya Jamii yetu.
Majadiliano na wawakilishi wa jiji na mashirika mengine ya kiraia na ya kijamii kuhusu maendeleo ya IMA na amp.
Wakati idadi hiyo ni ya kuvutia, mara nyingi usomi ni muhimu katika kuajiri wanafunzi wa juu wenye mahitaji ya kifedha.
Hisia zangu, kama kawaida, ina msingi maalum -- wewe ni mtu anayejali, kama inavyoonyeshwa na mchango wako wa usimamizi wa kila mwaka katika parokia yako.
Malum kamili, ukumbi kamili uliotengenezwa umefanya tofauti kwa watoto kama Becky, Stephanie, Marcus, Emily, na wanafunzi wenzao katika Indiana.
Kama ilivyo na zawadi zote kwa Taasisi, 100% ya mchango wako itatumika moja kwa moja kwa utafiti.
Ndoto yangu ni kuona kila Mmarekani kuwa sehemu ya familia ya Olimpiki, hivyo tafadhali toa chochote unaweza.
Viti hivi vilivyo wazi --Washington, Colorado, na North Dakota - yaliyochanganywa na kuondolewa kwa mwana Demokrasia wa muda mrefu Alan Dixon, imeongeza nafasi zetu za ushindi.
Nje ya thieta, wasanii wa IRT huenda moja kwa moja kwenye darasa ili kufanya kazi na watoto na kuwatambulisha zaidi binafsi kwenye dunia ya thieta.
Kwa kuongezea, wakazi wa Indiana wanaweza kuendelea kupokea mkopo wa ushuru wa Indiana ambayo inaelekezwa moja kwa moja dhidi ya mwisho wa fomu ya ushuru ya eneo hilo.
Ikiwa una maswali au mapendekezo, tafadhali piga simu mwenyewe (924-5471) au Bob Lovell (274-0622) leo.
Ni sehemu ya jitihada za Kituo cha kuhudumia mahitaji ya jamii kwa moja na kuwafundisha wale ambao ni wajibu wa kuendeleza uhisani kwa misingi.
Kuna fursa nyingi zadi za sanaa na utamaduni huko Indianapolis, lakini hakuna bora zaidi kuliko Ukumbi wa Civic.
Katika njia hii, YMCA inatazamia kutimiza kanuni za kikristo kwa kuwiweka katika mazoezi kupitia programu inayohimiza ukuaji wa kibinafsi na kujenga afya ya roho, akili na mwili kwa wote.
Kwa hiyo, najua kwamba huwa unaenda kwa urefu wa ziada ili kuwa na huruma na kuwajali wengine.