text
stringlengths
29
186k
Mume mmoja alimwua mke wake wa zamani kwa kulala na mtu mwingine baada ya kufunguliwa kutokana na kifungo cha awali.
Mtu aliachiliwa huru kutoka mashtaka ya mauaji kutokana na mchoro wa kiufundi na akaenda kumuua mpenzi wake wa zamani.
Ndume lilikuwa na shida ya jino, na puppy wa pili alikuwa ametolewa kutoka kwa pipa.
Itakuwa thamana kufanya kazi kwenye kampuni kubwa kama watanipa fedha kwa ajili ya chuo kikuu.
Mahali pangu ninapopenda kutembelea ni ufuoni kwa sababu ni kuzuri sana, je, ni mahali gani unapenda kutembelea?
Je, unadhani kuwa kipindi cha siku tano cha kushikilia kitakuwa na thamani ya kusubiri kwa watu wengine?
Nilisoma Kingereza, na hilo ndilo sababu ya umaskini wangu na ndio maana siwezi kusoma riwaya.
Napenda chanjo ambacho kina kwa sababu sijawahi kuwa na muda wa kukaa na kusoma karatasi.
Muda hauhitajiki wakati wa kujenga kitu na saruji, inakauka haraka na inaweza kupimwa mara moja.
Ninapaswa kumpeleka binti ya mpenzi wangu kwa ununuzi kabla ya mwaka wa shule kuanza kila mwaka.
Naamini kuwa nyumba io mpya iko mbali sana na nchi, maili mingi kutoka kila kitu.
Mimi uwa sipendi kuenda kuona kitu usiku ule kimetolewa, badala yake uwa nagojea wiki moja kabla ya kuenda kukitazama.
Chaguzi hizi mbili zinapaswa kulipa vizuri zaidi ya kiwango cha kawaida cha soko zaidi ya miaka kumi ijayo.
Hii inawafanya watu wafadhili zaidi kuliko wanaweza kumudu, kwa sababu tu wanahisi vibaya kwa watu masikini.
Sisi hulipwa kiasi chetu kamili wakati wa likizo zote, hata siku kabla na baada ya Krismasi.
Haieleweki kwangu ni jinsi gani mtu anaweza kuuza teknolojia na vifaa vya jeshi kwa serikali geni na asijali deni lake.
Natumaini hakutakuwa na baridi sana na kutakaa na joto kidogo, ila theluji kiasi kwa mkesha wa Krismasi.
Kuna aina zingine za chembechembe ambazo ni muhimu sana katika kuchambua habari za jiografia kwa kutumia mihimili ya laser.
Wittgenstein alizungumza zaidi ya neno moja au mawili mara chache, kwa sababu aliamini kwamba hayo ndiyo yote yaliyotakiwa ili kuwasiliana.
Mwaka wa 1787, sheria ilipitishwa kuzuia watu kuwarejesha tena watumwa waliokuwa wamefika ardhi za Uhuru.
Katika miaka ya 1870 kila utaratibu wa kisheria alikuwa kuporomoka na nchi ilikuwa katika machafuko kamili.
Kushiriki shughuli za kawaida wakati mwingine kuna manufaa kwa kushiriki aina za juu za kufikiria.
Watu kadhaa wanaoamini kuwa mambo yakifanyika kwa faida ya wengi wanasema kwamba sisi ni sawa kwa sababu tunahisi maumivu na furaha.
Dunia isiyo ya msingi haifai kwa wengine kama inabidi itoe maelezo kwa habari kutoka zamani zilizopita.
Unapaswa kuongeza vitambaa na fotoni kwa kiwango cha mara kwa mara ikiwa unataka kujifunza matokeo.
Katika sura ya mwisho, ninajadili ni mara ngapi mtu anafaa kulamba Tootsie Roll Pop ili kufika katikati.
Katika sura ya mwisho nashangaa ni kiasi gani ulimwengu unawajibika kwa utaratibu wa tabia ya kibinadamu.
Kusherehekea siku ya kuzaliwa ya 15 ya binti ni mbinu ya kuendeleza uhusiano wa kitamaduni.
Ingawaje matokeo ya mtihani ya wanafunzi wa umrimdogo na mkubwa ni sawa, wanafunzi wa darasa moja wenye umri mdogo humaliza mtihani haraka zaidi.
Kanuni kutoka katiba ya shirikisho ndizo zilisababisha matokeo sawa kama utaratibu wa kisheria wa 'postbellum'.
Uamuzi wa kisheria wa Postbellum uliisha na majibu yale yale kwa sababu ya shirirkisho la katiba ya Barbados.
Amri ya kisheria ya Prebellum ilikuwa na matokeo tofauti zaidi ingawa ilikuwa imetolewa kwa kanuni za katiba ya nchi.
Shada za maua katika majengo ya karne ya kumi na nane ni maishara ya pembe za wanyama mbalimbali.
Majambazi katika majengo ya karne ya kumi na nane ni matoleo ya sashes na mapambo yaliyovaliwa na watu.
Mahakama ilitumia mamlaka hii mara 4, kwa kipindi cha miaka hamsini na tano kabla ya vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Korti ilitumia mamlaka haya mara milioni 5 kwa miaka hamsini na mitano iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Wale ambao wanasema kwamba kuna kiwango cha mashaka katika sheria ni watu wenye siasa kali.
Vyombo vya habari vya Otitis ni nadra kubwa wakati wa miaka ya mapema ya mtoto.
mawazo ya kiwazimu huwa maarufu zaidi kwenye asasi za kiraia zinapopuuzwa na asasi za kiraia
Rekebisho la katiba la kumi na nne lilipita kwa kura mbili tu baada ya kushauriana kwa muda.
Sonja ,alikuwa mwamke mwenye umri alionekana mwenye chungu lakini alitunza mwili wake mbele ya Meredidith.
Mara kwa mara, wazazi wengine watajaribu kutafuta njia bora zaidi kutoka kwa maisha ya wazazi wao wenyewe.
Jeni la Mendelian lilibakia limelala kwa muda wa karne nyingi kabla ya hali ya mazingira mazuri kutokea.
Itachukua muda mrefu kabla ya kompyuta kuweza kuchukua nafasi ya wanadamu kikamilifu katika kutengeza nguo.
Inahitaji nguvu fulani kupindua mwelekeo wa kitu kilicho na chaji tofauti kwa ncha zake mbili.
Mtu hawezi kubaini serikali ya machafuko kutokana na utawala ulio huru; wao ni sawa sana.
Tatizo la chembe-upeo wa macho daima ipo, bila kujali kuwepo kw mfano wa upanuzi wa awali.
Walimu huwa wanawaweka wanafunzi wa mpito katika madaraja kwa njia ya ukali zaidi kuliko wanafunzi wengine.
Serikali iliyotengana haikuwa imara kutokana na utosawa wa nguvu na hisia za kuchanganyikiwa na watu.
ose Guadalupe Posada alianza kuchora fuvu au calaveras wakati alipovutiwa na umbo la binadamu mwishoni mwa karne ya kumi na tisa.
Nikiwa likizoni mwishoni mwa karne ya kumi na tisa, Jose Guadalupe Posada alianza kuchora fuvu na calaveras.
Hilo tamko linasema yakwamba unafaa kutafuta furaha kwa yule unayempenda na mahali ambapo unafanya kazi.
Goblin wadogo wanasema Anthony John Campos ni waongo wabaya lakini elves na leprechauns si werevu sana.
Charles Follen McKim, John M. Carrare na Thomas Hastings wote walikuwa wanafunzi wa kale wa chuo kikuu, lakini H. H. Richardson hakuwa na alikuwa wa chuo kikuu kingine.
H. H. Richardson, Charles Follen McKim, John M. Carrare na Thomas Hastings wote walikuwa wajumbe, wote walihitimu mwaka mmoja.
H. H. Richardson, Charles Follen McKim, John M. Carrare na Thomas Hastings wote walikuwa wajumbe.
Sababu nyingi zinafanya kazi pamoja ili kuvuta watu wanaondelea kwa viwango vya juu vya kufuzu kimwili.
Marekebisho ya 23 yanasema unaweza kumchagua rais kama unaishi mji mkuu isipokuwa kama ulikuwa mhalifu.
Wallis na Varjabedian wanatoa picha maridadi na za kitaalamu za makazi New Mexico ya zamani.
Jeremy Pitt alijibu kicheko kwa kupiga kelele na kutupa ngumi katika uso wa mwenye kucheka.
Ana deni lako kwa ajili ya msaada ambao ulimpa kama mtu wa kuombaomba asiye na pesa.
Blood ni kikundi cha kimataifa cha wahalifu kilicho na msingi Port Royal ambako Bwana Julian anafanya mikataba isio na kusudi halali.
Baadhi ya maeneo ambayo yanamilikiwa na Bwana Julian, ni Port Royal, mji wa biashara kubwa zaidi katika kanda hio.
Maendeleo ya Ogle yalizuiwa na damu, ambaye alimtazama kwa ukali wakati alipokutana na nia ya hoja.
Bwana Julian alikuwa mwenye kukuza maadili na mwenye busara, ninavyo elewa ni kuwa alikuwa hivyo mara nyingi kwa sababu ya mamlaka yake
Kuna njia nyingi mbadala za kutatua tatizo hili ila ya kutoa msichana yule kama mateka.
Nahodha Blood alipandishwa cheo hivi majuzi kwa nafasi yake sasa kwa sababu ya kazi aliyofanya.
Alikuwa katika hali ya uharaka kwa kuwa alikuwa na tarehe za kumalizia kazi zilizokuwa zinakaribia.
Bwana Juliana alikaa katika Arabella kwa matumaini ya kumpea Bibi Askofu na lifti yenye haina taaradhia.
Wanawake mia moja, paka mbili za maziwa bila wanaume waliripotiwa kwenye manowari ambayo yaliondoka bandarini jana jioni.
Hata kama mtawala alikuwa mwerevu sana, kosa lake kubwa la kutosikiliza shauri langu litasababisha mwisho wa ufalme.
Arabella haikuonekana kwenye bandari la Royal harbor kwa sababu ilikua ndogo sana kutoshea kwenye meli mkubwa.
Vikundi vya wanaume vilikuwa vinapungua, kwa kuwa kila mtu alikuwa akienda kwenye eneo la kuishi melini kwa chakula cha jioni.
Mwanaume mmoja alimwambia mwenzake kuwa alikuwa amefanya kazi yake barabara na kuwa kasoro zozote zilikuwa zake.
Jioni hii ilikuwa ni na shughuli nyingi kuliko kawaida kwa sababu ya tukio lililokuwa linahudhuriwa.
Kulikuwa na eneo moja tu la Bomba la Motaboti BV, lakini biashara iliongezeka ikathibitishwa upanuzi.
Matembezi katika pwani ya Na Pali ni mojawapo wa yale magumu na mazuri zaidi duniani.
Mlio wa maili 2 waweza kuwa ulisababivhwa na vitu vingi, pamoja na mlipuko wa volkano.
Vipimo vya joto katika bahari hubadilika kila wakati lakini haiendi chini ya kiwango cha kuganda.
Waajiriwa hufanya kazi ya kuongeza idadi ya ndege wa flamingo katika Kisiwa ili waweze kupata nafuu dhidi ya kuisha.
Nevada Falls ni eneo nzuri ambalo halina watu wengi, na ni pahala pazuri pa kutembea.
Culebra iko katikati ya Puerto Rico na St. Thomas katika visiwa vya Virgin vya Marekani.
Culebra haipo popote karibu na Puerto Rico na St Thomas katika visiwa vya Virgin vya Marekani.
Culebra iko kati ya Puerto Rico na St. Thomas katika visiwa vya Virgin huko Marekani.
Kanisa la Calvinist la Neo-Gothic la mwaka wa elfu moja themanini tisini na sita limekuwa na mandhari chache
sifhts zilizomaarufu hujumuisha maonyesho ya simba, chui wa milima za theluji, duma na misitu ya mvua ya afrika ya kitropiki
Mambo bora ya kuchunguza ni maonyesho ya simba mpya, chui theluji na maonyesho ya duma, na misitu ya mvua ya Afrika ya kitropiki.
Hakuna maonyesho mapya ya simba, chui na duma, au misitu ya Afrika katika kituo hicho.
Vifaa vya zamani vya kilimo vingine vinapatika katika jumba la makumbusho la Kihistoria la Kitaifa
Kanisa, kanisa ndogo na mnara wa pembe sita zinaashiria mwanzo mpya wa mji baada ya vita.
Nyoka huyo alikuwa akiishi karibu na kiingilio cha hekalu na alikuwa akila keki za asali.
Mahojiano ya maingizo ni pamoja na kidogo vile ambavyo watu wanavyochukulia matangazo ya barua pepe.
Ingawa kulikuwa na miungano miwili, hakukuwa na haja ya kampuni kupitia urekebishaji wa mfumo wa viwango.
Kuunganisha kampuni mbili iwe shirika moja na kutengenezwa upya ilileta mazingira ya kazi yenye vurugu.
Tulichunguza kampuni iliyopata mashirikiano mawili na ilibidi urekebishaji haraka ili kukidhi mahitaji yao ya biashara.
Huwezi kujua kiasi cha upendeleo uliopo kwa sababu ni vigumu kutofautisha na ushawishi wa nje.
Centrelink ilikuwa na mikakati mingi ya kuwafundisha watu jinsi ya kuripoti mapato kwa sababu serikali ilipoteza pesa nyingi kwa makosa
Si wazo nzuri kuacha uwakilishi wa kisheria kwa sababu basi labda watapewa kinyume cha sheria.
Mwaka wa 2000 ilikuwa bora zaidi kwa sababu bunge ilipitisha miswada zaidi kuliko hapo awali.
Eneo la GAO, ndilo eneo ambalo linafanya vibaya zaidi, na kuna mpango wa kusitisha usaidizi wa kifedha kuenda huko.