text
stringlengths 3
16.2k
|
---|
Next article |
Seneta Cherargei: Pombe hatari inanonesha watu wembamba |
T L |
You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
NA WYCLIFFE NYABERI SENETA wa Busia Okiya Omtatah amesema anahofia maisha yake kutokana na juhudi zake za kupinga ushuru wa nyumba kupitia utaratibu wa kesi mahakamani. Seneta huyo mwanaharakati, amedai matamshi aliyoyatoa Rais William Ruto mnamo Desemba 16, 2023, alipohudhuria hafla ya kuchangisha pesa katika Kanisa Katoliki eneo la Mosocho, Kaunti ya Kisii, yalimlenga yeye na Wakenya wengine waliowasilisha mahakamani kesi ya kupinga ushuru huo wa asilimia 1.5 kutoka kwa mishahara ya wafanyakazi. Katika makato ya ushuru huo mpya, Wakenya wenye ajira hukatwa asilimia 1.5 ya mshahara wao na waajiri wao pia hukatwa kiasi sawa na hicho. Wakati wa ziara yake, Rais Ruto alisema: “Si mliona nilipewa upanga wakati nilipoapishwa? Nyinyi mnafikiri ulikuwa wa kukata mboga? Hapana… Ni sime ya kukabiliana na wakora wanaotupeleka kortini kuzuia miradi kama ya nyumba za bei nafuu.” Ni kauli hiyo ya Rais ambayo Omtatah amesema inamkwaza. Akihutubia wanahabari mjini Kisii mnamo Jumanne Desemba 19, 2023, seneta huyo pia amesema Rais katika kuongea kwake alitumia maneno ya kuwadunisha watu wanaopinga ushuru huo kama “wakora”. Bw Omtatah alisimulia jinsi ambavyo juhudi zake za kutaka kuandikisha taarifa kwa polisi kuhusu “kutishiwa maisha kwake” zimekuwa zikisambaratishwa na wakuu wa polisi. “Mwanzo nilienda katika kituo cha polisi cha Lang’ata kuandikisha taarifa kuhusu hofu ya maisha yangu lakini wakuu wa kituo hicho walinizungusha sana. Lakini alikuja kwangu afisa wa ngazi ya chini na kunieleza kuwa jinsi wenzake walivyokuwa wakiongea, hawangenisaidia kurekodi taarifa. Afisa huyo alinishauri nije Kisii kulikotolewa semi hizo za rais, hata kama zilipeperushwa na vyombo vya habari,” Bw Omtatah akasema. “Nilijaribu kuagiza usafiri wa ndege kuja Kisii lakini nilielezwa ndege zote zilikuwa zimejaa,” seneta huyo ameongeza. Alipofika Mosocho vilevile Bw Omtatah alipokezwa makaribisho kama ya Lang’ata, amedai. Alikwenda hadi kwenye kituo kingine cha polisi cha Nyanchwa lakini hakupata usaidizi wowote. Anaeleza kuwa alipeleka kesi ya ushuru huo wa nyumba mahakamani hivyo “ninahisi vitisho hivyo vilielekezwa kwangu”. “Mimi ni mmoja wa wale waliopeleka suala hili mahakamani na ndiyo maana niko hapa kuripoti suala hili kulingana na sheria,” akasema. Alisema hakuelewa ni kwa nini Kamanda wa Kaunti Ndogo ya Kitutu ya Kati alikataa kurekodi taarifa yake. “Nilikaribishwa kwa ukarimu na maafisa wa kituo cha polisi cha Mosocho lakini walinituma hapa. Nimesikitishwa kuwa kamanda hawezi kukubali taarifa yangu,” kiongozi huyo akalalamika. “Lakini mimi ni raia anayetii sheria kuliko hata kiongozi wa nchi,” akasema huku akishikilia kuwa ana kila sababu ya kuamini kwamba maisha yake yako hatarini. |
Tayari Chama cha Mawakili Nchini (LSK) kimemsuta Rais Ruto kwa matamshi hayo, kikimwambia akome kutoa vitisho kwa watu wanaopinga sera za serikali. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA SIAGO CECE USALAMA umeimarishwa katika barabara kuu za Pwani huku watalii wa ndani na wa kigeni wakifurika kwa msimu huu wa sherehe za sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya. Polisi wanafanya ukaguzi wa vitambulisho mara kwa mara kwenye barabara kuu kadha, ili kuthibitisha uraia wa abiria katika magari ya umma. Katika Kaunti ya Kwale, vizuizi vya barabarani vimewekwa Kombani, Matuga na Ramisi ambapo abiria wanatakiwa kutoa vitambulisho vyao kabla kuendelea na safari. “Tunafanya ukaguzi wa mara kwa mara ili kutambua wageni wasio raia ambao wanaweza kutumia msimu huu wa makaribisho ya watalii kupenyeza maeneo mengine ya nchi,” alisema Kamanda wa Polisi Kaunti ya Kwale, Stephen Ng’etich. Bw Ng’etich alihoji kuwa kutokana kwamba Kwale ni kaunti inayopakana na mataifa mengine jirani, iko hatarini zaidi kupokea raia wa kigeni kupitia mipaka iliyo wazi. Kuimarisha doria, kamanda huyo alisema polisi ndio watasimamia barabara kuu kama vile Likoni-Lungalunga na Mombasa-Nairobi ili kuhakikisha magari yanadhibiti mwendo inavyotakiwa na hivyo kupunguza visa vya ajali. Pia alisema hoteli zimeagizwa kuhifadhi orodha ya majina ya wageni wote wanaoingia na kutoka humo. “Hatutaki maadui wawe karibu nasi,” Bw Ng’etich alisema na kuongeza kuwa doria zimeongezwa huku maafisa wote wa polisi waliokuwa likizoni wakitakiwa kuwa kazini. Operesheni hizo zimeratibiwa kuendelea hadi Januari shule zitakapofunguliwa. Maeneo mengine ambako ulinzi umeimarishwa ni mjini, maabadi na sehemu za starehe na burudani. Wakati huo huo, Bw Ng’etich alitaka wanaosafiri kwenda maeneo mengine kuwafahamisha majirani na polisi kuhusu wanapoishi, ili kuzuia majambazi kuvunja nyumba zao wakati huo ambao hawatakuwepo. Katika kivuko cha Likoni, msongamano umeanza kushuhudiwa huku maelfu ya wakazi na pia magari yakisafiri kati ya Mombasa na Kwale. Haya yanajiri huku wakazi wa Kwale wakisihi polisi kuongeza doria zao kwenye fuo za Bahari Hindi wakisema zimegeuka maficho ya wahalifu na wakosa maadili. “Kuna vituko vingi vinaendelezwa na vijana baharini. Wanajificha maeneo hayo kwa sababu ni nadra polisi kuwapata,” alihoji mkazi wa Msambweni, Hassan Swaleh. Bw Swaleh alihimiza wazazi kuhakikisha wanafuatilia watoto wao wakati huu wako nyumbani kwa likizo ili kuhakikisha hawajihusishi na vitendo vya uhalifu. Wakati huo huo, biashara tayari imeanza kunoga katika sekta ya utalii wadau wakisema msimu huu wa Krismasi ndio bora zaidi tangu janga la Covid-19, watalii wa ndani na kigeni wakitembelea vivutio mbalimbali. Meneja Mkuu wa hoteli ya Jacaranda Indian Ocean Beach Resort, Duncan Kiroro, alisema kwa sasa wamepata wageni asilimia 80 huku wengi zaidi wakitarajiwa kuhifadhi vyumba ifikapo wiki ijayo. “Hatuwezi kulalamika mwaka huu, tumepokea wageni wengi sana kutoka ndani na nje ya nchi. Tayari wengi wamehifadhi hadi mwanzo wa mwaka,” alieleza Bw Kiroro. Aliongeza kuwa usafiri wa treni zinazotumia reli ya SGR umesaidia Wakenya wengi kutoka sehemu za bara kuzuru mji wa kitalii wa Diani. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA ALEX KALAMA MUUNGANO wa walimu wa shule za sekondari na vyuo vya kadri (Kuppet) tawi la Kilifi, umetishia kuelekea mahakamani iwapo matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE 2023), yatakuwa na dosari kama yale ya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Nane (KCPE 2023). Akizungumza mjini Malindi, katibu mtendaji wa Kuppet tawi la Kilifi Bw Caleb Mogere ameeleza kuwa ni sharti Baraza la Mitihani Nchini (Knec) kusahihisha mitihani kwa uangalifu. “Wanaposahihisha mitihani, na kunakili alama wafanye hivyo kwa njia bora na sawa na masomo ambayo mtahiniwa alifanya shuleni,” akasema Bw Mogere. Katibu huyo vile vile ameitaka Wizara ya Elimu nchini kuhamisha itakayokuwa Gredi ya Nane na Gredi ya Tisa kutoka katika majengo ya shule za msingi na kuwa ndani ya shule za sekondari kutokana na miundomisingi ya kutosha inayopatikana katika shule hizo. Hii ni baada ya Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu mnamo Jumatatu kuweka wazi kuwa wanafunzi hao watasalia katika majengo ya shule za msingi. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA MASHIRIKA WASHINGTON, MAREKANI RAIS wa Marekani Joe Biden alipelekwa upesi eneo salama baada ya gari moja nje ya safari ya kiongozi huyo kugonga gari moja kwenye msafara wa kiongozi huyo mnamo Jumapili usiku. Biden na mkewe Jill Biden walikuwa wanatoka makao makuu ya sekretarieti ya kampeni yake na makamu wa rais Khamala Haris wakati ajali hiyo ilitokea. Wote walikuwa salama, kwa mujibu wa maafisa wa serikali. Biden na mkewe walikuwa wanatoka makao makuu ya kampeni ya Biden-Harris 2024 katika jiji la Wilmington saa mbili za usiku baada ya kupata chajio na wanachama wa timu inayompangia mikakati ya kupiga kampeni kutetea urais, Ikulu ya White House imesema. Baadaye kiongozi huyo wa taifa hilo lenye ushawishi mkubwa aliendelea na safari yake bila tatizo lolote. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA MWANGI MUIRURI KAMANDA wa polisi wa Ruiru Bw Alexander Shikondi amesema Rais William Ruto hakudanganya mnamo Desemba 17, 2023, alipohojiwa moja kwa moja na runinga za kitaifa na kusema kwamba mradi wa serikali wa ujenzi wa nyumba umepunguza visa vya uhalifu. “Si mimi ninayedai hivyo bali ni takwimu zinazothibitisha hayo. Visa vya uhalifu vimepungua Ruiru kufuatia ajira kwa vijana katika miradi yetu ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu kutokana na ushuru tunaookota,” Rais Ruto akasema Jumapili akiwa katika Ikulu. Bw Shikondi amekubaliana na kauli ya Rais akisema kwamba ni ukweli kwamba siku hizi katika mitaa ya Ruiru “tumepata afueni kubwa kwa kuweka vijana hawa wetu katika ajira”. “Kati ya visa 25 kwa wiki ambavyo vilikuwa vinaripotiwa kwa wiki katika stesheni zilizo ndani ya eneo la shughuli za biashara la Ruiru, vimeshuka hadi idadi hiyo kuwa chini ya visa vitano,” akasema Bw Shikondi. “Hata ule msukosuko ambao tulikuwa nao kuhusu kuchipuka upya kwa kundi haramu la Mungiki, hatari hiyo imeenda chini kwa asilimia 80,” akasema. Bw Shikondi alisema kwamba “sisi katika usalama tumeona manufaa halisi ya Rais Ruto katika juhudi zake za kuimarisha usalama kupitia kuwaweka vijana kwa riziki”. Bw Shikondi aliongeza kwamba “tunakadiria kwamba kabla ya miaka miwili kuisha tutakuwa na mazingara muafaka ambayo yatakuwa yanawapa vijana wengi ambao hushawishika kwa urahisi kuingia katika uhalifu mianya ya kutulia ndani ya sheria wakiboreshewa maisha yao”. Bw Shikondi alisema vyombo vya usalama kwa sasa vinapiga jeki juhudi za Rais za kuimarisha maisha ya vijana kupitia kuwashawishi wajiunge na taasisi za kiufundi na pia kuwafungia mang’weni ya pombe haramu na mihadarati. “Tumezindua kampeni kali za kuwahimiza vijana ambao hawana taaluma yoyote wajiunge na taasisi za kiufundi ambazo pia serikali inatoa ufadhili wa juu kwa watakaojiunga nazo. Pia, tumepunguza misako ambayo hutekelezewa vijana ili tupalilie uhusiano mwema ambao utatuwezesha kujadiliana nao kwa manufaa yetu sote,” akasema. Bw Shikondi aliongeza kuwa polisi wamefurahishwa sana na imani ambayo Rais aliwaonyesha katika kuwatutumia kama mfano wa utawala bora na “hatutamwangusha kamwe”. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA WINNIE ATIENO WANAFUNZI wa Kidato cha Kwanza wataripoti kwa shule zao kuanzia Januari 15, 2024, baada ya matokeo ya uteuzi kuanikwa rasmi Jumatatu, Desemba 18, 2023. Wizara ya Elimu imekamilisha mchakato wa kuwapa nafasi kwa shule za umma takriban watahiniwa 1.4 milioni wa Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Nane (KCPE 2023) kuendana na sera ya kuhakikisha asilimia 100 ya kujiunga na Kidata cha Kwanza. Hata hivyo si wote waliopata alama 400 kwa KCPE 2023 wamejiunga na shule za kitaifa kwa sababu walikosa kuchagua mapema shule anbazo wangependelea kujiunga nazo. Sasa watahiniwa hao watapewa nafasi katika shule za umma za upili za kiwango cha kaunti ndogo. Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amesema jumla ya watahiniwa 28,052 hawakuchagua shule yoyote katika kategoria mbalimbali zinazotambulika. Kati ya hao, 222 wangejiunga na shule za kitaifa nao 4,837 wangejiunga na shule za kiwango cha mkoa. Wengine 8,716 wangejiunga na shule za kiwango cha kaunti nao 14,277 walikuwa wa kujiunga na shule za kaunti ndogo kwa mujibu wa matokeo yao ya KCPE. “Inasikitisha kwamba baadhi ya watahiniwa hawakuchagua shule yoyote na idadi yao ni 28,052,” akasema waziri Machogu. Bw Machogu ameongeza: “Suala hili lilifanya tutafakari ambapo maafisa wa elimu walifikia uamuzi kwamba watahiniwa hao wapate nafasi katika shule za sekondari za kiwango cha eneobunge au kaunti ndogo na ambazo ziko karibu na shule za msingi ambako walisomea.” Data kutoka kwa wizara zinaonyesha wanafunzi 62,007 wamepata nafasi katika shule zilizo nje ya kaunti zao za kufanyia mtihani wa KCPE. Idadi ya watahiniwa mwaka 2023 ilikuwa ya juu ambapo kulikuwa na 180,000 zaidi ikilinganishwa na mwaka 2022. Idadi kubwa ya waliopata nafasi nje ya kaunti zao za kufanyia mtihani ni wale wa Nairobi (27,995), wakifuatiwa na wale wa Kwale (9,185), Narok (8,236) na Kilifi (7,800). Wengine walikuwa ni wa kutoka Mombasa (4,662), Kajiado (3,396) na Isiolo (733). “Serikali imejiandaa kuongeza nafasi Nairobi, ambapo imeanza kujenga madarasa 3,500 ,” amesema. Aidha, shule zilizokuwa na idadi kubwa ya watahiniwa zilikuwa ni Kabianga (wavulana) na Pangani ya Nairobi (wasichana) Waziri amewataka wadau walete rasilimali kuhakikisha mchakato wa kuzindua Sekondari ya Juu mnamo Januari 2026. unafanikiwa. [email protected] You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA SAMMY WAWERU RAIS William Ruto ameungama haijakuwa rahisi kuongoza nchi, hasa kuimarisha uchumi uliosambaratika. Dkt Ruto alirithi mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta, na serikali yake imekuwa ikilalamika kwamba ilipata hazina ambayo haikuwa na chochote. Dkt Ruto alisema Jumapili, Desemba 17, 2023 kuwa kinyume na wengi wanavyofikiria kuhusu rais, uongozi si mteremko. Alisema alifahamu changamoto zinazozingira Amiri Jeshi Mkuu, hata kabla hajachaguliwa kuwa rais 2022. “Nilipochaguliwa na kuchukua hatamu ya uongozi, nilifahamu haikuwa rahisi, mambo hayangekuwa mteremko,” Rais Ruto alisema kupitia mahojiano ya moja kwa moja na vyombo vya habari, Ikulu, Nairobi. “Nilijua mambo yangekuwa magumu…Kubadilisha nchi, si sawa na kutembea kwenye bustani,” aliongeza. Dkt Ruto alichaguliwa Rais 2022 (Kenya Kwanza), kupitia uchaguzi uliokuwa na ushindani mkuu kati yake na kiongozi wa upinzani, Bw Raila Odinga aliyewania kiti hicho cha hadhi ya juu nchini kwa kutumia muungano wa Azimio la Umoja. Ruto alisaidiwa na mgombea mwenza, Bw Rigathi Gachagua, ambaye kwa sasa ndiye naibu rais, naye Odinga, Bi Martha Karua. Rais Ruto alizoa kura 7, 176, 141 (sawa na asilimia 50.49 ya kura zilizopigwa) naye Bw Raila Odinga 6, 942,930 (48.85). Mrengo wa Azimio ulielekea katika Mahakama ya Juu zaidi nchini kupinga matokeo ya kura za urais, japo korti iliharamisha kesi hiyo ikisema haikuwa na ushahidi wa kutosha. Hoja zote alizoibua Raila, ambaye amewahi kuhudumu kama Waziri Kkuu, zilifutiliwa mbali. Dkt Ruto aliapishwa Septemba 13, 2022 na zaidi ya mwaka mmoja baadaye, mengi nchini yamebadilika, ikiwemo nyongeza ya ushuru (VAT) na ada mpya kuzinduliwa. Rais Ruto anasema Kenya imekuwa ikiahirisha mambo, na ni jukumu lake kuhakikisha nchi inakua. Dkt Ruto alihudumu kama naibu wa rais chini ya utawala wa Rais Uhuru Kenyatta (ambaye kwa sasa ni mstaafu). Bw Kenyatta alitawala kupitia mrengo wa Jubilee. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA MHARIRI |
BAADHI ya shule nchini zimejitokeza na kupinga matokeo ya Mtihani ya Darasa la Nane (KCPE) yaliyotangazwa Jumatano na Waziri... NA MHARIRI |
SERIKALI za kaunti zitalazimika kutafuta mbinu za usimamizi wa fedha iwapo magavana wanataka kujitolea kutimiza ahadi zao kwa... NA MHARIRI |
KILA Juni 14, ulimwengu huadhimisha Siku ya watu kuchangia damu duniani. Mwaka huu, kaulimbiu ilikuwa “Utoaji damu ni suala... NA MHARIRI |
UCHAGUZI mkuu wa Agosti 9 ulikuwa wa kipekee kwa jinsi ulivyokuwa na ushindani mkali kuliko mwingineo wowote ambao umewahi... NA MHARIRI |
MNAMO Ijumaa Rais William Ruto alipozuru eneo la Magharibi mwa Kenya, alisisitiza ahadi yake ya kuhakikisha kuwa viwanda vya... NA MHARIRI |
TANGAZO la Benki Kuu ya Kenya (CBK) kwamba wateja wataanza kutozwa ada ya kutoa pesa kutoka kwa benki hadi simu zao linajiri... NA MHARIRI |
RIPOTI ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali inayoonyesha kuwa mabunge ya kaunti yanapitisha bajeti kiholela bila kuhusisha... NA MHARIRI |
MKOPO wa Hustler Fund ulioanza kutolewa kwa wananchi wenye uwezo mdogo kimapato mnamo Jumatano huenda usiwafaidi raia jinsi... NA MHARIRI |
UZINDUZI wa Hazina ya Hustler jana Jumatano sasa unawapa matumaini mamia ya mama mboga, wanabodaboda na wafanyibiashara ndogo... NA MHARIRI |
HATUA ya serikali kuondoa marufuku dhidi ya mahindi ya GMO imezua mjadala mkali nchini. |
Suala la GMO limetekwa nyara na... NA MHARIRI |
KWA wiki chache sasa, kumekuwa na wasiwasi katika baadhi ya sehemu za nchi kuhusu homa ambayo inaonekana kuenea kwa... NA MHARIRI |
RIPOTI kwamba wabunge, kupitia Tume ya Huduma ya Bunge (PSC), wanataka kushinikiza Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC)... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na BENSON MATHEKA |
NAIBU wa Rais William Ruto atatumia muungano ‘ulioundwa’ mwaka 2021 na kiongozi wa Amani National Congress (ANC)... Na WANDERI KAMAU |
Naibu Rais William Ruto na waandani wake wameapa kufanya kila wawezalo kulemaza juhudi za Kiongozi wa ODM, Raila Odinga... Na CHARLES WASONGA |
WABUNGE wandani wa Naibu Rais William Ruto jana walifaulu kuzuia kupitishwa kwa Mswada tata wa marekebisho ya Sheria... BRIAN OCHARO na VALENTINE OBARA |
UBABE wa kisiasa kati ya Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, na Naibu Rais William Ruto katika Kaunti ya... Na CHARLES WASONGA |
HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za... Na WANDERI KAMAU |
SUALA lililozua gumzo wiki hii ni majibizano yaliyozuka kati ya mrengo wa Naibu Rais William Ruto na mwanasiasa Maina... Na JUSTUS WANGA |
GAVANA wa Meru Kiraitu Murungi amekiri kwamba umaarufu wa Naibu Rais William Ruto umekita mizizi zaidi katika eneo la... Na CECIL ODONGO |
INASIKITISHA kuwa Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa wanalitumia suala la msitu wa Mau kwa... Na WYCLIFFE NYABERI |
NAIBU Rais Dkt William Ruto amemshambulia Rais Uhuru Kenyatta huku akisema ataondoka mamlakani bila kulipa deni la... Na CHARLES WASONGA |
NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanaonekana kuendeleza mbinu za kampeni za kulambana visigino... Na IAN BYRON |
HATUA ya Gavana Okoth Obado kujihusisha na siasa za chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Naibu Rais, Dkt William... BENSON MATHEKA NA CHARLES WASONGA |
?WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto wamegeuka kupe kwa ‘ kufyoza mamilioni ya fedha anazoyapa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na MASHIRIKA |
LONDON, Uingereza |
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, jana alitangaza masharti makali kudhibiti maambukizi ya... Na ELIZABETH MERAB |
WANASAYANSI wanachunguza kuhusu mchipuko wa virusi vipya vya corona aina ya Delta, katika nchi za Amerika, Uingereza,... Na MAUREEN ONGALA |
MASAIBU ambayo wagonjwa wa Covid-19 hupitia katika kaunti za Pwani, yameanikwa wazi baada ya kifo cha afisa mkuu wa... SIAGO CECE na ANTHONY KITIMO |
UFISADI miongoni mwa baadhi ya maafisa wa serikali katika mpaka wa Kenya na Tanzania, umezidi kuwaweka... Na WAANDISHI WETU |
WINGU la maangamizi limetanda kote nchini huku aina mpya ya corona maarufu kama 'Delta' ikiua watu kwa... Na WINNIE ONYANDO |
HUENDA visa vya wasafiri kulazimishwa kupima upya corona mpakani mwa Kenya na Tanzania vikakoma baada ya serikali hizo... NA WANGU KANURI |
AGIZO la serikali la kudhibiti mkurupuko wa ugonjwa wa corona mwaka jana limewashurutisha Wakenya wengi kufanyia kazi... Na Titus Ominde |
VIONGOZI wa kidini Kaskazini mwa Rift Valley (North Rift) wameshutumu wanasiasa kwa kupepeta usambazaji wa virusi vya... Na WANTO WARUI |
Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiripoti katika shule zao mpya za sekondari hii leo, kuna uwezekano wa maambukizi... Na CHARLES WASONGA |
NAKUBALIANA na kauli ya maafisa wa afya katika kaunti ya Nairobi kwamba wanasiasa ndio wanachochea ongezeko la visa... Na SAMMY WAWERU |
DICKSON Muceri amekuwa mkazi wa Nairobi kwa muda wa miaka kadhaa ila sasa kitovu hicho cha jiji kuu la nchi hakikaliki... Na MARY WANGARI |
WANASAYANSI wamethibitisha kuwa kuchelewesha upokeaji dozi ya pili ya chanjo ya Covid-19 kwa kiasi cha miezi 10 baada ya... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na KINYUA BIN KINGORI |
WAKATI huu viongozi wa kisiasa wameanza mapema kampeni zao kwa kuzuru maeneo mbalimbali nchini, ili kushawishi... Na WANDERI KAMAU |
KULINGANA na Ripoti ya Jaji Mstaafu Akilano Akiwumi (1997) kuhusu chimbuko la ghasia za kikabila nchini, wanasiasa ndio... Na WANTO WARUI |
KWA mara nyingine tena tuzo inayoenziwa sana kote ulimwenguni imerudi katika eneo letu la Afrika Mashariki mara hii... Na DOUGLAS MUTUA |
MWAFRIKA akiwajibishwa na Mzungu hupiga kamsa na kudai anaonewa, ati msingi wa maonevu ni ubaguzi wa rangi... Na WANDERI KAMAU |
MOJA ya changamoto kuu zinazokikumba kizazi cha sasa nchini ni ukosefu wa ufahamu wa lugha zao asili. |
Ingawa lugha... Na KINYUA BIN KINGORI |
JUHUDI za kuhakikisha taifa limefanikiwa kupiga vita ufisadi lazima ziendeshwe kuambatana na Katiba, bila njama... Na WANDERI KAMAU |
UFICHUZI wa sakata ambapo watu maarufu duniani wamekuwa wakificha mabilioni ya fedha katika akaunti za siri ng’ambo... Na FAUSTINE NGILA |
NINA imani kuwa iwapo kufikia sasa hujawahi kuelewa teknolojia ya blokcheni, leo utaelewa kwa kuwa jana uliathirika... Na CHARLES WASONGA |
NI jambo la kusikitisha kuwa ni wakati kama huu ambapo uchaguzi mkuu unakaribia ndipo wanasiasa wametambua umuhimu wa... Na MARY WANGARI |
IDADI ya watu wanaoandaa hafla za uchangishaji pesa za kugharamia matibabu imeongezeka pakubwa katika siku za hivi... Na CECIL ODONGO |
CHAMA cha Kanu bado kina safari ndefu kurejelea umaarufu wake wa enzi za utawala wa chama kimoja na miaka ya 90 hata... Na CHARLES WASONGA |
UTEUZI wa waliokuwa maafisa wanne wa ngazi za juu katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kushikilia nyadhifa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Naomi Wamboi, 21, ndiye anatupambia yeye ni mwanamitindo aliyewahi kushinda tuzo za Miss Nakuru. Akipata muda anapenda kusafiri na... Winnie Miriam Nechesa 21, ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Maasai Mara kaunti ya Narok.Anapenda kuchora, na kujumuika na... Lilian Njeri mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mwanamitindo na mkaazi wa Narok.Uraibu wake ni kusafiri na... Mary Njeri mwenye umri wa miaka 21 ni mkaazi wa mtaa wa Langalanga kaunti ya Nakuru.Yeye ni mwanafasheni wa mapambo na vipodozi.Uraibu wake... Marylene Watiri mwenye umri wa miaka 22 ni mtaalam wa Beauty Therapy jijini Nairobi, aidha yeye ni mwanamitindo na mlimbwende.Uraibu wake... Zaweria Njoki mwenye umri wa miaka 21 ni Video Vixen kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kuandika makala ya kitaaluma na kujumuika na... |
Malkia wetu leo ni Babra Ingasiani mwenye umri wa miaka 21, yeye ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega.Uraibu wake ni kusakata densi ya... Pauline Kimani mwenye umri wa miaka 23 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mkaazi wa eneo la Lanet na mfanyikazi mjini Nakuru.Uraibu... |
Sayfer Godez ni mkaazi wa Nakuru .Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya mapambo na urembo.Uraibu wake ni kusafiri na kujumuika na... Sylvia Wangeci 23 ni mzaliwa wa Molo, na mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha MKU tawi la Nakuru.Uraibu wake ni kusafiri na... Mical Abulatsia Imbukwa, 28, ni mwanahabari katika shirika moja jijini Nairobi. Uraibu wake ni kutazama filamu za Afro sinema na kujumuika... Faith Karungari mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafasheni na mwanamitindo maarufu kutoka Nakuru.Uraibu wake ni kuogelea na kusikiliza muziki... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na RICHARD MUNGUTI |
MAHAKAMA ya Juu jana ilianza kusikiza rufaa ya mpango wa kubadilisha katiba (BBI) huku Mwanasheria Mkuu Bw Paul... Na BENSON MATHEKA |
RAIS Uhuru Kenyatta jana Jumapili alisema kuwa ndoto yake ya kubadilisha katiba ya Kenya iliyopitishwa 2010 kupitia... Na CHARLES WASONGA |
KWA mara nyingine Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa mageuzi ya katiba yaliyopendekezwa katika Mswada wa Mpango wa... Na JOSEPH WANGUI |
Mwanasheria Mkuu, Paul Kihara Kariuki hatimaye amewasilisha rasmi rufaa katika Mahakama ya Juu kupinga uamuzi wa... Na Gitonga Marete |
KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amesisitiza kuwa Bunge linapaswa kurejelea Mpango... Na Leonard Onyango |
NAIBU wa Rais William Ruto amewataka wabunge kujadili masuala nyeti yanayoathiri Wakenya badala ya kujaribu kufufua... Na CHARLES WASONGA |
JUHUDI za wabunge wanaoegemea mrengo wa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga kutumia bunge kupitisha... Na WALTER MENYA |
JUHUDI za kuokoa mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano (BBI) zimefikishwa rasmi katika Mahakama... Na FRANCIS MUREITHI |
KUSAMBARATIKA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) kumefifisha pakubwa ushawishi wa kisiasa wa mwenyekiti wa Kanu,... Na WANDERI KAMAU |
KUHARAMISHWA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) na Mahakama ya Rufaa kunatarajiwa kutoa mwelekeo mpya kwa siasa za... Na WANDERI KAMAU |
NAIBU Rais William Ruto jana alimtaka Rais Uhuru Kenyatta kurejelea miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na Jubilee, baada... Na Cecil Odongo |
BAADA ya Mahakama ya Rufaa kukubaliana na uamuzi wa mahakama kuu wa kuzima mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI) Ijumaa,... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
NA MAUREEN ONGALA |
SERIKALI ya kaunti ya Kilifi imeonya wamiliki wa maeneo ya burudani wanaocheza muziki kwa sauti ya juu bila kuwa na... NA PETER MBURU |
WAKENYA wanazidi kulishwa ahadi butu na wagombeaji wakuu wa urais, hasa Raila Odinga na William Ruto kuhusu jinsi maisha... Na LEONARD ONYANGO |
HOFU ya kuangushwa kwenye mchujo na wawaniaji chipukizi imesukuma baadhi ya wanasiasa kung’ang’ania wakuu wa... Na BENSON MATHEKA |
Maisha ya kisiasa ya kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga yamebadilika pakubwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao... Na SAMMY WAWERU |
NI rasmi sasa kiongozi wa ODM, Raila Odinga atakuwa debeni kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao,... NA JUMA NAMLOLA |
WIKI hii hapa katika meza ya habari ya Taifa Leo tuliangazia mambo ambayo wanasiasa wote waliojitokeza kutamani uraia... NA WANDERI KAMAU |
JE, taswira ya urais wa kiongozi wa ODM, Raila Odinga, itakuwa vipi ikiwa ataibuka mshindi kwenye uchaguzi mkuu wa... NA BENSON MATHEKA |
Kila dalili zinaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anahofia kwamba ataibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.... NA KIPKOECH CHEPKWONY |
Subsets and Splits
No saved queries yet
Save your SQL queries to embed, download, and access them later. Queries will appear here once saved.