audio_ID
stringlengths
39
46
audio
audioduration (s)
2.14
242
transcript
stringlengths
14
1.42k
Kilindi_B_19_2023-08-04 14_16_09/1691148476507
Kwa ujumla aina gani ya Tricot uliipenda zaidi, B, B ndiyo
Kilindi_B_19_2023-08-04 14_16_09/1691148508051
Ni ni ulipenda kuhusu kukuza aina B? Meipenda kwanza cha kwanza ni mavuno niseme punje zake punje zake ni nene. kingine?.rangi yake inavutia ya tatu? cha tatu ata soko naamini ikiingia sokoni ina inaeza ikawa ina bei nzuri zaidi
Kilindi_B_19_2023-08-04 14_16_09/1691148723785
Kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina A?A ningependa kuikuza kwasababu ina mazao yaani ina mavuno mengi, yaani ina mavono mengi. kingine? hata kibiashara kwahuku kwa upande wa kwetu wengi wanaifahamu na chakula vilevile ni matamu zaidi, ndiyo
Kilindi_B_19_2023-08-04 14_16_09/1691148753396
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara na matumizi ya chakula? Kwa aina A punje zake ni ndogondogo, kwahiyo icho kitu sikukipenda naamini hata ukiingiza sokoni watu wanaweza wakawa wasiikubali kwasabu punje zake ni ndogo, kingine? Labda kwenye matumizi ya chakula? kwenye chakula hakuna shida, .haina tatizo? haina tatizo lolote iko vizuri, iko vizuri? ndiyo
Kilindi_B_19_2023-08-04 14_16_09/1691148530101
Kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? Haivumilii yaani tuseme haivumilii magonjwa kwasababu ikikutwa na ukungu inashambuliwa sana, kingine? ni hicho tu
Kilindi_B_19_2023-08-04 14_16_09/1691148595393
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina B kwa biashara na chakula? Kwa B tunaeza pata changamoto kwaupande wa Kilindi kwasabu hii mbegu kwa upande wa huku ni ngeni, ndiyo, yaani ni ngeni ina maana wengi hawafanyi nini? hawaifahamu kwaio inaeza ikawa ikaleta changamoto ya kuikubali kwenye uzalishaji, na kwa matumizi ya chakula labda?, .kwenye chakula hapo nisidanganye kwasabu wengi hawaifahamu kwahiyo, hujapata taarifa yake, sijapata taarifa hiyo yake, sawasawa
Kilindi_B_19_2023-08-04 14_16_09/1691148684752
Na ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? Hukukipenda kabisa kipindi unaikuza hii B?, Unajua baada ya kushambuliwa na ukungu ilibaki miche michache Ndiyo, .baada ya kupita ule ugonjwa wa ukungu ikabaki miche michache icho kitu sikukipenda, Ndiyo,kingine?, kingine hamna
Kilindi_B_19_2023-08-04 14_16_09/1691148804281
Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya A kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Kwa kuitizama au kwa namna ambavyo umekutana nayo? Kitu chochote ambacho kinaeza kikakufanya aina A kuwa nzuri kwa biashara. Hapo kwa upande wangu mimi? Ndiyo. Yaani kinachonivutia zaidi ni hiyo tu mapato , yaani inamaana mazao yake ni mengi lakini kingine sikioni
Kilindi_B_19_2023-08-04 14_16_09/1691148550719
Na ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina ya B kwa biashara na matumizi ya chakula? Japokuwa sijawahi kuila lakini kwa muonekano inaonekana ni tamu ata kibiashara ikiingia sokoni naamini wataje wataipenda zaidi
Karatu_37_2023-07-29 09_02_33/1690611784526
Ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula? Kwa biashara na kwenye matumizi ya chakula. Kwa biashara ina soko na kwa chakula ni nzuri
Karatu_37_2023-07-29 09_02_33/1690611732868
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina B? Aina B mavuno yake ni chache
Karatu_37_2023-07-29 09_02_33/1690611610998
Nini ulipenda kuhusu kukuza aina B? Aina B, aina B inakomaa kwa haraka halafu inastahimili hali ya hewa
Karatu_37_2023-07-29 09_02_33/1690612295613
Kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya A inaweza ikawa nzuri kwa matumizi ya Biashara na Chakula? Sifikirii chochote
Karatu_37_2023-07-29 09_02_33/1690611544667
Kwa ujumla, ni aina gani ya Tricot uliipenda zaidi? Kwenye maharage? B
Karatu_37_2023-07-29 09_02_33/1690612207440
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula? Soko lake ni ngumu kidogo, kwa chakula inaleta gesi
Karatu_37_2023-07-29 09_02_33/1690612132516
Je kuna kitu chochoteambacho ulichokipenda kuhusu kukuza aina ya A? Inavumilia ukame
Karatu_37_2023-07-29 09_02_33/1690612005004
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? Inachelewa kupanda
Karatu_37_2023-07-29 09_02_33/1690611882589
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula? Hakuna kitu ambacho sijakipenda
Karatu_10_2023-07-27 11_00_43/1690446371719
Wakati wa kuuza ndiyo ambayo bei yake iko chini sana, sikuipenda kwa sababu hiyo
Karatu_10_2023-07-27 11_00_43/1690446406463
Kwa sisi wanunuzi bei yake ilikua iko chini kidogo ndio nimeipenda
Karatu_10_2023-07-27 11_00_43/1690446451419
Wakati wa kuuza, ndio ambayo bei yake ilikua iko chini sana sikuipenda kwa sababu hiyo
Karatu_10_2023-07-27 11_00_43/1690446842642
Inashambuliwa sana na wadudu wakati wa kuotesha
Karatu_10_2023-07-27 11_00_43/1690446886309
Kwasababu hii inapendwa sana na watu wengi na inanunuliwa kwa haraka sana hii hata ukipeleka sokoni
Karatu_10_2023-07-27 11_00_43/1690446807579
Kwasababu ina soko
Karatu_10_2023-07-27 11_00_43/1690446772030
Haikomai kwa haraka
Karatu_10_2023-07-27 11_00_43/1690446474990
Ni biashara tu
Karatu_10_2023-07-27 11_00_43/1690446706051
....sifa ya kwanza ya aina B, ya kwanza kabisa haina masoko hii, sifa nyingine ya pili, inaleta gesi tumboni, na sifa nyingine ya tatu haitoi sana mazao
Arumeru_60_2023-07-25 16_42_45/1690295872266
Je kuna kitu chochote ambacho ulikipenda kuhusu kukuza aina B katika sifa za kilimo ukielezea. Kwa kweli hamna kitu ambacho nimekipenda
Arumeru_60_2023-07-25 16_42_45/1690295913191
Je ni aina...Je ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina B kwa matumizi ya biashara au kwa matumizi ya chakula? Aina B sikuipenda maana huwa sokoni haipo sana kwa hiyo ni kwa matumizi ya chakula tu. Na kwa matumizi ya chakula kuna labda jinsi ambayo hukuipenda pia? Hapana
Arumeru_60_2023-07-25 16_42_45/1690295222114
Je ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A ukielezea katika sifa za kilimo. Hakuna kitu niliona kibaya cha kwake. Aya, asante
Arumeru_60_2023-07-25 16_42_45/1690296210326
Je, ni kitu gani ambacho unafikiri kinaweza kufanya aina B kuwa nzuri kwa biashara au kwa matumizi ya chakula?Hakuna kitu chochote. Asante
Arumeru_60_2023-07-25 16_42_45/1690295394189
Ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina A kwa matumizi ya biashara au kwa matumizi ya chakula?Niliipenda kwa matumizi ya chakula na biashara.Kwa sababu gani, kitu gani kilikuvutia kwa matumizi ya biashara na matumizi ya chakula.Ina rangi nzuri. Na kwa matumizi, iyo ni biashara au chakula? Kwa biashara, kwa chakula ni matamu. Asante
Arumeru_60_2023-07-25 16_42_45/1690295523897
Je ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa matumizi ya Biashara na matumizi ya chakula? Hakuna kitu ambacho sijakipenda. Asante
Arumeru_60_2023-07-25 16_42_45/1690295744191
Je ni aina ipi ya Tricot ambayo haukuipenda sana, yaani uliipenda sawa ila haukuipenda ukilinganisha na aina nyingine? Aina ya B. Asante
Arumeru_60_2023-07-25 16_42_45/1690295817969
Je ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A ukielezea hilo, hio aina A katika sifa za kilimo? Aina A kitu ambacho sikukipenda ukiotesha mwisho huwa haibebi. Mwisho ukimaanisha? Nikimaanisha ukichelewa wakati
Arumeru_60_2023-07-25 16_42_45/1690295075938
Je ni kitu gani ulikipenda sana kuhusu aina A jinsi ya kuikuza ukielezea kwenye sifa za kilimo. A ni nzuri kwa kula, ina rangi ya kuvutia. A ina biashara. Asante
Arumeru_60_2023-07-25 16_42_45/1690294990601
Kwa ujumla katika aina hizi tatu, ni aina ipi ya Tricot ambayo uliipenda zaidi? Ni A
Arusha_CC_30_2023-07-26 10_39_13/1690361535495
Je ni kitu gani haukipendi kuhusu kukuza aina C eleza kwenye sifa za kilimo. Ambayo sikipendi kukuza kwenye? Yaani ambacho hujakipenda kuhusu hii aina C. Nafikiri niseme tu kwamba sija, hakuna chochote ambayo sijaipenda maanake tayari zao nimeshaliona ni nzuri na linamea kuzuri yaani kwa ujumla hili zao nizuri nilivyoiona . sawasawa. kwahivyo sioni kwamba.
Arusha_CC_30_2023-07-26 10_39_13/1690361829648
Mbegu B nimeona hata kwa rangi yake yenyewe bado hai, sio kala nzuri, hairidhishi hata kama tukisema kwenye biashara haivutii. Lakini pia ukiangalia punje zake ambazo tumezitoa hata kama tumepata upungufu wa mvua bado ni ndogondogo. Dhaifu
Arusha_CC_30_2023-07-26 10_39_13/1690362069230
Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina B kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? B? Kwenye B inaeza kuwa kuna kitu inaeza fanya, kwa mfano tukiotesha mvua iwe nyingi hapo inaeza tengeneza mazingira mengine tofauti na mwaka huu. Kwahiyo tunaeza tunapo endapo tutakapoendelea kuotesha, tunaeza ona tena mabadiliko yatakua namna gani. Nyingine? Nyingine niseme tu, niseme kwa ujumla mbegu hizi zipo kwenye utafiti kwahivyo ni geni kwetu, kwahivyo tunapoendelea kuotesha tunaendelea kuyajua vizuri zaidi. sawa
Arusha_CC_30_2023-07-26 10_39_13/1690361947416
Sema Je, kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya B? Elekeza kwenye sifa za kilimo. Sasa ile B hapa kuna chochote ulikipenda japo kunaambavyo umevitaja umechukia lakini kuna chochote ulikipenda? Umerekodi tayari? Kwenye B naezasema kwamba kitu ambayo nimekipenda ni kwasababu tupo kwenye mazoezi kwenye majaribio kwahiyo yawezekana kama mimi sijaipendea kala hiyo ama udogo udhaifu wa mbegu hiyo itakua labda kuna wengine wanaeza penda. Kwahiyo siwezi sema kwamba ni mbaya kwa ujumla labda kuna wale wengine wamependezwa nayo. sawa
Arusha_CC_30_2023-07-26 10_39_13/1690361663987
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula. Ni kitu gani sijakipenda? Bado niendelee kusema kwamba kwenye biashara sitasema sijaipenda maana sijajua mazao haya yatakua na bei kiwango gani ya fedha, lakini kwenye muonekano wa mbegu inaonekana ni zao zuri kwenye chakula ya binadamu, familia kwa ujumla. sawa
Arusha_CC_30_2023-07-26 10_39_13/1690361348049
Kwa ujumla aina gani ya Tricot ulipenda zaidi? Ni A, ni B au ni C? Embu anza maana huyu ame. Nimeshaanza, Kwa ujumla aina gani ya Tricot ulipend zaidi? Ni A, B au C? C. Ni C?
Arusha_CC_30_2023-07-26 10_39_13/1690362009636
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula? Kwenye biashara kwenye biashara kwanza rangi yake tu yenyewe haivutii kwaio nikisema kwamba sijaipenda labda kwenye kala haija haijani. kingine? lakini tukija kwenye upande wa chakula sijajua maana sijaitumia, haijatumika kwaio tuko kwenye majaribio, kwaio labda tunaeza ipenda baadae endapo tutakua tunaendelea kuotesha. nyingine? nyingine inatoa punje ndogondogo. sawa
Arusha_CC_30_2023-07-26 10_39_13/1690361890035
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina C, eleza kwenye sifa za kilimo. Kwa ujumla hakuna kitu ambayo kimenisababisha nisiskipende kwasababu tayari nimeshaona zao ni zuri, kwaio sijapata sehemu ambayo itanisababisha nisiipende, nimeipenda mimi. sawa
Arusha_CC_30_2023-07-26 10_39_13/1690361617720
Aya naanza, ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina C kwa biashara au matumizi ya chakula? Kwanza kwasababu sijajua zao hili kwenye biashara ina bei ya shingapi lakini kwa upande wa chakula imenipendeza kwa kuiangalia tu sura ya mbegu yenyewe inaonekana kwamba ni chakula kitamu ambayo kinafaa ndani ya familia yanggu au jamii kwa ujumla. sawa, nyingine? nyingine?
Arusha_CC_30_2023-07-26 10_39_13/1690361472950
Je ni nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya C? Ni kwasababu ina rangi nzuri, alafu ni ina ukubwa kiasi. na nyingine? nyingine nimeona inaweza zaa mazao mengi. sawa, ya nne? sifa ya mwisho sifa ya mwisha nimeona ni nzuri kwa chakula
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691068766019
Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya A kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? ni kitu gani ambacho unafikiri kinaweza kufanyika, kinaweza kufanya ili hii aina ya Tricot ya A izidi kuwa nzuri kibiashara na matumizi ya chakula? Labda ikipandwa kwenye ardhi yenye rutuba............ kingine? kupaliliwa kwa wakati............ ya tano ya mwisho? ikiwekwa dawa........
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691068203620
Naendelea, je ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? Hii mbegu ya C sasa, ni kwa nini haukuipenda kwa biashara? kibiashara?kwamba hii mbegu bwana, kwamba hii mbegu haifai kwa kuuza. aina C. Kwa nini......sifa gani inayo..........yaani tunazungumzia kwa upande wa biashara kwamba hii mbegu bwana, hii mbegu sipandi kwasabu mwisho wa siku nikivuna haina wateja, ila kwa sababu moja mbili tatu. Aina C mi nilisema inafaa kwa biashara, si nilisema inafaa? Sa hilo swali ni lakwako, tunazungumzia hili la huku. Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina C kwa biashara na matumzi ya chakula? Mi nimeipenda aina C. Umeipenda? kwa nini? au kwa sababu gani? Kwasababu gani nimeipenda kwa biashara, kwasababu inauzika na bei yake ipo juu. Sababu nyingine? Bei zake zipo juu....
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691068641990
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula? Kitu gani ambacho haukukipenda kwenye mbegu ya Tricot ya A, kibiashara . Haina soko. Alafu ya pili? Haipendwi na watu. Afu ya tatu? Biashara sio nzuri. Kibiashara, sio nzuri kwa nini? Hainunuliki. Hainunuliki, ya nne? Ya nne ni nini? Hainunuliki.....Bado mbili. Haina bei.......................
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691067945974
Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya C kwa biashara au kwa matumizi ya nyumbani? Ni kitu gani ambacho ulipenda kwenye hii Tricot ya C kwa biashara au kwa matumizi ya chakula? kwa biashara. kwa biashara? Ipo kwa vyote inafaa, kwa vyote kwa biashara na kwa matumizi ya kula Si ndo ivyo asa, yaani tukija kwenye upande wa biashara ni kitu gani kilicho kushawishi mpaka uone kwamba hii inafaa kibiashara? Kwasabu ina bei. Afu ya pili? Ni sifa gani ambayo unaona hii mbegu, hii mbegu inafaa kwa biashara? watu wanaipenda. sifa ya tatu? kwa upande wa biashara? kwa upande wa biashara............. Ina soko,sababu nyingine kwa upande wa chakula, kwamba hii mbegu bhana hii mbegu iko safi kwa upande wa chakula kwa sababu moja mbili tatu? kwa upande wa chakula? Ani kwanini unaipenda? kwamba hii mbegu hii mbengu nzuri bhana nikiipika hii hii nzuri sana inapendeza Sifa gani............
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691151759007
Nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya A. Elekeza kwenye sifa za kilimo. Niliipenda kwa sababu inastawi vizuri kuliko nyingine ........ulistwi vizuri kuliko nyingine, aya sabau ya pili? Ina vumilia ukame sawa sababu ya tatu? sawa sababu ya tatu? haishambuliwi na wadudu sawa, sababu ya nne Inapunje nene kuliko nyingine sawa, sababu ya tano Ina soko sawa
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691067727411
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C. Elekeza kwenye sifa za kilimo. Ni kitu gani ambacho hujakipenda Kwenye mbegu sikupenda kushambuliwa na wadudu Afu sababu nyingine?.........................
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691152058576
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691152324600
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya B kwa biashara au matumizi ya nyumbani? Haina soko na haipendwi na wateja Haina soko na haipendwi na wateja, alafu sifa ya tatu? sifa ya tatu yaani bei yake sio kubwa kama nyingine bei yake bei yake Iko chini Sifa ya nne Sifa ya nne hizo hizo tatu zinatosha
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691057593169
Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula?
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691067358434
Aya tunaanza kwa jumla aina gani ya TRICOT uliipenda zaidi kati ya A, B na C ni aina gani ambayo uliipendelea? Niliipenda C maana haikubaliki
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691152187143
Ni kitu gani ulichopenda kuhusu kukuza aina ya A elezea kwenye sifa za kilimo. Sifa ya kwanza Sifa ya kwanza ni .......sehemu isiyo na rutuba.............. Sifa ya pili Hainanii haivumilii ukame kwa sana Sifa ya tatu Sifa ya tatu hainenepi sana Sifa ya nne Izoizo tatu zinatosha Izoizo tatu zinatosha mmh
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691068400392
Je ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C elezea kwenye sifa za kilimo. Kwa sifa za kilimo sasa kwamba kwanini hauipendi hii mbegu ya aina C Kwasababu inashambuliwa na wadudu kwa haraka Alafu sifa nyingine kwa upande wa kilimo Haivumilii sehemu isiyokuwa na rutuba
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691151861459
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya A elezea kwenye sifa za kilimo Hapo naona kama ifa yake ni punje ndogo Inapunje ndogo. Sifa ya pili Ni hiyohiyo ndo niliiyoiona kwangu Sifa ya pili Sifa ya pili sijananii ni hiyohiyo maana haina tatizo lingine zaidi ya hilo Ni hiyo hiyo moja
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691151945431
Nikisomee swali ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya nyumbani Kwanza ina soko la kwanza La kwanza ina soko ya pili Ya pili inapendwa na watu kuliko nyingine Kuliko nyingine sawa, alafu ya tatu Haina gesi tumboni Haina gesi tumboni ya nne Izo zinatosha Zinatosha eeh
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691152427543
Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya B kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya nyumbani sifa gani sifa ya kwanza Sifa ya kwanza ikipandwa ardhi ambayo ina rutuba Sifa ya pili Sifa ya pili inabidi Sifa ya kwanza sifa ya kwanza ni nini Ipandwe kwenye ardhi yenye rutuba Sifa ya pili Sifa ya pili ipandwe kwa wakati Ipandwe kwa wakati. Sifa ya tatu Sifa ya tatu ikiwekwa mbolea itakua bora zaidi Sifa ya nne Izo tatu zinatosha Tatu zinatosha
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691152258015
Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya B elezea kwenye sifa za kilimo Inashambuliwa na wadudu Inashambuliwa na wadudu Haivumilii ukame Sifa ya tatu Haistawi vizuri Sifa ya nne Haina soko Sifa ya tano naona hizo hizo zinatosha
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691151695151
Kwa ujumla aina gani ya TRICOT uliipenda zaidi A
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691068510056
Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya A . Kuna kitu chochote ulikipenda? Hapana Eleza kwenye sifa za kilimo. Ni kwanini hapana Kwasababu inashambuliwa na wadudu Inashambuliwa? Na wadudu Alafu sifa nyingine ya pili Haivumilii ukame Kwamba sio nzuri kwa kilimo, is umesema kwamba sio nzuri A hiyo eeh Kwa nini sasa ..............
Kilindi_23_2023-08-02 15_26_29/1691067576137
Nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya C, elekeza kwenye sifa za kilimo. nirudie? Nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya C yaani zile mbegu zako kuna A, B na C je kitu gani kilichokuvutia wewe kama wewe mpaka upendelee kukuza TRICOT aina ya C Niliipenda kwasababu ilikubali. Niliipenda maana ilifanya vizuri Ilifanya vizuri eeh Ukilinganisha na hizo nyingine mbili Haya alafu ya pili Ya pili ilikua ni B Yaani nanii yani kitu kingine kilichokuvutia mpaka ukapenda kuzalisha hii aina ya C Maana ilivumilia Ilivumilia ukame Ndio Alafu sababu ya tatu ................Sababu ya nne .............C............Ya mwisho.... ........Kukuvutia Inasoko pia Safi
Kilindi_24_2023-08-04 12_57_57/1691144638511
Anhaa toka tulivyo
Kilindi_24_2023-08-04 12_57_57/1691146806321
............. ................. Ni ile C eeh eeeh yaani ni kitu gani kifanyike ili iwe nzuri
Lushoto_46_2023-08-02 11_19_01/1690965563041
Ni kitu hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au kwa matumizi ya chakula? A inachukua nafasi zote, kwa kula kwa kuuza. Huendi nayo sokoni ukaambiwa umekosa mfanyabiashara anayenunua haya maharage. Hata kwa sasa ukienda sokoni unakuta haya maharage ni elfu therasini alafu haya elfu ishirini, ishirini na tano . Kwahiyo ni kitu gani hukukipenda? Kwahiyo ni kitu gani hukukipenda? Hii namba A, kwa mimi nimeona ingenifaa zaidi yaani inafaa na sio labda kwa vile tunalima kibiashara, kwa kula ndo ile niliyoongea, kwa kula ni mazuri, kwa kuuza ni nafasi ya juu pia.
Lushoto_46_2023-08-02 11_19_01/1690965441644
Kutokana na hii aina ya A, sasa ni kitu gani ambacho wewe hujakipenda labda ? Kwenye hii A? Au hakuna wewe umeielewa sana? A nimeielewa sana
Lushoto_46_2023-08-02 11_19_01/1690965671134
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A? Hi aina A ni mbolea tu
Lushoto_46_2023-08-02 11_19_01/1690965741579
Je kuna kitu chochote ulichokipenda kuhusu kukuza aina B? Rudia. Kuna kitu chochote ulikipenda kuhusu kukuza hii aina B? Ni mbolea zaidi. Yaani ulipenda, uliipendea nini hii B yaani unasema labda ningeipata B ningeipenda kwa ajili ya hii na hii. Yaani hii namba B ningeipenda kwamba namba B ukiipiga mbolea vizuri na ikipandwa kwa wakati inaonyesha mazao yatapatikana mengi kulikoni hii namba A. Sawa. Kwahiyo hii ulivyoipanda na hii hii apa ipi iliyowahi kutoka au zote zilitoka kwa pamoja? Zilitoka, kutoka zinatoka kwa wakati mmoja. Sawa
Lushoto_46_2023-08-02 11_19_01/1690965375981
Kwa ujumla ni aina gani ya Tricot uliipenda zaidi kati ya A, B na C? Ni A na B. Uliyoipenda zaidi? Ni A
Lushoto_46_2023-08-02 11_19_01/1690965764741
Nini ambacho hukukipenda kuhusu hii aina B? Hakuna ambacho sijakipenda
Lushoto_46_2023-08-02 11_19_01/1690965628618
Kwenye hii A na B ni ipi variety ambayo haujaielewa yani katika hii A na B yaani haujaipenda? Hii namba A, tuseme hakuna ambayo siipendi maana hii ukiichukulia A ina nafasi yake lakini hii B nayo inaonyesha kabisa kwa vile tumechelewa lakini kwenye kuzaa inaonyesha inazaa zaidi , kwahiyo nafasi ya hii inaweza kucover kwenye ya namba kwenye hii namba B, A inaweza kucover kwenye nafasi ya kula na bei lakini na hii inaonyesha kabisa ikipandwa kwa wakati inaonyesha kwamba namba B inazaa na inaweza ikapatisha nanii manufaa makubwa labda hii ikitoa ndoo moja hii inaweza ikatoa ndoo mbili.
Lushoto_46_2023-08-02 11_19_01/1690965484538
Sasa hii aina A, ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina A kwa kibiashara au matumizi ya chakula? Hii namba A, kwa kuuza iko nafasi ya juu na kwa kula ni zaidi ya hii namba B. Zaidi yake ni nini sasa? Yaani ubora wake kwamba tayari ukimwekea hata mwanamke chagua maharage ya kupanda atakimbilia namba A .
Lushoto_46_2023-08-02 11_19_01/1690965405993
Ni nini ulipenda kuhusu kuhusu kukuza hii aina A, ni kitu gani kilichofanay ukaipenda yani? Hii namba A niliipenda kutokana na uzaaji wake alafu inaonyesha hata zingekua za utatautata ningeivuna
Lushoto_46_2023-08-02 11_19_01/1690965807786
Je ni kitu gani unafikiri kinaweza kufanya aina B kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Hii , Hii namba B bhana haiwezi ikamkuta namba A ila nnacho nazungumzia kwenye biashara, kula hakuna maharage mabaya, ila kwenye upande wa biashara haya yakipandwa kwa wakati hii namba B inauzao mkubwa kulikoni hii namba A.
Lushoto_49_2023-08-01 10_37_41/1690878525199
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B, elekeza kwenye sifa za kilimo? Hii nimeipenda kwasababu inazaa vizuri alafu inakomaa vizuri pale shambani alafu inahimili magonjwa. Okay, sasa hivo ni vitu ambavyo umevipenda, kitu gani ambacho hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? Nimeipenda. Amna , kwahiyo hamna kitu. Hamna sababu eeeh
Lushoto_49_2023-08-01 10_37_41/1690878673381
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? Hii kwasababu tu wataje hawayajui, ukiyapeleka sokoni yatakua kwasababu wateja hawajayajua ndo shida yake lakini yako vizuri . Shida nyingine? Haya nilivyoyaona haya yanataka kukaa kwenye fito, A. Tuko kwenye C, kwa hiyo hili jibu unalonipa ni la A au C? Haya sifa nyingine kwenye C? Ni hizi tu. Haya
Lushoto_49_2023-08-01 10_37_41/1690878620821
Je kuna kitu chochote a,mbacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya C? Aina C ile pale. Kipi hicho, ntajie sifa zake. Sifa zake inakomaa upesi. Inakomaa upesi? Nyingine? Alafu punje zake zimekaa duara zuri. Sifa ya tatu? Sifa ya tatu haishikani haina kamba zile zakukamatanakamatana . Sifa ya nne? Ya nne yanakomaa upesi. Tayari umeshaisema, kwahiyo basi sifa zipo tatu si ndio?
Lushoto_49_2023-08-01 10_37_41/1690878458218
Kwa ujumla, kwenye Tricot, si ndio, ni aina ipi uli uliipenda zaidi si ilikua ni B? Ni aina ipi uliipenda kiasi? Ilikua ni C. C? Aya
Lushoto_49_2023-08-01 10_37_41/1690877945326
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kuuza aina ya B? Hukukipenda? Sikukipenda vipi? Yaani , toa sababu yoyote kama kuna sababu amabyo ilikutokea hukuipenda, si umesema unapenda kuuza B inasababu ulizitaja huku mwishoni, sasa kama ilitokea kunasababu ambayo hukupenda kuuza hii apa aina ya B msimu huu labda ulipoona sababu hizi zimetokea hukupenda kuyauza haya maharage. Haya sikupenda kuyauza kwa sasa kwa sababu ni kidogo ili nipate mbegu ya kuzalisha iwe nyingi. Sababu sababu na hapa ziko tano. Ni kidogo, haya, ya pili? Ya pili . Unijibu, kama unahisi sababu ni hiyo moja sawa. Sababu ni hiyo moja tu. Haya sawa
Lushoto_49_2023-08-01 10_37_41/1690878706335
Je, je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya C kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Ni wateja wakishayazoe tu, wakiyaona sokoni wakiyala kama yako vizuri basi yatakua nayo yana soko kwa sababu wataje wananunua kitu wanachope penda wanachokijua. Sawa, sifa nyingine? Ni hizi tu.
Lushoto_49_2023-08-01 10_37_41/1690877707493
Haya sasa tumefika sehemu ya kurekodi, Je unakubali kurekodi? Ndiyo Aya sawa. Kwa ujumla, sa hapo naomba uongee toa sauti kidogo ili uweze kusikika. Kwa ujumla aina gani ya Tricot uliipenda zaidi? B. B?
Lushoto_49_2023-08-01 10_37_41/1690878087991
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya B kwa biashara au matumizi ya chakula? Embu rudia. Ni kitu gani hukukipenda kuhusus aina ya B kwa biashara au matumizi ya chakula . Sina sababu. Kwa hiyo unayapenda haya . Sana Kizuri kinakua na kibaya, faida inakua na hasara, kwa hiyo haya maharage yanakua na faida tu? Yana faida Hayana hasara? Hayana hasara Kwahiyo hakuna kitu hukukipenda kuhusu aina ya B? Vyote umependa?
Lushoto_49_2023-08-01 10_37_41/1690878013873
Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya B kwa biashara au matumizi ya chakula? Sababu niliyoyapendea haya ni mazuri, mazuri sana kwenye kula Mazuri kwenye kula? Sabau ya pili? Yanaiva haraka Sababu ya tatu Hata kwenye mambo ya damu yanaongeza damu Sababu ya nne? Sina sababu ya nne
Lushoto_49_2023-08-01 10_37_41/1690877842823
Haya, ni nii ulipenda kuhusu kuiuza aina ya B? Kwa sababu hii inasoko wateja wameizoea Kwa sababu inasoko sifa ya kwanza. Ya pili? Wateja wameshaizoea hiyo inajulikana lakini hizo nyingine bado hazijakua kwenye masoko sasa wateja watakua hawazijui Kwasababu ya pili, ya kwanza kwa sababu ina soko, ya pili kwa sababu inajulikana. Sifa ya tatu? Ya kuuza? Sifa ya tatu maharage haya yanapendwa sana Ya nne? Ya nne yanazaa sana Yanazaa sana? Ya tano ya mwisho? Yanavumilia hali ya hewa Yanauvumilivu wa hali ya hewa?
Arusha_CC_10_2023-07-26 11_55_27/1690365472694
Je, kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya C kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Yaani wanatakiwa hii kampuni itafute soko la uhakika la hii la C Ili iwavutie walaji, ili ioteshwe kwa wingi Kwa wingi, na pia kwenye upande wa chakula labda? kwenye suala lachkula ni tamu ni nzuri kwahiyo haina shida? sawa
Arusha_CC_10_2023-07-26 11_55_27/1690363660435
Ni kitu gani hukukipenda kukuza aina ya A elekeza kwa sifa za kilimo Yaani sina kitu ambacho sijapendezewa na hiyo mbegu, hapana Yaani kipindi pale unaiotesha pale yaani Yaani wakati naiotesha ni nzuri Haukuwa na changamoto yoyote Sijaona Sawa
Arusha_CC_10_2023-07-26 11_55_27/1690365153142
Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya C? Elezea kwenye sifa za kilimo Ina vumilia ukame Ndio ndio Inazaa sana na haishambuliwi na wadudu Haishambuliwi na wadudu Wala magonjwa wala magonjwa, okay, sawa
Arusha_CC_10_2023-07-26 11_55_27/1690364151722
Aya ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula? Sina kitu ambacho sijapenda Kwenye na upande wabiashara na chakula Eeh upande wa biashara na chakula Iko vizuri Iko vizuri Sawa
Arusha_CC_10_2023-07-26 11_55_27/1690363225458
Haya, kwa ujumla aina gani ya Tricot uliipenda zaidi? A A ndio uliipenda zaidi, okay
Arusha_CC_10_2023-07-26 11_55_27/1690365343625
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au mtaumizi ya chakula? Kwenye biashara ndio sikuipenda Kwanini? Haina soko Haina soko? La uhakika Okay, kingine ambacho ni tofauti na hicho? Nyingine hamna maana kwenye chakula kinafaa Okay, sawasawa
Arusha_CC_10_2023-07-26 11_55_27/1690364256840
Katika hizi Tricot zote ni ipi ambayo uliipenda kwa kiwango cha chini C C? Okay
Arusha_CC_10_2023-07-26 11_55_27/1690364740277
Kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C? Elekeza kwenye sifa za kilimo inatumia mda mrefu, Ndio ndio Inachukua mda kuiva Kwahiyo hizo ndio sifa ambazo ulizoziona ni kuu sana. Okay sawa asante. Hamna hamna hamna sifa nyingine ambayo hukuipenda?...... Maana sio mbaya sana isipokua sasa si nimeshaipenda hii Ndio, kwahiyo kwenye hii C labda Ingekua ingekua siyo nimeipenda hii hata na hii sio mbaya maana inastahimili ukame Yaani kitu ambacho hukukipenda zaidi yaani kwenye aina hii kukuza hiyo Bei tu Ni hiyo tu basi? Okay
Arusha_CC_10_2023-07-26 11_55_27/1690363506481
Aya, nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya A? Haishambuliwi na wadudu Ndio ndio Ni tamu kwa kula, Ndio ndio Muonekano wake ni mzuri na haina haiathiriwi na magonjwa Okay, sawa sawa
Arusha_CC_10_2023-07-26 11_55_27/1690363823496
Ni kitu ulichokipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula? Kwenye baishara ina bei na kwenye chakula haina gesi na ni tamu Ndio ndio Na ina wateja wengi kibiashara, kwahiyo sokoni ukipeleka unanyang'anywa haraka, unapata soko Sawa sawa
Lushoto_11_2023-08-01 14_40_27/1690892552494
Kwenye sample hii hakuna ulichokipenda au kuna ulichokipenda? Kwenye hio A Kitu gani hukukipenda kuhusu hio sample A kwa zao la biashara au kwa matumizi ya chakula? Kwa matumizi ya chakula inafaa Kwa zao la biashara A? .....huku watu wengi hawaipendi.....haina soko Haina soko? Haina soko
Lushoto_11_2023-08-01 14_40_27/1690891877061
Ni nini ulipenda kuhusu kukuza aina C? Sifa zake katika kilimo hiyo aina C unaweza kunieleza sifa zake? Hiyo ya mwanzo ndo ivo inakauka kwa haraka na kuzaa inazaa...... Nyingine? ....... Aya
README.md exists but content is empty. Use the Edit dataset card button to edit it.
Downloads last month
2
Edit dataset card