id
int64
1
26.7k
translation
translation
6,172
{ "dav": "Namghoria ukajibonya", "swa": "Nimemuambia akajisikia." }
3,029
{ "dav": "Mghosi waweenda.", "swa": "Mzee anatembea." }
11,831
{ "dav": "Darakaia kifumbu cha mzedu chiko na sere aho mighondinyi.", "swa": "Tuliishi katika kijiji chenye amani huko milimani." }
17,705
{ "dav": "Kovalwa mwaka ghusirie", "swa": "Ulizaliwa mwaka jana" }
4,367
{ "dav": "Nideogha nendafuma kurura maembe.", "swa": "Nilioga baada ya kutafuta maembe." }
1,120
{ "dav": "Ughu muzi ni m'baa kuchumba uja.", "swa": "Nyumba hii ni kubwa kuliko ile." }
19,226
{ "dav": "Leka nidwa huwo", "swa": "Wacha kunichukulia hivyo" }
13,909
{ "dav": "Nalolie andu kwapo nikuvisagha kaw'ona nisekunde kusumbulwa.", "swa": "Nimetafuta mahali pangu pakujificha kama sitaki kusumbuliwa." }
9,535
{ "dav": "kwaki kwaw'ebonya sa mwana wa icho", "swa": "Mbona unafanya kama haujakomaa?" }
25,682
{ "dav": "Kupata mfazili yakundika kulombe Mlungu sana", "swa": "Kupata mfadhili inahitajika uombe Mungu sana" }
13,518
{ "dav": "Koko andu kwa kirindi Chawia kuw'angwagha Jangara.", "swa": "Kuna mahali palipo tambarare pale Chawia na panaitwa Jangara." }
7,762
{ "dav": "Nededamba cha Mombasa", "swa": "Nilisafiri pande za Mombasa" }
3,751
{ "dav": "Kazi kwa bidii yeko na wucha ghwake.", "swa": "Kazi kwa bidii ina thamani yake." }
15,863
{ "dav": "Machi gheduka vigharo vedu", "swa": "Maji yalisomba nyumba yetu" }
9,296
{ "dav": "Kwaichi kidawida?", "swa": "Unajua Kitaita?" }
19,968
{ "dav": "Ng'ombe ra Daw'ida rechua mariw'a shuu", "swa": "Ngombe wa Taita hutoa maziwa mengi sana" }
13,320
{ "dav": "Danu w'endaw'uya w'alola kazi ra shwaa kwa iri Uba.", "swa": "Waliporudi, sasa kazi inayopatikana rahisi ni hizi teksi za programu kama Uba" }
11,399
{ "dav": "Oke nifunguye mnyango.", "swa": "Tafadhali nifungulie mlango." }
11,953
{ "dav": "Oreshitakilwa nwao ukacha ukaw'adwa nakio.", "swa": "Alishitakiwa halafu akaja akakamatwa usiku." }
5,921
{ "dav": "Neka w'aghenyi machi ghenywa", "swa": "Wape wageni maji ya kunywa" }
16,915
{ "dav": "Wafungwa magoli awi", "swa": "Wamefunga mabao mawili" }
13,515
{ "dav": "Andu kuko kwa kirindi na mruke.", "swa": "Mahali ambapo ardhi ni tambarare na kuna joto." }
12,758
{ "dav": "W'andu w'engi w'erew'adwa ni homa.", "swa": "Watu wengi walishikwa na homa." }
17,138
{ "dav": "wanughi wake wikakumbuka seji", "swa": "Wafuasi wake wakakumbuka vile" }
8,069
{ "dav": "Mnyongolo ghwajikucha", "swa": "Jongoo amejikunja" }
6,872
{ "dav": "Nachochua shighadi yose", "swa": "Nitafyeka nje yote" }
5,348
{ "dav": "Napoilwa nihistoria ya wurumwengu", "swa": "Nimevutiwa na historia ya dunia." }
24,568
{ "dav": "Ovalwa na chongo kibaa sa cha ndee.", "swa": "Amezaliwa na kichwa kikubwa kama cha babake" }
5,153
{ "dav": "Isi dawekotia ni ani", "swa": "Sisi tunauliza ni nani?" }
4,092
{ "dav": "Kujifunya ni chia yetesia na kuneka wazima.", "swa": "Kujitolea ni njia ya kusaidia na kuwapa wengine." }
20,896
{ "dav": "Kwawe'nda hao mwanidu kwafwanwa huw'u?", "swa": "Unaenda wapi ndugu yangu umeng'ara hivi?" }
3,263
{ "dav": "Napata wulalo ghwa chaghu mbishi.", "swa": "Nimepata nafasi ya kazi mpya." }
7,158
{ "dav": "Ikumi na iw'i", "swa": "Kumi na mbili" }
11,663
{ "dav": "Naw'iaruw'uka moda.", "swa": "Ninavuka mto." }
5,636
{ "dav": "Nawona mwengere", "swa": "Nimeona mwangaza" }
4,554
{ "dav": "Wanake wadapoilwa ni kusarigha.", "swa": "Watoto wanapenda kucheza." }
5,132
{ "dav": "Kuselowuo", "swa": "Usioe" }
16,882
{ "dav": "mdumwa ndebwaghwaa", "swa": "Mjumbe hauawi" }
5,121
{ "dav": "Kishanua cheko hao?", "swa": "Kichana kiko wapi?" }
10,640
{ "dav": "Ndouw'adie mndungi obadilishana maghesho.", "swa": "Hakuwa na mtu yeyote wa kugawia mafikira yake mengi." }
21,849
{ "dav": "Idime kwakunde dideke kii mwana wapo?", "swa": "Keo unataka tupike nini mwanangu?" }
12,098
{ "dav": "W'andu w'azima w'asherekea Krismasi kwa chia zima.", "swa": "Watu tofauti husherehekea Krisimasi kwa njia tofauti." }
16,025
{ "dav": "Kwafuma hao?", "swa": "Umetoka wapi?" }
7,156
{ "dav": "Waghua nguw'o ikumi", "swa": "Amenunua nguo kumi" }
16,401
{ "dav": "Kushoma ni chia ye kufundisha malazi.", "swa": "Kusoma ni njia ya kujifunza mengi." }
16,140
{ "dav": "Mapemba ghadawanika mghambenyi", "swa": "Mahindi huanikwa kwenye dari" }
6,001
{ "dav": "Nasuw'iria mwaw'uka mkasinda nicha", "swa": "Natumaini mmeamka mkashinda vyema" }
9,134
{ "dav": "Waweenja kidanda ", "swa": "Anapeleka baisikeli" }
6,413
{ "dav": "Soghoda kavui", "swa": "Songea karibu" }
15,036
{ "dav": "Kwa ichi kimu cha w'uhoreshi chichuye maza ra sherehe", "swa": "kwa msimu huu wa likizo uliojaa shughuli za sherehe" }
25,090
{ "dav": "Waiw'a na kademwa na lufu.", "swa": "Ameiba akakatwa na panga" }
20,528
{ "dav": "Kila mundu ughorie mbao w'uloli", "swa": "Kila mtu aambie mwenzake ukweli" }
5,394
{ "dav": "Kushoma ni chia iboiye yemanya.", "swa": "Kusoma ni njia bora ya kujifunza." }
19,814
{ "dav": "Jesu wanikunde shuu.", "swa": "Yesu ananipenda sana" }
20,690
{ "dav": "Oka wa chopwa zee", "swa": "Ni mweupe pee" }
6,535
{ "dav": "Nawadunga chadu", "swa": "Ninashona kiatu" }
12,695
{ "dav": "Mbogha rekabwa marufuku sokonyi.", "swa": "Mboga zimepigwa marufuku kutoka sokoni." }
26,087
{ "dav": "W'adakunda kuoghosha w'andu w'ifue.", "swa": "Wanataka kuosha wafu" }
1,146
{ "dav": "Wana wapoilwa ni kucheza.", "swa": "Watoto wanapenda kucheza michezo." }
20,908
{ "dav": "Sine mavuda ghekushinga ghesia", "swa": "Sina mafuta ya kupata yaliisha" }
11,934
{ "dav": "Loli nidimagha?", "swa": "Kweli nitaweza?" }
8,328
{ "dav": "Nasindakulola shuu", "swa": "Nilikuwa nakutafuta sana" }
18,816
{ "dav": " Naw'eghenja saru mbuwenyi", "swa": "napeleka mbolea shambani" }
21,933
{ "dav": "Waghora kifula nguw'o niko ukaigha", "swa": "Amesema atakuwepo jumamosi" }
23,674
{ "dav": "Wasigha igodoro shighadi jhikaiw'wa.", "swa": "Ameacha godoro nje likaibiwa." }
9,273
{ "dav": "Mayo w'aw'angwa ani?", "swa": "Mamako anaitwa nani?" }
11,619
{ "dav": "Nyonyi raw'uya na matunda gheja.", "swa": "Ndege walirudi na matunda ya kula." }
11,537
{ "dav": "Ituku ja mfungade ni jehoresha.", "swa": "Siku ya saba ni ya kupumzika." }
18,558
{ "dav": "Kaw'ona singirie msarighoni, sichagha", "swa": "Kama sijaingia mchezoni, sitakuja" }
11,602
{ "dav": "Ni w'aghenyu w'iboie sana.", "swa": "Ni marafiki wazuri sana." }
14,674
{ "dav": "Muw'I ghwa mndu usaghie ghwaw'ikilo nicha.", "swa": "Mwili wa mwendazake umehifadhiwa" }
15,211
{ "dav": "Vumbi, Mbeo pia yekwaeni.", "swa": "Vumbi na baridi ipo pia." }
3,758
{ "dav": "Kila mndu wadima kubonya maghaluso.", "swa": "Kila mtu ana uwezo wa kufanya tofauti." }
24,999
{ "dav": "Msimu ghoala ghwazoya.", "swa": "Msimu wa kupalilia umeanza" }
16,208
{ "dav": "m'mbi ghwapo ghwawenija", "swa": "Naumwa na mwili" }
10,236
{ "dav": "Oka na w'ana bana tu.", "swa": "Ana watoto wanne tu." }
25,047
{ "dav": "Waiw'ilwa kila kilambo idukenyi.", "swa": "Wamepoteza kila kitu dukani" }
1,760
{ "dav": "Lawuke ni Kana", "swa": "Kesho kutwa ni Alhamisi" }
16,348
{ "dav": "Nyerinyeri rangalangala nakio", "swa": "Nyota zinang'aa usiku." }
21,689
{ "dav": "Nitesie na viriba vako vidadu vapo vabarika.", "swa": "Nissidie na mitungu yako mitatu yangu imepasuka" }
18,599
{ "dav": "kazi rawandu rawakundikana", "swa": "Kazi za wenyee zinatakikana" }
19,739
{ "dav": "W'aw'ayo oka na choyo.", "swa": "Nyanya yako ni mchoyo?" }
20,970
{ "dav": "Nedagha kitambulisho chapo chienyi", "swa": "Nilipoteza kitambulisho changu njiani" }
8,123
{ "dav": "Magho gharedwa", "swa": "Mawe yameletwa" }
8,416
{ "dav": "Nawona kobanda", "swa": "Naona umenenepa" }
2,456
{ "dav": "Iruwa na mori", "swa": "Jua na mwezi" }
2,447
{ "dav": "Kwa huwo nichaduma", "swa": "Kwa hivyo nitatuma" }
12,230
{ "dav": "Ozerwa ueleze nicha mali riiw'ilo.", "swa": "Aliambiwa atoe maelezo kamili ya mali iliyoibiwa." }
20,901
{ "dav": "Nemzera ugale ukalegha putu putu", "swa": "Nilimwambia arudi nyumbani kwao akakataa" }
7,797
{ "dav": "Dakwana sena.", "swa": "Tumekutana tena" }
20,044
{ "dav": "Mufu ghwapo ghwadika", "swa": "Unga wangu umemwagika" }
8,541
{ "dav": "kira", "swa": "giza" }
14,337
{ "dav": "Iro maza nirekuw'ara mndu.", "swa": "Hayo mambo ni tya kukwaza mtu." }
22,952
{ "dav": "Nitesie na magome niw'unja nyuma", "swa": "Nisaidie na pesa nitarudisha baadae" }
4,324
{ "dav": "Mwakio odelaswa chui ni awuye wake uendamjibu kwa wung'eto.", "swa": "Mwakio alipigwa kofi na mjomba alipomjibu kwa ujeuri." }
21,215
{ "dav": "Kuzere apa naw'emredia vana va nguku", "swa": "Umwambie baba nitamletea vifaranga vya kuku" }
14,302
{ "dav": "Uja usemrumiriagha wameria kutanywa angu userumirie irina ja Jesu mwana wa Mlungu.", "swa": "Yule alsiyemwamini amekwisha kuhukumiwa kwa sababu hajaamini jina la Yesu mwana wa Mungu." }
24,263
{ "dav": "Omtesia mdaw'ana wake kubonya nicha.", "swa": "Alisaidia kijana wake kufanya vizuri" }
26,402
{ "dav": "Lekenyi disaghuo w'abaha wazima.", "swa": "Wacheni tuchague wakubwa wengine" }
18,625
{ "dav": "Na oho w'ori kurasimiloa", "swa": "Na wewe pia ubarikiwe" }