id
int64
1
26.7k
translation
translation
12,317
{ "dav": "Msarigho yachezwa matuku mazima mazima.", "swa": "Michezo itachezwa siku tofauti." }
19,640
{ "dav": "Mlungu udiw'unjira vose vilagharie", "swa": "Mungu ataturudishia vyote vilvyopotea" }
3,694
{ "dav": "Tumia ngelo yako kwa hekima.", "swa": "Tumia wakati wako kwa hekima." }
13,870
{ "dav": "W'alilie na kukema mchungu w'ikitambwa w'itesekiaa hao.", "swa": "Wamelia wakipiga mayowe wakishindwa watapata msaada wapi." }
8,098
{ "dav": "Naweagha boro", "swa": "Ninajenga boma" }
9,924
{ "dav": "kwasinda mana", "swa": "Umeshinda salama" }
1,451
{ "dav": "Wadeki wawekufundisha madeki kila wakati.", "swa": "Wapishi wanajifunza mapishi mapya mara kwa mara." }
2,817
{ "dav": "Maisha ghakurie.", "swa": "Maisha ni magumu" }
9,586
{ "dav": "karatasi rakuchwa", "swa": "Karatasi zimejaa" }
11,594
{ "dav": "Uo mka oreoboshwa ni uo mnduwaw'omi.", "swa": "Mwanamke huyo aliogopeshwa na huyo mwanamme." }
4,133
{ "dav": "Ndechiko kighirio chidimagha kughiria mndu ukunde kubonya.", "swa": "Hakuna kikwazo kinachoweza kuzuia mtu mwenye azma." }
21,678
{ "dav": "Koko na mano malacha nandighi.", "swa": "Vidole zako za miguu ni refu sana" }
20,238
{ "dav": "Waduka mwana mghongo", "swa": "Amebeba mtoto mgongoni" }
22,892
{ "dav": "Kwapata maghi ghamu?", "swa": "Umepata mayai mengine?" }
2,360
{ "dav": "Niredie chuo chapo", "swa": "Niletee kitabu change" }
11,698
{ "dav": "Uo mndu orew'anga irina japo diko ipwanyikonyi.", "swa": "Huyo mtu aliniita jina langu wakati wa mkutano." }
25,278
{ "dav": "Kurashana ndekupoiye.", "swa": "Kugombezana si kuzuri" }
17,306
{ "dav": "Deghenda kwa wandu wamu dikawona malagho ghe shinua!", "swa": "Tulienda kwa watu wengine tukaona mambo" }
26,134
{ "dav": "Vana vapo ndeviw'eja nicha.", "swa": "Vifaranga vyangu havili vizuri" }
26,436
{ "dav": "W'andu w'engi w'adakuneka shughuli iseko yaw'o.", "swa": "Watu wengi huwa wanajipa shughuli isiyo yao" }
13,776
{ "dav": "Ni bugha na w'asi ghobwagha ngolo.", "swa": "Ni dhiki na taabu ya kukata tamaa." }
18,062
{ "dav": "Owuya ondahoa", "swa": "Alirudi baada ya kupona" }
10,082
{ "dav": "Ni w'eke ani w'ifwane w'ifundishe w'andu w'iandikagha habari?", "swa": "Ni nani anapaswa kuwapa waandishi wa habari mafunzo?" }
11,877
{ "dav": "Uja mndu ofwa ukasigha mka usew'adie mwana ungi.", "swa": "Huyo mtu alikufa akaacha mke wake bila mtoto." }
19,852
{ "dav": "Naw'enda kaba kura law'uke.", "swa": "Naenda kupiga kura kesho kutwa" }
25,185
{ "dav": "Wazome wamkaba mka.", "swa": "Waome amempiga mke wake" }
2,191
{ "dav": "Waweshowa vilamba", "swa": "Wnaokota mabuyu" }
22,261
{ "dav": "Huw'u dija kii maduka ghafungwa ghose?", "swa": "Sasa tutakula nini maduka yamefungwa yote?" }
7,279
{ "dav": "Kwaichi kulima?", "swa": "Unajua kulima?" }
4,519
{ "dav": "Shimba ni nyamandu ya isakenyi.", "swa": "Simba ni wanyama wa porini." }
11,376
{ "dav": "Msidu ghokorwa mbagha ni w'andu w'ediw'a.", "swa": "Msitu ulichomwa moto na wawindaji." }
21,853
{ "dav": "Mburi ra Mzame raturua luvuna lwapo", "swa": "Mbuzi za Mzame zimetoboa ua langu" }
23,398
{ "dav": "Ghenda kufagie lukumbinyi ", "swa": "Nenda ukafigie nyuma ya nyumba" }
5,098
{ "dav": "Chawucha nandighi.", "swa": "Asante sana." }
8,684
{ "dav": "Waweandika barua", "swa": "Anaandika barua" }
5,525
{ "dav": "Uja mka ova mwana icho", "swa": "Mwanamke yule amejifungua juzi" }
15,286
{ "dav": "Luzi lwadumbuka", "swa": "Uzi umekatika" }
3,600
{ "dav": "Kuboilwa kwadima kupatika kwa malagho matini.", "swa": "Furaha inaweza kupatikana kupitia mambo madogo." }
16,286
{ "dav": "Muzi ghodu ghwapoiye", "swa": "Mji wetu ni mzuri" }
13,400
{ "dav": "Ko kala w'anake w'arazighanwa ni w'aw'ae.", "swa": "Zama zile watoto walitunzwa na nyanya zao." }
18,891
{ "dav": "Kwaghua vilambo vose", "swa": "Umenunua kila kitu" }
16,890
{ "dav": "olaswa ni igho", "swa": "Alilengwa na jiwe" }
2,915
{ "dav": "Siwuriagha kuseka.", "swa": "Sitarudia kucheka." }
15,471
{ "dav": "Neka na wada bana", "swa": "Nina Watoto wanne" }
15,895
{ "dav": "Nawidederia", "swa": "Nimewatetea" }
7,520
{ "dav": "Mrede vilambo vose", "swa": "Mlete vitu vyote" }
8,857
{ "dav": "Ikanisa ijhi jhe kaba makofi Jiwangwagha", "swa": "Haya makanisa ya kupiga makofi ya kiroho" }
1,371
{ "dav": "Wadeki wakunda kutima wudeki wupya.", "swa": "Wapishi wanapenda kujaribu mapishi mapya." }
22,257
{ "dav": "Dedefuma iyo nyumba kala koni", "swa": "Tulihama hio nyumba kitambo sana" }
13,663
{ "dav": "Siboilwagha ni w'eke matee w'isene w'aya.", "swa": "Sipendi waongo wasio na haya." }
11,870
{ "dav": "Uhu ni mndu wa ifwa.", "swa": "Huyu mtu ndiye mriithi." }
1,045
{ "dav": "Wele moko hao,namroghua wele mwasinda.", "swa": "Nawasalimie nyote,je mmeshindaje?" }
18,185
{ "dav": "Kedu koko na ichi kilambo", "swa": "Kwetu kuna hiki kitu" }
23,992
{ "dav": "Moda ghwachua machi ghukaduka mwana.", "swa": "Mto umejaa maji ukabeba mtoto" }
9,749
{ "dav": "Kwaghorelwa w'uloli", "swa": "Umeambiwa ukweli?" }
25,561
{ "dav": "Mkuvu ghwake ghochelewa kuhoa.", "swa": "Kitovu yake ilichelewa kupona " }
8,834
{ "dav": "Na dikengia kwa wupande ghwa wukulima, aha vindo viwalwaghwa ni wandu veuza ni vindoki sana sana?", "swa": "Tukifikia upande wa ukulima, hapa ndipo chakula hupandwa na wauzaji na ni chakula aina gani haswa?" }
12,468
{ "dav": "Osighirilwa kwa kuw'ika mafungu.", "swa": "Aliachiliwa kwa dhamana." }
22,455
{ "dav": "Siw'eobua kilambo chingi ini. ", "swa": "Siogopi kitu chochote mimi." }
24,953
{ "dav": "W'aw'abora chumbo ra Kidaw'ida.", "swa": "Wanaimba nyimbo za kitaita" }
15,207
{ "dav": "Wukongo ghwa malaria.", "swa": "Ugonjwa wa Malaria." }
15,880
{ "dav": "Shashirenyi muche", "swa": "Harakisheni mje" }
14,300
{ "dav": "Uja wadumwa ni Mlungu waaja malagho gha Mlungunyi.", "swa": "Yule aliyetumwa na Mungu huzungumza mambo ya Mbinguni." }
17,763
{ "dav": "Nyamandu reka mbaghonyi", "swa": "Mifugo wamo malishoni" }
540
{ "dav": "Aw'o w'iko na w'wana ghonywa chofi.", "swa": "Mabingwa wa kunywa divei." }
26,043
{ "dav": "Kusekenona machi .", "swa": "Usiharibu maji" }
11,860
{ "dav": "Narumiria ghose kwanighoria.", "swa": "Ninaamini kila kitu ulichoniambia." }
9,937
{ "dav": "nikanywa machi ni basi", "swa": "Nikinywa maji ni basi" }
9,799
{ "dav": "Vilongozi vedu vaw'ediiwia", "swa": "Viongozi wetu wanatuibuia" }
5,972
{ "dav": "W'ushuru ghwajhoka nandighi agha matuku", "swa": "Ushuru umepanda sana siku hizi" }
26,359
{ "dav": "Oenda ukasigha w'ana mzinyi.", "swa": "Ameenda akaacha watoto nyumbani" }
3,833
{ "dav": "Hachi kwa wakiwa ni msingi ghwa kichuku chiko na afya.", "swa": "Haki kwa maskini ni msingi wa jamii yenye afya." }
12,516
{ "dav": "W'eko w'andu w'atineri w'iko na mali.", "swa": "Kuna watu wachache walio matajiri." }
9,341
{ "dav": "Kwa valo lihi?", "swa": "Umezaliwa lini?" }
8,679
{ "dav": "Omoni ni mlacha shuu", "swa": "Yeye ni mrefu sana" }
23,614
{ "dav": "Nisirwa ndighi ni ndeyo.", "swa": "Nimechoka na baba yako." }
17,888
{ "dav": "Mwatulituli warima", "swa": "Simu imezima" }
21,956
{ "dav": "Kifula nguw'o disekaie na kindo chingi chebonya", "swa": "Tusikue na kitu yoyote ya kufanya jumamosi" }
26,392
{ "dav": "Kusekeliw'a kumila maghanga ghako. ", "swa": "Usisahau kunywa dawa zako" }
23,549
{ "dav": "Leka lusha w'ushu huw'o", "swa": "Acha kukunja sura yako hivyo" }
2,261
{ "dav": "Omoni ni mrighiti", "swa": "Yeye ni dakitari" }
16,225
{ "dav": "Kudwalwa mdida", "swa": "Utapelekwa kwa kasi" }
24,825
{ "dav": "Mwatulituli wake wazama.", "swa": "Simu yake imeharibika" }
13,671
{ "dav": "Kufuma w'uda ghugue Gaza Isanga jesighwa iduu.", "swa": "Tangu vita vizuke Gaza nchi imebaki tupu." }
1,708
{ "dav": "Choka reko na sumu", "swa": "Nyoka wako na sumu" }
14,647
{ "dav": "W'ana w'a skulu, w'alimu na w'avi w'apwana kusherekea majibu ghiboie.", "swa": "Wanafunzi, walimu na wazazi hukusanyika kusherehekea matokeo bora" }
23,916
{ "dav": "Odecha lomba mkulupo.", "swa": "Alikuja kuomba chepeo" }
1,717
{ "dav": "Nakwana na mghosi wapo", "swa": "Nimekutana na baba mkwe" }
19,705
{ "dav": "Magome ghalaghaya.", "swa": "Pesa imepotea" }
14,723
{ "dav": "Eshekerelwa ni ndiw'a kuchua machi.", "swa": "Kutokana na kufurika kwa Ziwa�" }
1,056
{ "dav": "Mbuwa ijilo vindo yadamanyika matasa.", "swa": "Mahali kuvunwapo chakula,mimea hubakia hapo." }
20,979
{ "dav": "Enda kuoghe machi ghaka tayari", "swa": "Nenda ukaoge maji yako tayari" }
4,242
{ "dav": "Kujifunya ni chia yereda maghaluso kwa kichuku.", "swa": "Kujitolea ni njia ya kuleta mabadiliko katika jamii." }
10,059
{ "dav": "New'ona nimneke kura yapo.", "swa": "Niliahidi kumpigia kura." }
16,250
{ "dav": "Kuranganya malagho kwazamie", "swa": "Kichanganya mambo sio kuzuri" }
15,666
{ "dav": "Kifaru chabwaghwa", "swa": "Kifaru ameuawa" }
22,843
{ "dav": "Ikwau defuma nakio kwa ijo ikusanyiko", "swa": "Tulitoka usiku kwa mkutano huo" }
22,402
{ "dav": "Nalumwa ni safu ra bara", "swa": "Nimeumwana siafu za paja" }
12,649
{ "dav": "Mtalo ghwa w'ana w'askulu ghwapungue.", "swa": "Idadi ya wanafunzi imepungua." }
23,669
{ "dav": "Mbi ghwake ghochurikia.", "swa": "Mwili wake uliongezeka." }